Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109606 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AWASILISHA FOMU ZAKE ZA TAMKO LA RASILIMALI NA MADENI KWA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika Jengo la Sukari House lenye Ofisi za Sekretarieti ya Maadili ya viongozi wa Umma kwa ajili ya  kuwasilisha Fomu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKUKAGUA MIRADI YA MAENDELEO JIMBONI KWAKE WILAYANI RUANGWA,...

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Lindi Godfrey Zambi, alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Nachingwea, kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka ambapo aliamua kukagua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM mkoa wa Pwani yajipanga kukomboa maeneo mbalimbali yanayoongozwa na vyama...

Na Mwamvua Mwinyi,ChalinzeMWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Pwani Ramadhan Maneno amesema, atahakikisha anakomboa maeneo mbalimbali yanayoongozwa na vyama vya upinzani mkoani humo katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Jumuiya za Kidini zatakiwa kuzingatia Sheria na masharti ya usajili waliopewa

Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kidini Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi chini ya Sheria ya Jumuiya, Sura ya 337 iliyofanyiwa mapitio mwaka 2002 (Societies Act) inazikumbusha Jumuiya zote zilizosajiliwa...

View Article

Kwa Simu Toka London: Sehemu ya 4 - Mahojiano na Saidi Kanda

Na Freddy MachaSehemu ya 4 ya mahojiano na Saidi Kanda - anazungumzia kuhusu bendi yake Mvula Mandondo- na kumhusisha mwimbaji na kiongozi wa bendi hiyo, Fab Moses. Hebu tuwasikilize wakizungumza na...

View Article


The Makaveli Trap song rapper returns again with a new jam "Buku kuwa laki"

The Makaveli Trap song rapper returns again with a new jam. "Buku kuwa laki" here he speaks about the hustle and life after him being under the spot light, the obstacles, and chalenges he faces. This...

View Article

Introducing "Magufuli Tubebe" By Rose Muhando

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ihanje saafi, ujenzi wa miundombinu ya Afya - Waziri jafo.

Nteghenjwa,Hosseah,Ikungi-Singida.Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selemani Jafo amepongeza kazi nzuri  ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali inayoendelea kujengwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yazikumbusha Jumuiya zote zinazofanya kazi kinyume na malengo...

Ofisi ya Msajili wa Jumuiya za Kidini Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi chini ya Sheria ya Jumuiya, Sura ya 337 iliyofanyiwa mapitio mwaka 2002 (Societies Act) inazikumbusha Jumuiya zote zilizosajiliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSANI HARMONIZE AGAWA CHAKULA KWA WATOTO WAISHIO KATIKA MAZINGIRA MAGUMU...

Msanii wa muziki wakizazi kipya Rajab Abdulkahal au Harmonize amekula chakula cha mchana na watoto wanaishi katika mazingira hatarishi katika kituo cha kulelea Yatima cha kanisa LA EAGT mkoni Mtwara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IN LOVING MEMORY

Dear Maxmillian Charles Makwaia... It is exactly two years since you were promoted to Glory."But those we love don't go away, they walk beside us every day,  unseen, unheard, but always near, still...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA IJUMAA LEO DECEMBER 29,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

KUKITHIRI MASHAMBULIZI DHIDI YA WATOTO 2017

View Article


VOA Swahili: Mkimbizi arudi Dadaab miaka miwili baada ya kuondoka

View Article

Introducing "SIRI" (Official Video) by Rayvanny ft Nikk wa Pili

View Article


INTRODUCING "NITAZOEA" Official Video by Encok Bella

View Article

Kwa simu toka London: Mahojiano na Saidi Kanda - Sehemu ya Mwisho

Na Freddy MachaKumaliza mwaka 2017 na Sehemu ya 5- ya  mahojiano na Saidi Kanda, tujiulize kwanini vijana wengi siku hizi wanadhani dawa za kulevya (hasa bangi) ndiyo kiini cha usanii - hasa wa muziki....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA YA SHEIKH AHMED ISLAM NIMJUAE: DKT. DAU

Inaandikwa na Ramadhani K. Dau *Ilikuwa siku ya Jumamosi tarehe 23 Disemba 2017, majira ya saa 5 usiku kwa saa za Malaysia nilipopata ujumbe mfupi wa sms kutoka kwa *Sheikh Issa Othman*, maarufu Mufti...

View Article

BBC DIRA YA DUNIA ALHAMISI DESEMBA 28, 2017

View Article

HARAKISHENI UMEME KUKAMILISHA MRADI WA MAJI NAMAHEMA ‘A’: WAZIRI MKUU MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtaka Meneja wa TANESCO wilaya ya Ruangwa, Bw. Samuel Pyuza ahakikishe umeme unapatikana mapema kwenye pampu ya maji ili kukamilisha mradi wa maji wa Namahema ‘A’.Ametoa...

View Article
Browsing all 109606 articles
Browse latest View live




Latest Images