Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110028 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TIMU YA TAIFA YA BEACH SOCCER YAZIDI KUJIFUA KUJIANDAA NA MICHUANO YA COPA...

Kocha wa timu ya Taifa ya soka la ufukweni, John Mwansasu ameita kikosi cha  wachezaji 16 walioingia  kambini mwishoni mwa wiki iliyopita kujiandaa na michuano ya Copa Dar es Salaam itakayofanyika kwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUMATRACC :HAKUNA NAULI KUPANDISHWA KWA BASI YAENDAYO MIKOANI KIPINDI HIKI...

Na Chalila Kibuda, Globu ya JamiiBaraza la Ushauri la walaji la Mamlaka ya Usafiri wa nchi kavu na Majini (SUMATRA –CC) imesema kuwa hakuna kupandisha nauli na watakaopandisha nauli watakuwa wamekiuka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE AIPONGEZA TIMU YA ZANZIBAR HEROES

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA WATOTO TAIFA LATOA ELIMU YA MATUMAINI KWA WATOTO WA MITAANI

Na Anthony IshengomaWajumbe  wa Balaza  la Watoto  la Taifa leo wameungana na watoto wanaotunzwa katika kituo cha kulelea watoto wa mitaani Amani kilichopo katika Manispaa ya Singida ili kuwafariji na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFUL ATOA MILIONI 210 KWA AJILI YA UJENZI WA MRADI WA UMEME SONGEA...

Serikali Kupitia Wizara Ya Nishati Imetoa Kiasi Cha Shilingi  Milioni 210 Kwa Ajili Ya Mradi Wa Umeme Kupitia Makambako Hadi Mkoani Ruvuma ambao utakuwa na uwezo wa kuhudumia wananchi zaidi ya 22,000...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MTENDAJI WA TASAF AWATAKA WATUMISHI WA TAASISI HIYO KUZINGATIA...

Estom Sanga- TASAF Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii- TASAF- bwana Ladislaus Mwamanga amefungua kikao kazi cha Watumishi wa taasisi hiyo jijini Dar es salaam na kuwaagiza wazingatie...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI (NEC) YATOA ORODHA YA UTEUZI WA WAGOMBEA UBUNGE NA...

Na Mwandishi WetuTUME ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetoa orodha ya wanachama 15 wa vyama vya siasa walioteuliwa kugombea ubunge katika majimbo ya Singida Kaskazini na Longido.Tume pia imetoa orodha ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KIGWANGALLA ATENGUA UTEUZI WA WAJUMBE WA BODI YA NGORONGORO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKURUGENZI MTENDAJI WA DCB AAGA RASMI, AMTAMBULISHA MKURUENZI ANAYECHUKUA...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.MKURUNGEZI Mtendaji wa Benki ya DCB Edmund Mkwawa ameaga rasmi wanahabari pamoja na wateja wa benki hiyo baada ya kuwa kwenye kiti hicho kwa miaka 16 sambamba na...

View Article


WAZIRI MAKAMBA AZINDUA KAMATI YA KITAIFA YA USHAURI WA MAZINGIRA(NEAC) MKOANI...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DOKTA MPANGO AALIKA WAWEKEZAJI KUTOKA NORWAY

Benny Mwaipaja, WFM, DodomaWAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amekutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Norway hapa nchini Bi. Hanne-Marie Kaarstad na kutoa wito kwa wawekezaji kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU AKUTANA NA UONGOZI WA TAASISI YA MWALIMU...

Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera na Uratibu) Prof. Faustin Kamuzora akizungumza jambo kwa viongozi wa Taasisi ya Mwalimu Nyerere walipomtembelea ofisini kwake Desemba 19, 2017 Dodoma.Katibu Mkuu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JKT RUVU KUTUMIA MCHEZO WA FA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA WANAJESHI 14

Kikosi cha timu ya JKT Ruvu kesho kinatarajia  kushuka dimbani kumenyana na timu ya Mvuvumwa FC katika mchezo wa kombe la FA unaotarajiwa kupigwa kwenye uwanja wa Azam Complex kuanzia saa moja...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi, Dkt. Ramadhani Dau Awasilisha Hati Za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme...

Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Malaysia anayewakilisha pia nchini Cambodia, Mhe. Dkt. Ramadhani Kitwana Dau (kushoto) akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Mfalme wa Cambodia, Mtukufu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO YA USALAMA BARABARANI MKOA WA PWANI

Dereva na abiria wakiwa hawajavaa kofia ngumu (helment) na kuhatarisha maisha yao.Matukio ya usalama barabarani bado ni changamoto kwa watumiaji wa vyombo vya moto kwa kushidnwa kufuata sheria...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni 3 Kuuza Tanzanite katika Mnada Wa Mirerani

Na Zuena Msuya, Manyara.Kampuni tatu za uchimbaji madini ya Tanzanite zimejitokeza kuuza madini hayo katika mnada wa tatu wa madini ya Tanzanite unaofanyika katika mji mdogo wa Mirerani wilayani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHUWASA,POLISI WATEKETEZA VIFAA VINAVYOTUMIKA KUHARIBU VYANZO VYA MAJI BWAWA...

Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira mjini Shinyanga (SHUWASA) kwa kushirikiana na jeshi la polisi wilaya ya Shinyanga wameendesha zoezi la kuteketeza vifaa vinavyotumika kuharibu vyanzo vya maji...

View Article


AIRTEL YAENDELEA KUTAMBA NA SMATIKA, YATOSHA INTANETI MPYA..

View Article

DIWANI WA CHADEMA SIHA AJIUNGA NA CCM

Diwani wa Chadema wa Kata Donyomurwak, Wilaya ya Siha Mkoa wa Kilimanjaro, Ndg. Lwite Ndossi almaarufu “Nsonuu”, leo tarehe 19 Disemba 2017 amejivua uanachama wa Chadema, na amejiuzuru Udiwani wa Kata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BARAZA LA WATOTO TAIFA LA CHAGUA WAWILI KUIWAKILISHA TANZANIA MKUTANO WA...

Mwenyekiti wa Baraza la Watoto wa Wilaya Temeke Mkoa wa Dar es Salaam Yusra Mohamed pamoja na Katibu wa Baraza la Watoto Mkoa wa Arusha Raphael Denis wamechaguliwa na wajumbe wa Baraza la Watoto Taifa...

View Article
Browsing all 110028 articles
Browse latest View live




Latest Images