Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109572 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMANNE JANUARI 10, 2018

BOFYA HAPA KUSOMA ZAIDI

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Profesa Mbarawa avamia bandarini Dar es salaam Usiku, abaini madudu...

 Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa akifanya mahojiano na mmoja wa maofisa wa Bandari ya Dar es Salaam baada ya kukagua kama huduma zinatolewa saa 24 kama Serikali...

View Article

RC RUVUMA AWAONYA WAFANYABIASHARA WA MBOLEA

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma B CHRISTINA MNDEME amefanya ziara ya kushitukiza katika maghala ya SONAMCU ya kuhifadhia mbolea huku akikuta uchache wa mbolea katika maghala hayo habari kamili hii hapa video...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanafunzi 26 wa IFM wala nondozzzz ya uzamili ya Teknolojia ya Habari na Uongozi

 Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiWANAFUNZI 26 wamehitimu shahada ya uzamili ya Teknolojia ya habari  na Uongozi  wa katika chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM).Mkuu wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM),...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OHOOOOO: MATUNDA SAFI NA SALAMA YAPATATIKANA HAPA....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Kilimo Dkt. Charles Tizeba asimamia zoezi la kusafirisha mbolea

 Gari iliyopakiwa mbolea ikiondoka kwenye kwenye ghala la kuhifadhia mbolea la Kampuni ya Mohammed Enterprises lililopo eneo la Mbagala  Jijini Dar es Salaam jana kuelekea mikoa ya Mbeya na Rukwaambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTARATIBU WA KUSAJILI CHAMA CHA SIASA HUU HAPA.

Na  Bashir  Yakub.Haki ya  kusajili  na  kuwa  na  chama  cha  siasa  ipo  kwa kila  mtanzania.  Hata  wewe  unaweza  kuwa  na  chama  cha  siasa  ikiwa  utataka  kufanya  hivyo.  Wako  wanaofikiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

COASTAL UNION WAKATAA UFADHILI WA WAZIRI JANUARY MAKAMBA

Uongozi wa timu ya Coastal Union ya Tanga(al maarufu Wagosi wa Kaya) umekataa ufadhili waliotafutiwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais, anayeshughulikia Mazingira na Muungano, January Makamba...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI AWESO AZIAGIZA HALMASHAURI KUTOWAPA KAZI WAKANDARASI WASIOJALI...

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso, ameziagiza halmashauri zote nchini kutowapa kazi za utekelezaji wa miradi ya maji wakandarasi wasiojali maslahi ya taifa na kusisitiza kuwa Serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA: MPIGANAJI WA Radio Free Africa Zuberi Msabaha katutoka

Aliyekuwa mtangazaji wa muda mrefu wa Radio Free Africa, Zuberi Msabaha amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Jumatano Januari 10, 2018,  huko jijini Mwanza.Zuberi Msabaha alikuwa ameugua kwa muda mrefu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA LIWALE NA NACHINGWEA WALILIA BARABARA

Wananchi wa wilaya ya Liwale na Nachingwea mkoani Lindi wameiomba Serikali kuhakikisha inaanza ujenzi wa barabara ya Liwale - Nachingwea (Km 129) kwa kiwango cha lami ili kutatua changamoto za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS SHEIN AMETEMBELEA STUDIO ZA ZBC RADIO RAHALEO MJINI UNGUJA.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt, Ali Mohammed Shein akisalimiana na Naibu Mkurugenzi wa Shirika la Habari la Zanzibar ZBC, Bi Nasra Mohammed mara baada ya kuwasili katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE AMLILIA MTANGAZAJI WA RADIO FREE AFRICA ALIEFARIKI LEO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU ARIDHISHWA NA USAFIRISHWAJI WA MBOLEA

*Aitaka TFC kuwa na mikakati madhubuti.WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema ameridhishwa na usafirishaji wa mbolea kutoka wa wasambazaji wa pembejeo nchini kwenda kwa wakulima. Pia ameitaka Kampuni ya...

View Article

ALICHOKISEMA RC GAMBO LEO BAADA YA LOWASSA KWENDA IKULU NA KUONANA NA RAIS...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA KUWAIT NCHINI

 Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Balozi wa Kuwait nchini, Mohammad Alamiri(kulia) kuhusu ushirikiano baina ya nchi ya Tanzania na Kuwait katika masuala...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI AFUNGUA KITUO CHA AFYA TUMBATU

Na Mwashungi Tahir, Maelezo Zanzibar.WAZIRI Wa Nchi, Ofisi ya Rais , Tawala za Mikoa , Serikali za Mitaa na Idara Maalum  za SMZ Haji Omar Kheir alisema kabla ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar Kisiwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA TFF WALLACE KARIA AOMBOLEZA KIFO CHA OMARY KAPERA:

Kufuatia kifo cha beki wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania “Taifa Stars” Omary Kapera (wa tatu toka kulia) ,Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Wallace Karia amepokea kwa mshtuko...

View Article

IDARA YA MAGONJWA YA NDANI HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI KUHAMIA MLOGANZILA

View Article

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AFUATILIA KWA KARIBU USAFIRISHAJI WA MBOLEA

View Article
Browsing all 109572 articles
Browse latest View live




Latest Images