Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110036 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI AMESHIRIKI IBADA YA FAMILIA TAKATIFU KATIKA KANISA LA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na waumini wengine wa Kanisa Katoliki la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay wakishiriki Ibada ya jumapili ya Familia Takatifu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATALII WA NJE NA NDANI WAENDELEA KUMIMINIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Idadi ya watalii wanaotembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti (Senapa) imeongezeka katika siku za hivi karibuni kutokana na sekta ya utalii kukua huku miundombinu ya barabara na viwanja vidogo vya ndege...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA AMEHUTUBIA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA 2017 NA...

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiongoza Baraza Maalum la kufunga mwaka 2017 na kuukaribisha mwaka mpya 2018. Baraza hilo limehudhuriwa na Maafisa na Askari kutoka vituo mbalimbali vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAMIMINIKA KUSAJILIWA VITAMBULISHO VYA TAIFA KAHAMA

Mkoa wa Shinyanga ni miongoni mwa mikoa 16 ya Tanzania ambayo zoezi la Usajili Vitambulisho vya Taifa linaendelea huku mamia ya wananchi wakionekana kuhamasika na zoezi hilo kwa kujitokeza kwa wingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI NDALICHAKO ATEMBELEA SHULE YA SEKONDARI MAGUFULI ARIDHISHWA NA...

Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Pro.Joyce Ndalichako amefanya ziara fupi Wilayani Chato kwa kuitembelea Shule ya Sekondari Magufuli na kukagua utekelezaji wa miradi ya lipa kulingana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NIDA YATAJA MIKOA INAYOFANYA VIZURI ZOEZI LA USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) Ndg Andrew W. Massawe ameitaja mikoa ya Mara, Arusha, Iringa, Geita, Lindi, Simiyu, Mbeya na Songwe kuwa mikoa inayoongoza katika zoezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AZINDUA KAMPENI YA KITAIFA YA UPANDAJI MIKOROSHO...

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Lindi,Mh Godfrey Zambi alipokuwa akimueleza jambo wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya Kitaifa ya Upandaji mikorosho Bora na mipya Million10...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU TAWALA WILAYA YA CHEMBA NYAKIA ALLY AHAMASISHA WANANCHI KUSHIRIKI...

 Katibu Tawala wa Wilaya ya Chemba Ndugu Nyakia Ally Chirukile akichangia damu baada ya kushiriki zoezi la Usafi wa kila jumamosi ya mwisho wa Mwezi,zoezi ambalo lilikwenda sambamba na upandaji wa miti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAME KAYA SACCOS YAWA MKOMBOZI WA WANA -SAME, KILIMANJARO

Same Kaya Saccos yashika nafasi ya pili Mkoa wa Kilimanjaro 2017 kwa kufanya vizuri katika nyanja zote. Hayo yamebainika mwishoni mwa wiki hii wakati wa uzinduzi wa tawi jipya la SACCOS kata ya Hedaru...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais wa Zanzibar Dk. Shein, Ashiriki Katika Zoezi La Usafi Wa Mazingira...

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akishiriki katika zoezi la Usafi wa Mazingira katika eneo la Nyumba za Wazee Sebleni na kujumuika na Wananchi katika zoezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Yapongezwa kwa Kuwajali Wateja Wake

Afisa wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma akikagua fomu ya tamko la rasilimali na madeni iliyowasilishwa na mmoja wa viongozi wa umma katika ofisi za Sekretarieti hiyo Jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAFUTENI TAKWIMU MPYA, WAZIRI MKUU AAGIZA

“Maafisa kilimo na maafisa ushirika mkisimamiwa na Mkuu wa Wilaya na Mkurugenzi, mshirikiane na kusimamia kwa umakini upatikanaji wa takwimu za wakulima na maeneo yanayolimwa, haiwezekani kila mwaka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA, DKT. JUMA MALEWA ATETA NA VIONGOZI WA KIMILA...

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Kimila Mkoani Mbeya(kushoto) ni Kiongozi Mkuu wa kimila kabila la Wasafa lililopo Mkoani Mbeya, Rocket...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI ULEGA AAGIZA WATENDAJI WA VIJIJI NA WENYEVITI KUWASOMEA MAPATO...

Na Chalila Kibuda,Globu ya jamii.NAIBU waziri wa Mifugo na Uvuvi (Mbunge) wa Jimbo la Mkuranga mkoani Pwani Abdalla Ulega ametoa agizo kwa Watendaji wa vijiji na Wenyeviti kuwasomea mapato na matumizi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKOA WA PWANI UMEUZA TANI 19,815 ZA KOROSHO NA KUPATA BIL.39-RC NDIKILO

Na Mwamvua Mwinyi,MkurangaMKOA wa Pwani ,tayari umeuza tani 19,815 ambazo zimeingiza zaidi ya bilioni 39 tofauti na msimu uliopita ambapo uliuza tani 13,000 na kupata bilioni 33.##Mkoa huo umejiwekea...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) MKOA WA SINGIDA CHAZINDUA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO

Na,Jumbe Ismailly SINGIDA CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida kimezindua kampeni zake za uchaguzi mdogo katika jimbo la Singida Kaskazini na kusisitiza juu ya kudumisha amani,utulivu na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli amtumia salamu za Rambirambi Mhe. Rais Kenyatta kufuatia ajali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SALAMU ZA MWAKA MPYA KUTOKA KWA MHE. NAIBU WAZIRI WA AFYA Dkt. Faustine...

SALAMU ZA MWAKA MPYA ZA MHE. NAIBU WAZIRI WA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO ZIKISISITIZA JUU YA WAJIBU WA WATOA HUDUMA ZA AFYA NA MABARAZA YA KITAALUMA PAMOJA NA HAKI ZA WANANCHI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AUKARIBISHA MWAKA MPYA 2018 NA WANANCHI WA MSOGA, MKOANI PWANI USIKU HUU

 Rais Mstaafu, Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa pamoja na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgallu, sambamba na wananchi wa mji wa Msoga Mkoani Pwani kusherehekea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATATU LEO JANUARY MOSI,2018

HAPPY NEW YEARKupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article
Browsing all 110036 articles
Browse latest View live




Latest Images