Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109589 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMA FISSOO ASISITIZA MAADILI KWA WASANII WA FILAMU AKIZINDUA FILAMU YA FROM...

Katibu Mtendaji wa Bodi ya Filamu Tanzania Bibi. Joyce Fissoo akiwa katika pozi na Msanii aliyeigiza kama mhusika mkuu katika Filamu ya From Nigeria Stick Motela alipokuwa mgeni rasmi katika uzinduzi...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII , JAPHET HASUNGA ATEMBELEA KIJIJI CHA...

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga ( kulia) akiwa na Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa, Prof. Audax Mabula (kushoto) wakimsiliza kwa makini Mhifadhi Mila Mwandamizi, Wilbard Hema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MIFUGO NA UVUVI ATEMBELEA MKOA WA ARUSHA

Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na uvuvi Mhe.Abdalla Hamisi Ulega amefanya ziara mkoani Arusha katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwa lengo la kuhamasisha upigaji chapa mifugo.Akizungumza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Mgalu Awataka Wakandarasi Tanga kutoa Maelezo Ya kutokuanza Miradi

Na Greyson Mwase, TangaNaibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu amezitaka kampuni za Derm Electric, Njarita, Agwilla na Radi Services kutoa maelezo kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO AAGIZA MATUMIZI YA ‘TILES’ KWENYE MAJENGO YA HALMASHAURI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo amewaagiza wahandisi wa ujenzi katika Halmashauri zote hapa nchini kuona uwezekano wa kutumia Tiles badala ya kuweka sakafu ya kawaida ili kuongeza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taasisi ya TYPF yazindua kituo cha ufundi Upanga

Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Tanzania Yemen Professional Foundation (TYPF), yenye Makao yake Makuu jijini Dar es Salaam, imezindua kituo cha Ufundi kinachojulikana kama TYPF Training...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA AFUNGA MAFUNZO YA 15 YA JESHI USU KWA MAAFISA WANYAMAPORI WA...

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla amewaagiza wahifadhi wote nchini kushirikiana na wadau wengine hasa mamlaka za Mikoa na Wilaya katika maeneo yenye uvamizi wa mifugo na migogoro ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MKUTANO MKUU WA CCM MJINI DODOMA

Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Dk.John Magufuli amewataka wanachama wa CCM kuchagua viongozi bila kuangalia maslahi urafiki, dini, kabila kadhalika amewasihi kutochagua viongozi watoa rushwa kwa kusema...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TASWIRAZZZ MBALIMBALI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUTOA MWONGOZO KURATIBU VITUO VYA WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA NCHINI.

Na Mwandishi WetuSERIKALI kupitia Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya Nchini (DCEA) imesema ipo mbioni kutoa mwongozo wa kuratibu na kusimamia viwango vinavyowiana vinavyotarajiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM TANZANIA FOUNDATION, DORIS MOLLEM FOUNDATION WATOA MSAADA WA VIFAA...

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Afya), Dkt. Mpoki Ulisubisya akizungumza katika halfa ya kukabidhiwa msaada wa vifaa tiba kwa ajili ya kusadia watoto...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA EXIM IPO MSTARI WA MBELE KUKABILIANA NA UPUNGUFU WA VITANDA KWENYE...

 Mkuu wa kitengo cha masoko cha Exim Bank Tanzania, Stanley Kafu pamoja na wafanyakazi wa tawi la Arusha wakikabidhi vitanda na magodoro 40 kwa mganga mkuu wa mkoa wa Arusha Dk Timothy...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WAHAMASISHWA KUANZISHA VIWANDA

Said Mwishehe, Blogu ya jamiiMWENYEKITI wa Baraza la Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam(TID) Profesa Apollinaria Pereka amewataka vijana  wasisite kuanzisha viwanda nchini  kupitia elimu ya ufundi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ST ANNE MARIA YAPEWA NGAO KWA KUFAULISHA LASABA

Na Mwandishi WetuMKOA wa Dar es Salaam umeipatia Ngao Maalum shule ya St. Anne Maria kama sehemu ya kutambua mchango wake katika kuinua elimu hapa nchini.Sherehe ya kuzawadia shule zilizofanya vizuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WAKUTANA KUJADILI MAPENDEKEZO YA SHERIA YA KULINDA TAARIFA BINAFSIADA...

Imeelezwa kuwa kutungwa kwa sheria ya kulinda taarifa binafsi kutapunguza uhalifu unaohatarisha amani na kuongeza usalama wa mtu, jamii, nchi na dunia kwa ujumla.Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKULIMA WA ZAO LA KARAFUU WA MKINGA WAIOMBA SERIKALI KUWAPATIA SOKO LA ZAO HILO

Na David JohnWAKULIMA wa zao la Karafuu Kata ya Kigongoi Mashariki wilayani Mkinga mkoa wa Tanga wameiomba Serikali kuwapatia soko la uhakika la zao hilo kwani kuzalisha wanazalisha lakini hawana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMRC YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA KIWALANI

Kampuni ya Tanzania Mortgage Refinance Company Limited (TMRC), imetoa zawadi ya Sikukuu ya Krismas zenye thamani ya Shilingi Milioni Mbili (Shilingi 2,000,000) kwa Kituo cha Watoto yatima cha Kiwalani...

View Article


TTCL YAZINDUA DUKA JIPYA MLIMANI CITY

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANTEL YAUNGANA NA BODI YA MAPATO ZANZIBAR KUKUSANYA KODI

Zantel kwa kushirikiana na Bodi ya Mamlaka ya Mapato ya Zanzibar wameingia katika makubaliano ambayo yatawawezesha wakazi wa kisiwani hapa kurahisisha huduma ya ulipaji kodi kwa njia ya simu kupitia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAZI DODOMA WALAMBA MILIONI 1 KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA KATIKA MTAA WAO

NA RAMADHANI JUMA,OFISI YA MKURUGENZI, MANISPAAMKUU wa Mkoa wa Dodoma Dokta Binilith Mahenge ameahidi kutoa motisha ya Shilingi 1,000,000 kwa wakazi wa mtaa wa Zahati uliopo Kata ya Kikuyu Kaskazini...

View Article
Browsing all 109589 articles
Browse latest View live




Latest Images