Zanzibar New year Bonanza kuzinduliwa Rasmi kwa mechi ya Soka kati ya...
Tamasha la kimichezo la Zanzibar New Year Bonanza lililoandaliwa na Taasisi ya Rafiki Network linatarajiwa kuzinduliwa Rasmi siku ya Jumatatu ya Desemba 25 2017 kwa mechi ya mpira wa miguu kati...
View ArticleWAFUGAJI BUKOMBE MKOANI GEITA WAWALALAMIKIA ASKARI WANYAMA PORI LA AKIBA...
Wafugaji katika Halmashauri ya Wilaya ya Bukombe mkoani Geita, wamewalalamikia askari wa pori la Akiba la Kigosi Myobosi kwa madai ya kuwanyanyasa pindi wanapokamata ng'ombe zao katika pori hilo....
View ArticleMAMCU YASIMAMISHA MINADA-Mtwara.
Chama kikuu cha Ushirika Cha Masasi,Mtwara Cooperative Union(MAMCU) kimelazimika Kusimamisha Minada ya zao la Korosho Iliyokuwa Ikifanyika kila Ijumaa kwa Kipindi cha Wiki Mbili kutokana na Wakulima...
View ArticleTANZIA:TAARIFA YA KIFO CHA MWANDISHI WA HABARI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE
Mayage S.Mayage enzi za uhai wake.Tunasikitika kuwatangazia kuwa mwenzetu Mayage S Mayage tuliyekuwa tukijichangisha kwa ajili ya matibabu yake, ametutokaKwa mujibu mke wa Marehemu,Digna Mayage,...
View ArticleHERI YA SIKUKUU YA KRISMASI NA MWAKA MPYA KUTOKA KWA ANKAL
Wapendwa wadau wa Libeneke la Globu ya Jamii, ni matumaini yetu kuwa mu wazima kabisa na mnaendelea vyema na shughuli zenu za kila siku katika kuisaha noti (japo wengine hulalamika kuwa vyuma vimekaza)...
View ArticleNEC YAMBARIKI MGOMBEA UBUNGE CCM SINGIDA KASKAZINI
Na Said Mwishehe,Blogu ya Jamii TUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), imetoa uamuzi wa kuitupa rufaa iliyowasilishwa na mgombea ubunge Jimbo la Singida Kaskazini kupitia Chama cha AFP. Mgombea huyo alikuwa...
View ArticleWAVAMIZI WA HIFADHI YA MISITU WILAYANI GAIRO WAONDOLEWA
Wadau wa mazingira nchini Tanzania wameombwa kujitokeza kuinusuru wilaya ya Gairo ambayo inahekari zaidi ya 3,000 zilizokuwa zimevamiwa waharibifu wa mazingira.Kauli hiyo imekuja hivi karibuni baada ya...
View ArticleWASHINDI WA DROO YA PILI MLIMANI CITY WAPATIKANA.
Na Mwandishi Wetu.WASHINDI 20 wa promosheni ya Mlimani City Shoping Fest wamepatika mara baada ya kucheza droo iliyofanyika mwishoni mwa wiki Mlimani City jijini Dar es Salaam ambao ni Grace...
View ArticleWAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI, MHE. LUHAGA MPINA ASHEHEREKEA SIKUKUU YA KRISMAS...
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mhe. Luhaga Mpina akishiriki kusafisha shamba lake la mpunga lililoko Kijiji cha Dalla mkoani Morogoro alipokuwa kwenye wa mapumziko ya sikukuu ya Krismas leo. Waziri wa...
View ArticleMAASKOFU WAFUNGUKA, WATOA YA MOYONI
*MMOJA ATAKA WATANZANIA KUACHA KULALAMA VYUMA KUKAZANa Said Mwishehe,Blogu ya JamiiMAASKOFU mbalimbali nchini wameitumia Sikukuu ya Krismasi kuelezea mambo mbalimbali yanayoendelea nchini.Huku baadhi...
View ArticleUBALOZI WA KUWAIT WAKABIDHI VIFAA VYA WALEMAVU NA MISAADA MBALIMBALI MKOANI...
Kutoka kushoto, Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mh. Jasem Al-Najem, Naibu Waziri wa sera, Bunge, Kazi, vijana, ajira na walemavu Mh Stella Ikupa, na Mwenyekiti wa Dr Amon Mkoga Foundation. Ubalozi wa...
View ArticleUPDATES YA MAZISHI YA MWANDISHI MKONGWE MAYAGE S MAYAGE.
Mayage S.Mayage kuzikwa Mbweni Jijini Dar AlhamisMWANDISHI wa habari mwandamizi, Mayage Mayage, (56), amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda.Mayage amekutwa na umauti katika Hospitali ya Misheni ya...
View ArticleRais wa Zanzibar Dk. Shein Ahudhuria Mazishi ya Mama Yake Meja Staaf Juma...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi wakishiriki katika Sala ya kuuombea dua Mwili wa Marehemu Mtumwa...
View ArticleTANESCO YAFURAHISHWA NA HATUA ZA SERIKALI KULINDA VYANZO VYA MAJI YA KUFUA UMEME
NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidINAELEZWA kuwa umeme wa maji, (Hydro power) ndio umeme wenye bei nafuu zaidi ukilinganisha na umeme unaotokana na vyanzo vingine.Kwa mujibu wa Naibu Mkurugenzi wa TANESCO...
View Article
More Pages to Explore .....