DAR KUWA MWENYEJI WA MAONYESHO YA VODACOM ELIMU EXPO 2013
Naibu Waziri wa Elimu, Phillip Mulugo, akizungumza na waandishi wa habari, kwenye Ukumbi wa Kivukoni, Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam, leo, wakati wa hafla fupi ya uzinduzi wa maonyesho ya siku...
View ArticleKilimanjaro lager yawaomba watanzania wasife moyo
Licha ya Taifa Stars kushindwa kufuzu kucheza katika mashindano ya CHAN mwakani baada ya kufungwa na Uganda Cranes 3-1, wadhamini wa Stars, Kilimanjaro Premium Lager wamesema hawajakata tama nab ado...
View ArticleCHEMSHA BONGO: WAWEZA TAMBUA NI WAPI HAPA??
Hili ni moja ya maeneo maarufu yaliopo ndani ya jiji la Dar,Je waweza jua ni wapi hapa??
View ArticleRAIS KIKWETE ATAWAZWA OMUKAMA (CHIFU) WA MISSENYI, AHITIMISHA ZIARA YA KAGERA
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelefu ya wananchi wa mkoa wa Kagera waliofurika katika uwanja wa michezo wa Kaitaba kumsikiliza siku ya mwisho ya ziara yake ya siku sita mkoani humo. PICHA NA...
View ArticleNAIBU WAZIRI PEREIRA SILIMA ATOA TUNZO KWA CHAMA CHA WADAU WA MAGARI TANZANIA...
Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Usalama Barabarani, Pereira Ame Silima (kulia) akimkabidhi tunzo Rais wa Chama cha Wadau wa Magari (AAT), Nizar...
View ArticleNaibu waziri wa maji atembelea ziwa Chala lililopo mpakani mwa Kenya na Tanzania
Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akipokea taarifa kuhusu ziwa Chala lililoko wilayani Rombo kutoka kwa afisa wa Bonde la maji la Pangani Mtoi Kanyawana. Naibu waziri wa maji Dk Binilith...
View ArticleKijitonyama Veterans Vs Golden Bush Veterans Jumamosi
Baada ya tambo za hapa na pale hatimaye vigogo wa soka la wazee hapa Dar es Salaam wanategemea kukutana siku ya Jumamosi katika uwanja wa bora, pale kijitonyama, jijini Dar es salaam.Ni mechi yenye...
View ArticleTunasema Maneno ya Shekh Mkuu Yatiliwe Maanani : CHADEMA UK
Imekuwa ni mazoea kwa jamii yetu kupuuza na kutokuzipa uzito kauli na mawazo yanayolenga kujenga taifa letu. Badala yake tumekuwa tukitumia muda mwingi kushabikia na kuongelea mambo yasiyo na tija kwa...
View ArticleTAARIFA SAHIHI DHIDI YA UVUMI KUHUSU WANAFUNZI WANAOENDELEA KULAZIMIKA KUJAZA...
Kumekuwa na uvumi kwamba mtandao wa uombaji mikopo wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (OLAS) ulikuwa na hitilafu ya kiufundi na hivyo Wanafunzi wanaondelea na masomo ambao walikuwa tayari...
View ArticleMajokofu kutoka USA sasa yanapatikana Dar kwa bei nafuu
Kwa maelezo zaidi na maelekezo tafadhali piga simu 0713602898 or 0758870007.
View ArticleAirtel Tanzania yala futari na wateja wake DAR ES SALAAM
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sunil Colaso (kushoto) akimkaribisha Ofisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel kwa wateja wao jijini...
View ArticleAmbassador Alfonso E. Lenhardt Celebrates 237th Anniversary of American...
(From right to left) Honorable Fatma Abdulhabib Fereji, Minister of State at the First Vice President's Office, Zanzibar Government of National Unity, Dr. Abdallah O. Kigoda, Tanzania's Minister of...
View ArticleBalozi Seif Idd awa mlezi wa CCM Mkoa wa Magharibi,Zanzibar
Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Wajumbe wa Halmashauri ya CCM wa Wilaya za Dimani, Mfenesini na Mkoa wa Magharibi Kichama katika mkutano...
View ArticleWageni kutoka CDC/ATLANTA watembelea Tanzania
Wageni kutoka CDC/ATLANTA (waliopo katikati) wakiwa katika Picha ya pamoja na Dkt. Zubeda Suleiman wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii (wa kwanza kushoto), wa pili kushoto ni Dkt. Ahmed Makata ambaye...
View ArticleMAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHANI MSIBA WA ALIYEKUWA MHASIBU MKUU WA OFISI YA...
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili Kigogo Mburahati, jijini Dar es Salaam, leo Julai 30, 2013 nyumbani kwa aliyekuwa Mhasibu Mkuu wa Ofisi ya...
View ArticleLHRC YATOA TAARIFA YA NUSU MWAKA YA MATUKIO MBALIMBALI NCHINI KUANZIA...
Mtafiti wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Pasience Mtowe (kulia), akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Julai 29, 2013. wakati akitoa taarifa ya nusu...
View ArticleJESHI LA POLISI MKOANI DODOMA LAWANASA MATAPELI
Na. Luppy Kunga’lo Polisi Dodoma Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma linawashikilia watu wawili wenye asilia ya kiarabu na watanzania watatu kwa tuhuma za kufanya utapeli na kujipatia fedha kwa njia ya...
View Article