Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109602 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI NISHATI AAGIZA UTEKELEZAJI REA III UANZE HARAKA

Serikali imeagiza utekelezaji wa Mradi wa Umeme Vijijini Awamu ya Tatu (REA III) uanze mwezi huu wa Januari, 2018 sambamba na utekelezaji wa Mradi wa Densification ambao upo kwenye utekelezaji. Naibu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wingi wa wanafunzi wa kidato cha kwanza wapelekea kuanzishwa shule mpya

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Joachim Wangabo ameishauri Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi kuona namna ya kuanzisha shule mpya ili kuleta uwiano wa waalimu katika shule hizo unaoendana na idadi ya wanafunzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NDUGULILE AWASILI MKOANI KIGOMA KWA ZIARA YA SIKU MBILI YA KIKAZI

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile( katikati) akisalimiana na Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma Dkt Paul Chaote(kulia) alipowasili katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UCHAGUZI MDOGO JIMBO LA SONGEA MJINI WAZIDI KUIMALIZA KAMBI YA UPINZANI

Moses Machali akimnadi Dkt Damas NdumbaroNa Nathan Mtega,  SongeaWakati kampeni za kuelekea uchaguzi mdogo wa jimbo la Songea mjini mkoani Ruvuma zikiendelea katika kata mbalimbali za manisipaa ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUBWA NA WANAWE PRESENTS TO YOU KISAMAKI | NEW VIDEO & AUDIO | NANENEPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AONGOZA MAOFISA NA ASKARI SHEREHE ZA KUUKARIBISHA MWAKA 2018

Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro, akiwaongoza Maofisa Wakuu Waandamizi na askari wa vyeo mbalimbali wa Jeshi hilo pamoja na wawakilishi kutoka vyombo vya usalama katika sherehe za kuuaga mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AMUAPISHA NAIBU WAZIRI WA MADINI MHE. DOTTO MASHAKA BITEKO...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Dotto Mashaka Biteko kuwa Naibu Waziri wa Madini katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AMTEUA KAMIMSHNA MPYA WA MADINI

RAIS Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Prof. Shukrani Elisha Manya kuwa Kamishna wa Madini na pia kukaimu nafasi wa Msimamizi Mkuu wa Madini.Rais ametangaza uteuzi huo leo Jumatatu Januari 8, 2018...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAVUKA LENGO LA UKUSANYAJI WA KODI KATI YA JULAI NA DESEMBA 2017

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: GAVANA WA SABA WA BENKI KUU YA TANZANIA, PROF. FLORENS LUOGA,...

 Gavana wa saba wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Profes Florens Luoga akiwasili katika ofisi za BoT makao makuu jijini Dar es salaam leo tayari kuanza rasmi. Alipokelewa na Kaimu Mkurugenzi wa Utumishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATOKEO YA DARASA LA NNE NA KIDATO CHA PILI YATANGAZWA

BARAZA la Mitihani Tanzania (NECTA) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba mwaka jana, huku idadi kubwa ya wanafunzi wakifaulu vizuri katika...

View Article

MVUA ILIVYOATHIRI BAADHI YA MAENEO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AMISI TAMBWE AREJEA JIJINI DAR KWA MATIBABU

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.BAADA ya kushindwa kucheza katika michuano ya kombe la Mapinduzi kutokana na kuwa na Malaria, mshambuliaji wa kimataifa kutoka Burundi Amisi Tambwe  amereja Jijini Dar...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA yakusanya trioni 7.87 kwa kipindi cha miezi sita Na Chalila Kibuda, Globu...

Mamlaka ya Mapito nchini(TRA) imekusanya sh.Trioni 7.87 kwa kipindi cha miezi ya mwaka wa fedha 2017/2018 ikilinganishwa na sh.Trioni 7.27 kwa kipindi kama hicho katika mwaka wa Fedha 2016/2017 ambacho...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMUKO WA BEI KWA MWEZI DESEMBA 2017 UMEPUNGUA NA KUFIKIA ASILIMIA 4.0-NBS

NA Chalila Kibuda, Globu ya JamiiMFUMUKO wa bei wa Taifa kwa mwenzi Desemba 2017 umepungua hadi kufikia asilimia 4.O ikilinganishwa na asilimia 4.4 ilivyokuwa mwezi Novemba 2017.Akizungumza na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DK.SHEIN AZUNGUMZA NA GAVANA WA BENKI YA TANZANIA ( BOT) ANAYEMALIZA...

RAIS wa Zanzibar na Mwnyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Gavana wa Benki ya Tanzania (BOT) anayemaliza muda wake Profesa Benno Ndulu, alipofika Ikulu Zanzibar kumuaga...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI YAUNDA TIMU YA WATAALAMU 15 KUFUATILIA UTEKELEZAJI...

NA MWANAHAMISI MSANGI, WMVU WIZARA ya Mifugo na Uvuvi imeunda timu ya wataalamu 15 iliyopo katika mikoa 26 ya Tanzania bara ikiongozwa na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo (Mifugo) Dk. Maria Mashingo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIDHAMU YA KUAHIDI NA KUTEKELEZA, MATUMIZI SAHIHI VYAONGEZA KASI YA...

NIDHAMU mpya katika ukusanyaji na matumizi ya fedha za umma na dhamira ya dhati ya kutekeleza ahadi kubwa kwa faida ya wananchi vimesaidia Serikali ya Awamu ya Tano chini ya Dkt. John Pombe Magufuli,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NDUGULILE ASHIRIKI UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI YA KIJIJI CHA NYANGANGA...

Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJWNaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile(Mb) ameshiriki ujenzi wa Shule ya Kijiji cha Nyanganga iliyoko kata ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATENDAJI WA SERIKALI TIMIZENI WAJIBU WENU-DKT.ABBAS

Said Mwishehe, Blogu ya jamiiSERIKALI imewataka watendaji na watumishi wa umma kuhakikisha wanakwenda na dhamira ya Rais, Dk.John Magufuli ya Hapa Kazi Tu, kinyume na hapo watachukuliwa hatua za...

View Article
Browsing all 109602 articles
Browse latest View live




Latest Images