Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO "YALIA" NA WAHARIBIFU WA MAZINGIRA MITO INAYOLISHA BWAWA LA MTERA

 Taswira ya daraja la Mtera, ambalo pia hutumika kama milango ya kupitishia maji ya kusukuma mashine za kufua umeme. picha hii imepigwa Desemba 20, 2017.NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, MteraUHARIBIFU wa...

View Article



MAKOSA YA JINAI YAZIDI KUPUNGUA: DCI ROBERT BOAZ

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MVUA KUBWA YA UPEPO MKALI YASABABISHA MAAFA VIJIJI VYA UKENYENGE NA NEGEZI...

Na Robert Hokororo, KishapuMvua kubwa ya upepo mkali imesababisha maafa katika vijiji vya Ukenyenge na Negezi wilayani Kishapu mkoani Shinyanga ambapo imeezua paa za nyumba 37 pamoja na majengo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHEHA MKOA WA KASKAZINI UNGUJA WAPEWA TAARIFA YA UJENZI WA BARABARA

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Usafirishaji na Mawasiliano Mustafa Aboudjumbe kushoto akijibu maswala mbalimbali yalioulizwa katika Kikao Maalum cha kutoa taarifa kwa Masheha kuhusiana na Ujenzi wa...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ANTU MANDOZA KUTIMIZA NDOTO YAKE YA KUIGIZA NA RAMSEY NOAH KUTOKA NCHINI NIGERIA

  Antu Mandoza akiwa katika picha ya pamoja na Muigizaji nyota wa Filamu kutoka nchini Nigeria Ramsey Noah wakiwa katika picha ya pamoja.Mwigizaji nyota wa filamu na Mkongwe wa tasnia hiyo kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KATIKA ZIARA YA KAMISHNA WA UHAMIAJI ZANZIBAR, MKOA WA KASKAZINI...

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Bwana Omari Khamis Othman Akizungumza na Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari M. Sururu (kulia) na Ujumbe aliofuatana nao alipomtembelea ofisini kwake, wakati...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUAHIRISHWA KWA FAINALI ZA MISS TANZANIA 2017

Kampuni ya Lino International Agency Limited, waandaji wa mashindano ya urembo ya Miss Tanzania tunapenda kuwajulisha wapenzi, mashabiki na wadau wa tasnia ya urembo kwamba hakutakuwa na Fainali za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYAKAZI WA ZANTEL WASHIRIKI KUFANYA USAFI NA KUKABIDHI VIFAA KWA...

Baadhi ya wafanyakazi wa Kampuni ya Mawasiliano ya Zantel wakishiriki kufanya usafi katika hospitali ya Mnazi Mmoja Zanzibar, zoezi ambalo lilifanyika hivi karibuni mjini Zanzibar. Tofauti na kufanya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI SHONZA AFUNGA MICHEZO YA VYUO VIKUU TANZANIA (TUSA) MJINI DODOMA

 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akizungumza na washiriki wa Michizo ya Vyuo Vikuu (Hawapo Pichani) wakati akifunga fainali za Michezo hiyo iliyofanyika Chuo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SELCOM YAUNGA MKONO BENKI YA EXIM TANZANIA KUBORESHA HUDUMA ZA KIFEDHA NCHINI.

 Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Selemani Ponda na Mkurugenzi wa Mikakati wa kampuni ya Selcom, Benjamin Mpamo wakizindua Cashpoint ATM ambayo itawawezesha watumiaji wamobile money, Visa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUBILEE INSURANCE YATOA ZAWADI KWA WANAFUNZI WATANO WALIOSHINDA SHINDANO LA...

Wanafunzi watano wa shule za serikali  hapa nchini wameshinda shindano la uchoraji ambazo zinaeleza tukio halisi ambalo limetaribiwa na Jubilee Insuarance. Walioshinda wamepewa zawadi za bima za afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA JESHI LA POLISI, IGP SIMON SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI MKOANI LINDI...

 IGP Simon Sirro  akisalimiana na Kaimu Mkuu wa Mkoa  ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Lindi Mh Shaibu Ndemanga baada ya kuwasili mkoani Lindi katika ziara ya siku moja ya kuongea na Askari.  Picha na Jeshi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KONGAMANO LA KWANZA LA KIMATAIFA LA KISWAHILI LIMEFUNGULIWA ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk,Ali Mohammed Shein  akikunjuwa Kitambaa kinachoonesha Picha ya Mtunzi mahiri wa Vitabu na aloeneza lugha ya kiswahili kwa njia hio Muhammed...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKUKURU TANGA YAWAFIKISHA MAHAKAMANI WAHASIBU WAWILI WA OFISI YA MKUU WA...

TAASISI ya kuzuia na kupambana na rushwa mkoani Tanga(Takukuru) imewafikisha mahakamani wahasibu wawili wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa Tanga Josiah Mwaipela na Julius Idana kwa mashtaka matatu ya rushwa....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK.MABODI ATOA NASAHA KWA VIONGOZI

NA IS-HAKA OMAR, ZANZIBAR.NAIBU Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Dk. Abdulla Juma Mabodi amewataka viongozi wa ngazi mbali mbali waliochaguliwa kwa ajili ya kuwatumikia wanachama  kujiandaa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MIAKA MITANO YA WAKALA KATIKA UTEKELEZAJI WA SERIKALI MTANDAO NCHINI

Serikali Mtandao ni matumizi ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) katika taasisi za umma kwa lengo la kutoa huduma bora kwa haraka, zilizo za gharama nafuu, zinazofikiwa kwa urahisi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya TPB yachezesha droo ya pili ya Western Union

Benki ya TPB  Desemba 21, 2017 imechezesha droo ya pili ya Western Union na kupata washindi 7 kutoka matawi mbalimbali . Washindi 5 walipata simu za mkononi na 2 walipata kompyuta mpakato.Majina hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LUKUVI AMALIZA MGOGORO WA ARDHI VINGUNGUTI

Na. Hassan Mabuye, Wizara ya ArdhiWaziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi ameumaliza mgogoro wa ardhi wa muda mrefu kati ya wakazi wa Mtaa wa Mtambani Vingunguti na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KALEMANI AAGIZA WOTE WALIOLIPIA UMEME 2017 WAUNGANISHIWE KABLA YA...

Na Veronica Simba .Serikali imeliagiza Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kuhakikisha wateja wote walioomba na kulipia huduma hiyo mwaka 2017 wanaunganishiwa kabla ya Desemba 30 mwaka huu.Waziri wa...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images