Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

. MAGIC FM BAMIZA TOP 20 COUNT DOWN JANUARY 13TH 2018

View Article



MICHUZI TV: IDRIS AMKUMBUKA LULU KWA NAMNA YAKE, DIAMOND ANYAKUWA TUZO

View Article

UN NEWS KISWAHILI: Ugonjwa hatari wauwa 61, na zaidi ya 700 waathirika Afrika...

View Article

UGHAIBUNI MEDIA: Mtanzania arusha Ndege South Africa

View Article

NAIBU WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YAJAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO MHE. DKT....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HAFLA YA KUWAREHEMU NDUGU, JAMAA NA MARAFIKI YAFANYIKA LEADERS CLUB JIJINI...

 Mtoto wa marehemu Cisco Mtiro na dada yake walijumuika na umati mkubwa uliojitokeza kwenye hafla ya kila mwaka ya kuwarehemu ndugu, jamaa na marafiki waliotangulia mbele ya haki katika viwanja vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM RAIS MAGUFULI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA KATIBU WA...

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa (CCM) Humphrey Polepole kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OLD SCHOOL REUNION PARTY DMV, MAREKANI

Its all About Fun, Food, Drinks, Fashion,Sports and Nyama chomaFrom Fri JULY 6 to Sun JULY 8, 2018 Oxford Center 9700 Martin L King Jr Hwy,Lanham, MD 20706Friday July 6, 2018 from 9pm DMV International...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI MKOANI MARA WAITIKIA WITO WA MKUU WA MKOA KUSAJILIWA VITAMBULISHO...

Wananchi mkoani Mara wamejitokeza kwa wingi kutekeleza agizo la Mkuu wa Mkoa Mhe. Adam Kighoma Ali Malimaambaye amewataka wakazi wote wa mkoa huo kuhakikisha wanasajiliwa Vitambulisho vya Taifa ndani...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. FAUSTINE AWAAGIZA VIONGOZI WA MKOA WA RUKWA KUTOKOMEZA UDUMAVU...

Na WAMJWW. RUKWA-SUMBAWANGANaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Rukwa kuhakikisha wanapambana na kutokomeza udumavu kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAPILI JANUARI 14, 2018

Kupata magazeti yote BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAMCHARUKIA MKANDARASI DOTT

Serikali imemtaka Mkandarasi Dott Services anayejenga barabara ya Mtwara-Mnivata yenye urefu wa KM 50 kwa kiwango cha lami kuongeza vifaa na kasi katika ujenzi wa barabara hiyo ili kurahisisha huduma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA UHASIBU ARUSHA WATILIANA SAINI MKATABA MPYA WA USHIRIKIANO NA CHUO...

Kushoto ni mkuu wa chuo cha ukamanda na unadhimu Duluti Meja Jenerali H.Masebu akitiliana saini na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Uhasibu Arusha,Dk.Faraji Kasidi mkataba mpya wa ushirikiano (MoU) kati ya chuo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIGODI YA WACHIMBAJI WADOGO BUHEMBA YAFUNGULIWA

Hatimaye Serikali imefungua Migodi ya Dhahabu ya Wachimbaji Wadogo iliyopo katika eneo la Buhemba Wilaya ya Butiama Mkoani Mara baada ya kujiridhisha hali ya usalama katika migodi hiyo.Migodi hiyo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI KIJAJI AFANYA UZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI CHUO CHA UHASIBU...

Naibu Waziri wa fedha na mipango Mh.Dkt Ashatu Kijaji(Mb)katikati akinyoosha juu mkataba wa kuunda baraza ambao umehakikiwa na kusainiwa na Kamishna wa kazi,wa pili kulia niKaimu Mkuu wa Chuo cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MNYETI KUWACHUKULIA HATUA WANASIASA WACHOCHEZI

Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Alexander Mnyeti ametoa onyo kali kwa viongozi wa kisiasa wa Wilaya ya Kiteto kuwa atawachukulia hatua kali wote watakaosababisha migogoro ya ardhi kwa wananchi. Akizungumza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA RWANDA PAUL KAGAME AWASILI NCHINI NA KUPOKEWA NA MWENYEJI WAKE RAIS...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mgeni wake Rais wa Rwanda Paul Kagame mara baada ya kumpokea katika uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Mwalimu Julius...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BITEKO AWATAKA WACHIMBAJI WADOGO KUZINGATIA SHERIA YA USALAMA KWENYE MAENEO...

Na Joel Maduka-Geita.Naibu waziri wa madini Doto Biteko amewataka wachimbaji ambao wanamiliki leseni kuhakikisha wanazingatia sheria ambazo wamepewa likiwemo suala la kuweka mazingira mazuri ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akutana na Wajumbe wa Bodi na Menejimenti ya...

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wajumbe wa Bodi na Menejimenti ya Kampuni ya Mkulazi kupata taarifa ya maendeleo ya Uwekezaji katika uzalishaji Sukari Nchini, Ofisini kwake Mlimwa, mjini...

View Article

WAZIRI MKUU AUVUNJA MFUKO WA WAKFU WA KUENDELEZA KAHAWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameuvunja Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza zao la Kahawa (CDTF) na amemuagiza Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kuchunguza mwenendo wa mfuko huo tangu...

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live


Latest Images