Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNHCR YAWAWEZESHA WAKIMBIZI WENYE MAHITAJI MAALUM KUKABILIANA NA CHANAGAMOTO...

Ujumbe wa Wanahabari na wafanyakazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa la  Kuhudumia Wakimbizi Duniani (UNHCR)  Wakiwa na Maofisa wa Shirika la Help Age International wakizungumza na Kikongwe cha Miaka 80...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RPC AIPONGEZA SGA KWA WELEDI, KUJALI WAFANYAKAZI

Kampuni ya SGA Security imeadhimisha miaka 33 tangu ianze shughuli zake nchini Tanzania huku ikiwatunuku wafanyakazi walioitumikia kampuni hiyo kwa muda mrefu na kupongezwa na Jeshi la Polisi kwa hatua...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYE TAARIFA KUPOTEA KWA MWANDISHI WA MWANANCHI ATULETEE-POLISI

JESHI la Polisi nchini limesema yoyote mwenye taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa mwandishi wa habari wa kujitegemea wa Kampuni ya Mwananchi Communication(MCL)mkoani Pwani Azory Gwanda ambaye kwa...

View Article

NBS Wachukulieni Hatua Wanaotoa Takwimu za Uongo-Rais Dkt Magufuli

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MAHENGE ATEMBELEA DAMPO LA KISASA MANISPAA YA DODOMA, ASEMA DODOMA LAZIMA...

NA RAMADHANI JUMA,OFISI YA MKURUGENZIMKUU wa Mkoa wa Dodoma Dokta Binilith Mahenge amesema Mji wa Dodoma hauna sababu ya kuwa mchafu kwa sababu Manispaa ya Dodoma imetekeleza mradi wa ujenzi wa dampo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017,

Said Mwishehe,Blogu ya jamiiINASIKITISHA!Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Jeshi la Polisi nchini kusema kuwa mwaka huu wa 2017 matukio ya ubakaji na kunajisi watoto yameongezeka na kushika kasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

China Yaunga Mkono Juhudi Za Rais Magufuli

Na Mwandishi Maalum, BeijingChina imeahidi kushirikiana na Tanzania kikamilifu katika miradi ya kipaumbele ambayo Serikali ya AwamuyaTano imepanga kuitekeleza ili kufikia azma yake ya uchumi wa viwanda...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RITTA KABATI KUKARABATI SHULE YA MSINGI KIHESA

 Na Fredy Mgunda,Iringa.Mbunge wa viti maalam mkoa wa Iringa kupitia chama cha mapinduzi (CCM) Ritta Kabati amefanya ziara kwenye baadhi ya shule za msingi za manispaa ya Iringa kwa lengo la kubaini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ACACIA YAFANYA TAMASHA LA AJIRA KUWAPA FURSA WAFANYAKAZI WALIOACHISHWA KAZI...

Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Acacia kupitia migodi ya dhahabu ya Buzwagi na Bulyanhulu imefanya tamasha la ajira kwa kuwakutanisha waliokuwa wafanyakazi wa migodi hiyo na makampuni zaidi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHONZA AFUNGA MASHINDANO YA MICHEZO YA VYUO VIKUU LEO UDOM MJINI DODOMA

 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana shonza akijiandaa kufunga kikapu wakati wa kufunga mashindano ya Michezo ya Vyuo Vikuu yaliyofanyika Chuo Kikuu cha Dodoma mjini Dodoma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBULU WAMPONGEZA KAMOGA KWA KUFANIKISHA MAENDELEO

Wakazi wa Kata ya Masieda Wilaya yards Mbulu Mkoani Manyara, wamemshukuru Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya hiyo Hudson Kamoga kwa jitihada zake binafsi zilizofanikisha kupata ufadhili wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. NDUGULILE ASHIRIKI UJENZI WA SHULE KATIKA ZOEZI LA KUAMSHA ARI YA...

Na Kitengo cha Mawailiano WAMJWNaibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Dkt Faustine Ndugulile ameshiriki kazi ya ujenzi wa shule ya msingi Chambasi Wilayani Kisarawe ikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JPM aunda Tume ya 'Makinikia' ndani ya Chama cha Mapinduzi kufuatilia mali ya...

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. John Pombe Magufuli akipiga makofi pamoja na Katibu Mkuu wa (CCM) Abdulrahman Kinana wakati alipokuwa akiwasili katika eneo la Mkutano na Wajumbe wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO AAGIZA MANISPAA DODOMA IPIME HARAKA VIWANJA NA AMFAGILIA MBUNGE MAVUNDE...

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo amemuagiza Mkurugenzi wa Manispaa ya Dodoma Godwin Kunambi kuhakikisha wanapima viwanja haraka ili kuufanya mji wa Dodoma uendane na kasi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHONZA AFUNGA MICHEZO YA VYUO VIKUU TANZANIA (TUSA) MJINI DODOMA

 Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Juliana Shonza akimvisha medali golikipa wa timu ya mpira wa miguu ya Chuo Kikuu cha Zanzibar Ahmad Suleiman wakati wa kufunga fainali za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA ALHAMIS LEO DECEMBER 21,2017

Kupata magazeti zaidi BOFY HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Mahiga ahutubia Chuo Kikuu cha Mambo ya Nje cha China

Wziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiwa katika mazungumzo na Mkuu wa Chuo cha Mambo ya Nje cha China kabla ya wawili hao hawajaelekea kwenye ukumbi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Muuza mpunga wa Kisaki ashinda milioni 86. 2 ya M-Bet

Mkazi wa Mvua, Kisaki mkoani Morogoo, Fredy Masawe (35) ameishinda Sh milioni 86.2 kwa kubashiri kwa usahihi mchezo maarufu kwa ‘Perfect 12’ unaondeshwa na kampuni ya mchezo wa kubahatisha ya M-Bet....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANGAZENI MAFANIKIO YA MPANGO WA KUNUSURU KAYA MASIKINI-MWAMANGA.

Na Estom Sanga- TASAFMkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii-TASAF- bwana Ladislaus Mwamanga amewaagiza Maafisa Ufuatiliaji na Waratibu wa Mfuko huo ngazi ya halmashauri za Wilaya nchini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAUGUZI NI CHACHU YA HUDUMA ZA AFYA

Mkurugenzi wa Idara ya Uuguzi na Ukunga kutoka Wizara ya Afya Gustav Moyo akiwasilisha mada wakati wa mafunzo ya maadili kwa wauguzi wakuu wa Mikoa na hospitali za Kitaifa na za Rufaa za kanda...

View Article
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live




Latest Images