Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110129 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU BILIONI 7 DUNIANI WAPINGA AZIMIO LA TRUMP

Marekani imefeli  kuulazimisha ulimwengu kukubaliana na azimio lake lililokinyume na sheria, wakati mkutano mkuu  wa Umoja wa Mataifa ulipopitisha kwa idadi kubwa ya wanachama wake, kupinga azimio la...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA 14 WA PAMBA WAINGIA MATATANI WILAYANI IGUNGA KWA KUVUNJA SHERIA YA...

WATU 14 wilayani Igunga wamekamatwa na Serikali ya Mkoa wa Tabora kwa tuhuma za kukaidi maagizo ya kuwataka kulima pamba kwa kuzingatia kanuni bora za kilimo cha pamba na kujikuta wakivunja Sheria ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU SPIKA AKABIDHI MISAADA MBALIMBALI WILAYANI RUNGWE

Naibu Spika Dk Tulia Ackson amefanya ziara katika baadhi ya maeneo Wilayani Rungwe mkoani  Mbeya ikiwa ni kutekeleza baadhi ya ahadi alizowahi kuzitoa katika kusaidia maendeleo, kwanza alianza kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK NDUGULILE AZINDUA PROGRAMU YA KIKUNDI MLEZI KWA WANAWAKE WAJASILIAMALI

Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJWNaibu Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile amezindua programu ya Kikundi Mlezi yenye lengo la kuwawezesha wanawake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAVUNDE ATEMBELEA UJENZI WA DARAJA LA CHIHANGA-GAWAYE NA ZAHANATI YA ZEPISA,...

Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh Anthony Peter Mavunde leo ametembelea ujenzi wa Daraja linalounganisha vijiji vya Chihanga na Gawaye kata ya Chihanga Jimbo la Dodoma Mjini na kupongeza kasi ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA WA UHAMIAJI ZANZIBAR ATANGAZA NEEMA

 Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu.Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar Johari M. Sururu amewataka Askari na Maafisa wa Jeshi la Uhamiaji kufanyakazi kwa Uweledi na kujituma ili kuweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM YATAJA MAJINA YA WATAKAOHAKIKI MALI ZA JUMUIYA YAO

Na Said Mwishehe, Blogu ya JamiiUMOJA wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(UVCCM) imetaja majina sita kati ya wanane ya wajumbe walioteuliwa  katika Kamati ya kuchunguza na kufuatilia mali za chama.Hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MKUU WA SUMATRA ATINGA KITUO CHA UBUNGO KUANGALIA HALI YA USAFIRI...

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti ya  Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), Gilliard Ngewe akipata maelezo kutoka kwa Kamanda wa Usalama Barabarani Mkoa wa Kinondoni, Solomon...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DED MOROGORO VIJIJINI KUCHUNGUZWA

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo ameagiza kufanyika uchunguzi wa haraka kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya morogoro Vijijini Sudi Mussa Mpiri kutokana na utendaji wake...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Article 5

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ULEGA ASHUHUDIA UCHOMWAJI WA ZANA HARAMU ZA UVUVI MKOANI KIGOMA

Kufuatia Wimbi la Uvuvi haramu mkoani Kigoma ,Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Abdalla Hamisi Ulega jana alishuhudia uchomwaji wa zana haramu za Uvuvi katika kijiji cha Buhingu  kilichopo katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAZI WA NANYAMBA MKOANI MTWARA ASAKWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA...

Na Obligado-Mtwara.Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linamtafuta Zuhura Ismail Mkazi wa Halmashauri ya Nanyamba Mkoani Mtwara kwa Kosa la Kumuua Aliyekuwa Mume wake kwa Kuchoma nyumba waliyokuwa wakiishii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA NCHINI WATAKIWA KUWA WAZALENDO

 Rais wa Serikali ya Wanafunzi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (DARUSO) Jeremiah John Jilili akisisitiza jambo mbele ya Waandishi wa Habari kuhusu mchango wa vijana kuelekea uchumi wa viwanda leo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

POLISI TANGA YAWATAHADHARISHA WANANCHI KUELEKEA SIKUKUU

JESHI la polisi mkoani Tanga, limewahadharisha wananchi kuelekea katika msimu wa sikukuu za Krismasi na Mwaka mpya, kujiepusha na vitendo vya uvunjifu wa amani kama ulipuaji baruti na fataki ikiwemo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA TFF WALLACE KARIA KUKUTANA NA WAHARIRI WA HABARI DEC 27 MWAKA HUU

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu Tanzania (TFF) Wallace Karia (kulia, akiwa na Makamu wake Michael Wambura) atakutana na Wahariri wa Habari za Michezo Jumatano Desemba 27, 2017.Pamoja na mambo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWASILI MKOANI RUVUMA JIONI YA LEO

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF ATAKA UWEKEZAJI KWENYE UCHAPISHAJI WA VITABU VYA KISWAHILI

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema wakati umefika kwa Wafanyabiashara wakubwa Nchini kuwekeza katika uchapishaji wa Vitabu vya Kiswahili pamoja na kujenga Maduka makubwa ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KITABU CHA KULETA MABADILIKO CHAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM

 Na Chalila Kibuda, Globu ya Jamii.Kampuni ya Viva Legency inayohusika na mafunzo na ushauri elekezi imekuja na kitabu kinachojulikana kama "SOTE TUNAWEZA" kikiwa na lengo la kusaidia harakati za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YANGA YATEUA KAMATI YA MABADILIKO IKIONGOZWA NA ALEX MGONGOLWA

Katibu Mkuu wa Yanga, Boniface MkwasaNa Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Klabu ya Yanga imeuanza rasmi mchakato wa mabadiliko ya mfumo wa uendeshaji kwa kumteua Wakili Alex Mgongolwa kuwa Mwenyekiti wa...

View Article

HIZI NDIO SABABU ZA AIRTEL KUWA MALI YA TTCL

View Article
Browsing all 110129 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>