ATCL YAKUMBUKA WATOTO YATIMA
Na Said Mwishehe, Globu ya jamiiSHIRIKA la Ndege Tanzania (ATCL) limetoa msaada wa vyakula , mafuta , sabuni, nguo,sukari na madaftari kwa Kituo cha Mwandaliwa ambacho kinaelea watoto...
View Articlemvua kubwa yakwamisha safari barabara ya Dodoma-Morogoro
Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Dodoma. Mvua Kubwa zinazoendelea kunyesha nchini zimesababisha adha Kubwa kwa watumiaji wa barabara ya Dodoma -Morogoro kutokana na eneo kubwa la barabarani kufunikwa...
View ArticleKamishna wa Maadili awataka viongozi kutoa ushirikiano wakitakiwa kuwasilisha...
Kamishna wa Maadili wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji (Mst) Harold Nsekela amewataka viongozi wa umma kutoa ushirikiano kwa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi pindi watakapotakiwa...
View ArticlePUBLIC NOTICE
The Geological Survey of Tanzania (GST) wishes to remind all Mineral Right Holders to submit exploration, research and mining data/information to GST. This is according to Section 27F (3) and (4) of...
View ArticleKikao cha Baraza la Wafanyakazi la Hospitali ya Taifa Muhimbili
Na John Stephen wa MuhimbiliBaraza la Wafanyakazi la Hospitali ya Taifa Muhimbili leo limefanya kikao chake cha 18 na kujadili agenda mbalimbali katika kikao hicho ikiwamo maslahi kwa...
View ArticleRAIS MAGUFULI AMEAMUA KUSAFISHA NYUMBA HAKUNA MENDE ATAKAYEBAKI: KHERI JAMES
Na Mathias Canal, Arusha Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa umesifu utendaji wa Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Taifa ambaye pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt...
View ArticleKWANDIKWA AWATAKA ‘TAA NA TPDC’ KUHAMISHA BOMBA LA GESI UWANJA WA NDEGE MTWARA
Naibu Waziri wa ujenzi, Elias Kwandikwa, ameiagiza Mamlaka ya Viwanja vya Ndege nchini (TAA) na Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), kulihamisha bomba la gesi lililopitishwa katika maeneo...
View ArticleDKT. NDUGULILE AING’ARISHA PROGRAMU YA KIKUNDI MLEZI KWA WANAWAKE...
Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJWNaibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (Mb) ameing’arisha programu ya ‘Kikundi Mlezi’ katika Manispaa ya Mpanda...
View ArticleMazishi ya Marehemu Said Abdallah Natepe Zanzibar
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa amekaa pamoja na Mama Siti Mwinyi mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili (kushoto) pamoja na Huda Karume mke wa Balozi Ali...
View ArticleMAZISHI YA MAMA PERAS NGOMBALE MWIRU MAKABURI YA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM
Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru (Mama Kinje), Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili kwenye makaburi ya Kinondoni jijini Dar...
View ArticleHALMASHAURI YA MJI WA BABATI YAJIZATITI KUKAMILISHA USAJILI VITAMBULISHO VYA...
Halmashauri ya Mji wa Babati inaendelea na zoezi la usajili Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi wote wenye umri wa miaka 18 na kuendelea; ambapo wananchi wamehamasika na kujitokeza kwa wingi...
View ArticleMWENYEKITI WA CUF TAIFA PROF.LIPUMBA AHIMIZA KUWEKEZA KWENYE SEKTA YA ELIMU
Na Jumbe Ismailly SINGIDA Jan,11,2018 Kuwekeza CHAMA Cha Wananchi (CUF) kimesema kuwa pamoja na serikali ya awamu ya tano kufuta ada katika shule za msingi hadi kidato cha nne,lakini sekta ya elimu...
View Article
More Pages to Explore .....