Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110158 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kesi ya Wema, Kibatala nje Msando ndani

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Wakili wa msanii wa filamu nchini, Wema Sepetu, Peter Kibatala ameiandikia barua Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kuomba kujitoa kumuwakilisha katika kesi ya dawa za...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

JKCI YAWAAHIDI WATANZANIA KUENDELEA KUTOA HUDUMA BORA

Na Mwandishi Wetu, 09/1/2018 Uongozi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) umewaahidi watanzania kuendelea kutoa huduma bora za matibabu kwa kiwango cha kimataifa  kwa wagonjwa wanaosumbuliwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI WA WILAYA YA BAHI MKOANI DODOMA WATAKIWA KUWARIPOTI WALE WOTE WATAKAO...

Na Humphrey Shao, Globu ya Jamii Dodoma Jamii imetakiwa kuacha kabisa tabia ya kuozesha watoto wadogo ambao awajafikia umri wa kuolewa na matokeo yake wawezeshe kupata elimu hili iweze kuwasaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC yatangaza uchaguzi mdogo wa madiwani

TUME ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza uchaguzi mdogo wa madiwani katika kata nyingine sita utafanyika Februari 17 mwaka huu.Mwenyekiti wa NEC Jaji Semistocles Kaijage alisema jana kuwa uchaguzi huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SMZ yaving’arisha vijiji vya Mlilile, Mbuyumaji kwa umeme

Kijakazi Abdalla na Mwashungi Tahir-MAELEZOWAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais, Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, amesema mapinduzi ya Zanzibar ndio yaliyowakomboa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WAHAMASISHWA KUCHANGIA DAMU SALAMA

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Kutokana na ukosefu wa damu katika benki ya damu salama, Prosper Magali ameamua kuhamasisha watanzania kuchangia damu kwa ajili ya kufikia malengo ya benki ya damu kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT.KIGWANGALA AZINDUA KAMATI KUANDAA MWEZI WA URTIHI WA TAIFA LA TANZANIA

Said Mwishehe,Globu ya jamiiWAZIRI wa Maliasili na Utalii Dk Hamisi Kigwangala amekutana na Kamati ya Kitaifa ya kuratibu shughuli za maandalizi ya Mwezi Maalum wa Maadhimisho ya urithi wa Taifa la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SINYAMULE ALITAKA JESHI LA POLISI SAME KUONGEZA UFANISI

Na Mwandishi wa Globu ya Jamii, Same.Mwenyekiti wa kamati ya Ulinzi na Mkuu wa Wilaya ya Same, Rosemary Sinyamule amekutana na Maofisa wa jeshi la Polisi na watendaji wa jeshi hilo kuzungumzia  namna...

View Article


RC MAKONDA AWAPIGA STOOP YONO KUWAONDOA WAFANYABIASHARA SOKO LA NDIZI MABIBO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERENGETI LITE YANOGESHA LIGI YA WANAWAKE,TFF,SBL WASAINI MKATABA

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) na kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) leo wamesaini mkataba wa miaka mitatu wa kuidhamini Ligi Kuu ya Wanawake (WPL) kupitia Bia ya Serengeti Lite.Mkataba huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULEGA AMEWAAGIZA WATENDAJI NGAZI YA WILAYA NA MKOA KUSIMAMIA ZOEZI LA UPIGAJI...

Serikali imewataka  watendaji   ngazi  ya   wilaya  na  mkoa  kusimamia kwa umakini zoezi  la  upigaji  chapa   mifungo  linaloendea hapa nchini.Agizo hilo amelitoa Naibu waziri wa Mifugo na Uvuvi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AZINDUA BARAZA LA VIJANA ZANZIBAR

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Uzinduzi wa Baraza la Vijana uliofanyika kwenye ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani, Kikwajuni....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT.SHEIN AZINDUA SOKO LA KINYASINI

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Mohamed Shein amefungua  Soko Jipya la Kinyasini lililojengwa na Programu ya Miundo Mbinu ya Masoko, Uongezaji Thamani na Huduma za Kifedha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK, VIONGOZI MBALIMBALI WAMFARIJI MZEE KINGUNGE NGOMALE MWIRU

 Jeneza lenye mwili wa Marehemu Mama Peras Ngombale Mwiru, Mke wa Mmoja waasisi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mzee Kingunge Ngomale Mwiru ukiwasili nyumbani tayari kwa ibada maalum ya maombolezo,...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA JUMATANO JANUARI 10, 2018

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMATRA PWANI YAKEMEA KUPANDISHWA NAULI KIHOLELA KWA MABUS YAENDAYO MIKOANI

 Na Mwamvua Mwinyi, Globu ya Jamii - PwaniOFISA mfawidhi wa mamlaka ya udhibiti wa usafiri wa nchi kavu na majini (SUMATRA) Mkoani Pwani, Omary Ayoub amekemea tabia ya kupandishwa kwa nauli inayofanywa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WASHAURIWA KUTOISUBIRI SERIKALI KUWAFANYIA KILA KITU

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile akitengeneza tofali kwa ajili ya kuendeleza ujenzi wa vyumba vya madarasa kwa ajili ya Shule ya Sekondari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Herry James asifu ushirikiano wa wananchi Mkoani Arusha

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa Ndg Herry James akisalimiana na baadhi ya viongozi wa UVCCM Mkoa wa Arusha mara baada ya kuwasili Mkoani Arusha kwa ziara ya kikazi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIJI LA DAR LASHINDA TUZO YA KWANZA BARANI AFRIKA YA HUDUMA BORA YA USAFIRI...

Balozi wa Tanzania katika nchi za Marekani na Mexico, Mhe. Wilson M. Masilingi, alipokea Tuzo ya Huduma Bora ya Usafiri Endelevu Mwaka 2018 (Sustainable Transport Award) kwa Jiji la Dar es Salaam kwa...

View Article
Browsing all 110158 articles
Browse latest View live




Latest Images