Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110153 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC INJINIA NDIKILO ATAKA KILUVYA UNITED WAIFUNGE RUVU SHOOTING JUMAMOSI

MKUU wa Mkoa wa Pwani Inginia Everist Ndikilo leo ametoa hamasa kwa kuichangia  timu ya Kiluvya United  kiasi cha  Sh. Mil.2.2 ikiwa kwa ajili ya kuweka kambi  kuelekea mechi yao na Ruvu Shooting...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA ALHAMIS LEO DECEMBER 28,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZO LA MNUSO WA KUFUNGA MWAKA WA JUMUIYA YA WATANZANIA LEICESTER

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMANDA WA POLISI MKOA WA SINGIDA ASHIRIKI IBADA MAALUM YA KULIOMBEA TAIFA...

 Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Deborah Magiligimba akizungumza na waumini wa Kikristo(hawapo pichani) kwenye ibada maalum ya kuliombea Taifa iliyoandaliwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKWELI KUHUSU KUTOFANYIKA KWA FAINALI ZA ‘MISS TANZANIA 2017’

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekua likifuatilia kwa umakini mwenendo wa shindano la Miss Tanzania na waandaji wake kampuni ya LINO Agency katika kuhakikisha taratibu, kanuni na miongozo ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hatuna tatizo la dawa nchi nzima-Dkt. Ndugulile

Na Chalila Kibuda,Globu ya jamiiSerikali imesema kuwa hakuna tatizo la dawa katika sehemu kutoa huduma za afya katika Hospitali, Vituo vya Afya , Dispensari pamoja na Zahanati.Hayo ameyasema Naibu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHAURU YADHAMIRIA KUINUA KILIMO CHA MPUNGA MSIMU UJAO-SADALA

Na Mwamvua Mwinyi,PwaniCHAMA cha ushirika cha umwagiliaji Ruvu (CHAURU )mkoani Pwani,kimedhamiria kuinua kilimo cha mpunga na kuingia kwenye soko la mchele badala ya mpunga ili kumnufaisha mkulima wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyabiashara wadogowadogo Ubungo wamlilia Rais

Na Florah Raphael.Wafanyabiashara wadogowadogo wanaofanya biashara kwenye stendi ya mabasi yaendayo mikoani wamefanya maandamano madogo wakishinikiza na kupinga manyanyaso dhidi ya wafanyabiashara huku...

View Article


KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article


AMSHA KIPAJI CHAKO NA MASOSO NDANI YA MICHUZI TV.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAVUNDE AJIBU KERO ZA WANANCHI WA HOMBOLO

Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini Anthony Mavunde amefanya ziara kusikiliza kero mbalimbali zinazowakabili wananchi wa kata ya Hombolo Bwawani huku akiwahakikishia wananchi wa Mkoyo kuwa wataanza kupata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJENZI WA CHUO CHA VETA MKOA WA SIMIYU KUANZA MWEZI MACHI 2018

Na Stella Kalinga, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa SimiyuWaziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa. Joyce Ndalichako amesema Serikali inatarajia kuanza ujenzi wa Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi(VETA) cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAGUZI MACHIMBO YA BUHEMBA KUKAMILIKA KABLA JANUARI 10, 2018

Serikali imeagiza kufikia Januari 10, 2018 Ukaguzi wa Usalama kwenye eneo la Machimbo ya Dhahabu ya Buhemba, Wilayani Butiama Mkoani Mara uwe umekamilika ili shughuli za uchimbaji zilizokuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JESHI LA POLISI MKOANI NJOMBE LINAMSAKA ASKARI PC ZAKAYO DOTO KWA TUHUMA ZA...

Kamanda wa polisi Mkoa wa Njombe,  Pudensiana Protasi akizungumza na waandishi wa habari Na Amiri Kilagalila, NjombeJeshi la polisi  mkoani Njombe linamtafuta askari PC Zakayo Doto kwa kosa la kumuua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TOCHI ZA TRAFIKI ZIMESAIDIA KUDHIBITI MWENDO KASI BARABARANI, KUPUNGUZA...

Na Said Mwishehe, Blogu ya JamiiJESHI la  Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema litaendelea kutumia tochi kwa ajili ya kudhibiti mwendokasi huku likihimiza watuamiaji wa barabara kuzingatia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI NISHATI SUBIRA MGALU AAGIZA REA KUMCHUKULIA HATUA MKANDARASI WA...

Na Zainab Nyamka,Globu ya Jamii.NAIBU Waziri wa Nishati Subira Mgalu ameagiza mkandarasi wa mradi wa umeme wa Vijijini REA awamu ya pili Kwa Mkoa wa Pwani ambayo ni kampuni ya MBH kuchukuliwa hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAYAGE KUAGWA NA KUZIKWA LEO ALHAMISI DESEMBA 28, 2017; NYUMBANI KWAKE...

Ramani ya msibaMsiba uko nyumbani kwake Mbweni Kijijini, Dar es Salaam, eneo la Mbweni Maputo,siyo mbali na hospitali ya Mbweni Misheni.Yaani ukiwa unatokea Mwenge unapanda daladala ziendazo Mbweni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA CRDB YAANZA MCHAKATO WA KUPATA MRITHI WA DKT. KIMEI

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (katikati) akizungumza na waandishi wa Habari ofisini kwake jijini Dar es salaam leo, kuhusu Benki hiyo kuanza mchakato wa kumtafuta mrithi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWILI WA MAREHEMU MAYAGE WAAGWA LEO NYUMBANI KWAKE MBWENI

Na Said Mwishehe, Blogu  ya JamiiTASNIA ya habari imeombwa kuendeleza mapenzi baina yao kama walivyoonyesha katika ugonjwa wa Mayage S. Mayage aliyefariki juzi.Hayo yamesemwa leo  mchana huu na Padre...

View Article

MKUU WA MKOA PWANI AAMRISHA VIONGOZI KUMI WA VYAMA USHIRIKA KUKAMATWA

View Article
Browsing all 110153 articles
Browse latest View live




Latest Images