Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109570 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA UVCCM TAIFA KHEIR JAMES AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA...

Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Ndg Kheir James  (MCC) amekutana na kufanya mazungumzo na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa yote nchini wa UVCCM.  Kikao hiko kimefanyika ukumbi wa mikutano CCM Mkoa wa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTENGANISHAJI WA UPELELEZI NA UENDESHAJI KESI UMEKUWA NA TIJA –DPP

Na Mwandishi Maalum,Mkurugenzi wa Mashtaka Bw. Biswalo Magaga,(DPP) amesema , utekelezaji wa mpango wa Serikali wa kutengenisha jukumu la upepelezi na upelelezi mashataka umekuwa wa mafanikio makubwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ziara ya Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Mkoa wa Kusini Pemba

Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari M. Sururu (kushoto) akikagua baadhi ya magari chakavu yaliyopo katika Ofisi ya Uhamiaji Mkoa wa Kusini Pemba, yanayosubiri kupigwa mnada baada ya kukamilika kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMRC YAWEZESHA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO WANNE

 Kampuni ya Tanzania Mortgage Refinance Limited (TMRC), imetoa msaada wa kiasi cha Shilingi milioni Nane (Shilingi 8,000,000) kwa ajili ya upasuaji wa moyo kwa watoto wanne jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YAHIMIZA MATUMIZI BORA NA ENDELEVU YA MTO PANGANI NA BWAWA LA NYUMBA...

  NA K-VIS BLOG/Khalfan SaidMATUMIZI bora ya bonde la Mto Pangani, ndio njia pekee itakayosaidia kutunza vyanzo vya maji ambayo hutumika kuzalisha umeme kwenye vituo vya Pangani Hydro Systems, Meneja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHAMIAJI HARAMU 55 WAMAKATWA WILAYANI MKINGA

ZAIDI ya wahamiaji 50 raia kutoka nchini Ethiopia wameka matwa eneo la Duga wilayani Mkinga mkoani Tanga kwa kosa la kiungia nchini kinyume cha sheria.Wahamiaji hao wamekamatwa ndani ya kipindi cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YANAYOJIRI KATIKA ZIARA YA KIKAZI YA BALOZI MAHIGA NCHINI CHINA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongea jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo rasmi na Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mlimani City Mall yatangaza zawadi ya X-Mas na Mwaka Mpya

Katika kusherehekea Sikukuu za X-Mas na Mwaka Mpya, uongozi wa Mlimani City kwa kushirikiana na wafanyabiashara wenye maduka ndani yake umetangaza ofa maalumu kwa wateja  wake watakaofanya manunuzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI ATOA ONYO KWA WALE WANAOPOTOSHA TAKWIMU.

Na Beatrice Lyimo-MAELEZO, DODOMARAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametoa onyo kwa wale wote wanaotoa takwimu za upotoshaji kuacha mara moja na kuzitaka mamlaka husika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKAGUZI WA MABASI UBUNGO NI ENDELEVU KATIKA KULINDA USALAMA SAFARI ZA ABIRIA...

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiKamanda wa Kikosi cha Usalama Mkoa wa Kinondoni, Solomon Mwangamilo amesema kuwa ukaguzi wa basi katika kituo cha Ubungo ni endelevu ikiwa ni kulinda usalama wasafiri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA OFISI YA TAIFA YA TAKWIMU...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia nchini Mhe. Bella Bird  wakifungua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi jengo la ofisi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INASIKITISHA! MAKOSA YA UBAKAJI, KUNAJISI YASHIKA KASI MWAKA 2017

Said Mwishehe, Blogu ya jamiiINASIKITISHA! Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Jeshi la Polisi nchini kusema kuwa mwaka huu wa 2017 matukio ya ubakaji na kunajisi watoto yameongezeka na kushika kasi...

View Article

NEC YATOA UFAFANUZI KUHUSU MGOMBEA WA CHADEMA SINGIDA KASKAZINI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA POSTA NCHINI LAZINDUA NEMBO MPYA YA SHIRIKA HILO YENYE KAULI MBIU...

 Naibu Waziri Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano, Elias Kwandikwa  akizindua nembo mpya ya Shirika la Posta nchini ambayo imezinduliwa leo jijini Dar es Salaam katika Kuboresha huduma za shirika hilo kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMUHIMU WA KUMLINDA MTOTO ENEO LAKO LA KAZI.

Mwanamke Mfanyabiashara ya Matunda akikatiza katika Barabara ya Garden  Avenue akiwa amembeba Mtoto bila ya kumfunika na kitu chochote wakati jua kali likiwaka, hali inayoweza kuhatarisha afya ya Mtoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM KUMPELEKA MBARAKA YUSUPH AFRIKA KUSINI KWA MATIBABU

MSHAMBULIAJI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Mbaraka Yusuph, anatarajia kuondoka nchini kesho Jumatano jioni kuelekea jijini Cape Town, Afrika Kusini kwa uchunguzi wa goti lake la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUPATA HUDUMA KATIKA KITUO CHA USULUHISHI (CRC)

Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Kituo cha Usuluhishi wa masuala ya kijamii na kijinsia ( CRC) kimejizatiti katika kusaidia kuleta uelewa kwa jamii kwa kwenda kutoa huduma kwenye maeneo mbalimali ikiwemo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MPOTO AWASIHI WATANZANIA WAENDELEE KUTUMA BARUA KUPITIA SHIRIKA LA POSTA...

 Msanii wa Muziki wa kughani kutoka Mjomba Band Mrisho Mpoto akiimba wakati wa uzinduzi wa nembo mpya ya Shirika la Posta Tanzania, Mbali na kuimba mpoto alitumia muda huo kuwaeleza Watanzania juu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA ZIARA YA WAZIRI WA MAMBO YA NE NCHINI CHINA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Dkt. Augustine Mahiga akiongea jambo wakati alipokuwa katika mazungumzo rasmi na Naibu Waziri wa Biashara wa China, Mhe. Qian Keming...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA ARDHI KUANZISHA KANZIDATA YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI

Tume ya Taifa ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi (NLUPC) ipo mbioni kuanzisha Kanzidata (Database) ya mipango ya matumizi ya ardhi iliyofanyika nchini na wadau mbalimbali wa sekta ya ardhi.Kwa...

View Article
Browsing all 109570 articles
Browse latest View live




Latest Images