Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110078 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUJADILIANA NA MGODI WA CATA MINING KABLA YA KUURUHUSU KUENDELEA...

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo ameuagiza Mgodi wa Dhahabu wa CATA Mining uliopo katika Kijiji cha Kataryo Mkoani Mara kukaa pamoja na Serikali kujadili tofauti zilizopo ili kuruhusu mgodi huo...

View Article



MICHUZI TV: DC GODWIN GONDWE AIELEZEA WILAYA YA HANDENI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkuchika Awasilisha fomu ya tamka la Rasilimali na Madeni Mtwara leo.

Waziri wa Utumishi na Utawala Bora Capt Mstaaf George Mkuchika  amewataka Wabunge,madiwani na Viongozi wa Una wanaojihusisha na Biashara Na Halmashauri Kuacha Mara moja kutokana na Kwenda Kinyume na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MTU MMOJA ANUSURIKA KIFO BAADA YA KUPORWA BAJAJI NA WATU WALIOMKODISHA

Kamanda wa  Jeshi la Polisi Mkoa wa Pwani Jonathan Shanna akizungumza na waandishi wa habari Na Mwandishi Wetu, PwaniMTU mmoja nayesadikiwa kuwa ni jambazi amefariki dunia baada ya kupigwa na wananchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI KATIKA JAMHURI YA...

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA FEDHA NA MIPANGO  TAARIFA KWA UMMA KUHUSU MATUMIZI YA FEDHA ZA KIGENI KATIKA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWaziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI AWESO:HATUTASITA KUWACHUKULIA HATUA WAKANDARASI WAZEMBE

NAIBU Waziri wa Maji na Umwagiliaji Jumaa Aweso amesema hatasita kumchukulia hatua mkandarasi yoyote ambaye atashindwa kukamilisha kwa wakati miradi ya maji waliopewa kwenye maeneo mbalimbali hapa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATUTASITA KUMCHUMKULIA HATUA MKANDARASI YEYOTE ATAKAYEKWAMISHA UTEKELEZAJI...

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso amesema wizara yake haitasita kumchukulia hatua mkandarasi yeyote endapo atabainika kuwa chanzo cha kukwamisha utekelezaji wa miradi ya maji katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU, KASSIM MAJALIWA AKAGUA UJENZI WA NYUMBA YA DAKTARI KITUO CHA...

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akiwa na mganga mkuu wa kituo cha afya Nkowe Dk. Paul Mbinga,wakati akikagua ujenzi wa nyumba ya daktari, Waziri Mkuu yupo Wilayani Ruangwa kwa ajili ya mapumziko ya mwisho...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MKOA WA MAGHARIBI

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM Balozi Seif Ali Iddi amesema wakati umefika kwa Wananchama wa Chama cha Mapinduzi kutowapa nafasi za Uongozi wanachama wenye tabia ya kuhama...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AMWAGIZA AFISA MADINI AITISHE KIKAO KESHO SAA 4 ASUBUHI

 *Ni baada ya kupokea mabango ya wananchi wakidai kunyanyaswaWAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Kaimu Afisa Madini Mkazi wa Kanda ya Kusini, Bw. Ogesa Charles Tale afike eneo la mgodi wa dhahabu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAKANUSHA TANGAZO LINALOTANGAZA USHIRIKI WA MAKAMU WA...

Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakanusha tangazo linalosambaa katika Mitandao ya Kijamii linalomhusisha Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu...

View Article

TRA KUMCHUNGUZA ASKOFU KAKOBE

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UFAFANUZI JUU YA MICHANGO KWA WANACHAMA WA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF)

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAPILI LEO DECEMBER 31,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vituo vya Afya vinavyojengwa vinahitaji wataalam wa Dawa za Usingizi - Waziri...

Ntegenjwa Hosseah, Mpwapwa.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa amesema vituo vyote 211 vinavyoongezewa miundombinu ya Afya vinahitaji wataalam wa kutoa Dawa za Usingizi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KOMBE LA MAPINDUZI: JKU YAICHAPA ZIMAMOTO BAO 1-0 UWANJA WA AMAAN ZANZIBAR

Mshambuliaji wa Timu ya Zimamoto, Hafidh Barik akipokea mpira huku beki wa Timu ya JKU, Ponsiana Malik akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wao wa Kombe la Mapinduzi uliofanyika katika Uwanja wa Amaan...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BILIONI 1. 8 ZITATUMIKA UJENZI WA MRADI WA MAJI SAWALA – HALMASHAURI YA MUFINDI

Waziri wa Maji na umwagiliaji Mh. Mhandisi Isack Kamwelwe, amewahakikishia wananchi wa kata ya Mtwango halmashauri ya Wilaya ya Mufindi kuwa, mradi mkubwa wa Maji wa Sawala wenye thamani ya zaidi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT MNDOLWA,MAJI MAREFU WAUNGURUMA UZINDUZI WA KAMPENI ZA UDIWANI KATA YA...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa,Dkt Edmund Mndolwa akisalimiana na wananchi wa Kijiji cha Mkokola Kata ya Kwagunda mara baada ya kuwasili kuzindua kampeni za udiwani kushoto ni Mwenyekiti wa CCM...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATALII WA NJE NA NDANI WAENDELEA KUMIMINIKA HIFADHI YA TAIFA YA SERENGETI

Serengeti - Idadi ya watalii wanaotembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti(Senapa) imeongezeka katika siku za hivi karibuni kutokana na sekta ya utalii kukua huku miundombinu ya barabara na viwanja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE AZZA HILAL AKABIDHI HUNDI YA SHILINGI MILIONI 6.8 KUKAMILISHA UJENZI...

Mbunge wa Viti Maalum mkoa wa Shinyanga, Azza Hilal Hamad (CCM) (wa pili kushoto) amekabidhi hundi ya shilingi Milioni 6.8 ( 6,830,000/=) kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa jengo la wodi ya wazazi...

View Article
Browsing all 110078 articles
Browse latest View live




Latest Images