Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110160 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA WAKALA WA CHAKULA NA DAWA ZANZIBAR WATEKETEZA DAWA ZA MENO

Na Maryam Kidiko – Maelezo Zanzibar.Wafanyakazi kutoka Bodi ya Wakala wa Chakula na Dawa Zanzibar wameangamiza Tani tisa za Dawa ya meno aina ya Aloe zilizoharibika katika jaa la Kibele Wilaya ya Kati...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Embassy of Kuwait in Tanzania Committed to Support Educational Projects in...

The Ambassador of Kuwait to Tanzania HE Jassim Al-Najim handing over the computers and printers to the guest of honour, Deputy Minister of Education in Zanzibar Hon Mmanga Mjengo Mjawire at the center....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHITIMU WA MAFUNZO YA MGAMBO GAIRO WATAKIWA KUISHI KIAPO CHAO CHA UTII KWA...

Mkuu wa wilaya ya Gairo, Siriel Shaidi Mchembe amewataka wahitimu wa mafunzo ya mgambo kukiishi kiapo cha utii kwa matendo na si maneno. Hayo ameyazungumza leo Disemba 16, 2017 wakati wa hafla ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AHUDHURIA MISA YA JUMAPILI KANISA KUU LA MT. PAULO WA...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiagana na Mapadri baada ya ibada ya Jumapili katika Kanisa Kuu la Matakatifu Paulo wa Msalaba la Jimbo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU MJINI...

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao KAmati Kuu ya chama hicho ukumbi wa mikutano wa White House mjini Dodoma leo Desemba 17, 2017.Mwenyekiti wa CCM,Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAKAGUZI MIGODI KUPUNGUZA AJALI MIGODINI

Wakaguzi wa Migodi Nchini wameagizwa kutembelea mara kwa mara kwenye migodi hususan ya wachimbaji wadogo kwa ajili ya kukagua hali ya usalama na kuwasaidia Wachimbaji kuepusha ajali wakati wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ukoo wa Patel wachangia shilingi 22,500,000/= kwaajili ya kulipia gharama za...

Ukoo wa Patel umekabidhi kiasi cha shilingi 22,500,000/= fedha ambazo zitatumika  kwaajili ya kulipia gharama za matibabu ya upasuaji wa Moyo kwa watoto 10 wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC GONDWE:AWATAKA WAZAZI KOROGWE KUCHANGAMKIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI

KAIMU Mkuu wa wilaya ya Korogwe,Godwin Gondwe ambaye pia ni Mkuu wa wilaya ya Handeni mkoani Tanga akizungumza wakati wa uzinduzi wa mpango wa Toto Afya kadi uliofanyika kwenye viwanja vya shule ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASAMARIA WEMA WAKITOA MSAADA KWA MWENDESHA BODABODA

Wasamaria wema wakimsaidia mwendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda yenye nambari MC307 BPG (jina halikupatikana) amabaye alidondoka chini baada ya kuganga kwa nyuma gari dogo aina ya Toyota RAV...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK. KIGWANGALLA AFUNGA MAFUNZO YA 15 YA JESHI USU KWA MAAFISA WANYAMAPORI WA...

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla akiwaongoza Maafisa wa Wanyamapori 87 wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania– TAWA, Shirika la Hifadhi za Taifa – TANAPA na Mamlaka ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI RAIS DKT, MAGUFULI, PHILIP MANGULA NA DKT. SHEIN WAPITISHWA CCM

 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAVUNDE AYATAKA MAKAMPUNI KUFADHILI MCHEZO WA KARATE NCHINI

Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde ameyataka makampuni,viwanda na Taasisi mbalimbali nchini kusaidia kufadhili mchezo wa Karate nchini ambao umeanza kukua kwa kasi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI 174 ZAPATA DAWA ZA KUANGAMIZA MBU WAENEZAO MALARIA

Kaimu Meneja Mkuu wa Kiwanda cha Kuzalisha Dawa ya Viuadudu vya Mbu waenezao Malaria Tanzania (TBPL), Mhandisi Aggrey Ndunguru (katikati) akitoa taarifa ya utekelezaji mbele ya Waandishi wa habari...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO yahamasisha Wananchi kutunza Miundombinu ya Umeme

Wananchi Wilayani Igunga mkoani Tabora Wametakiwa Kujenga Tabia na mazoea ya Kutunza miundombinu ya Umeme, kwani kwa Kufanya hivyo kutaifanya Tanzania kuwa nchi yenye Uchumi wa Kati Kupitia Sekta ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UZIKWASA YAZIPA ZAWADI KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI PANGANI

Shindano hilo ambalo lililokuwa linashirikisha vijiji 33 kutokea wiayani humo, limehudhuriwa na Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji ambaye pia ni Mbunge wa jimbo hilo Mheshimiwa Jumaa Hamidu Awesso...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk. Salim Ahmed Salim aaga Kamati Kuu ya CCM.

Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dk. Salim Ahmed Salim leo amewaaga wajumbe Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) baada ya kumaliza muda wake wa miaka mitano.Katika salamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

kampeni ya upigaji chapa mifugo yazinduliwa wilayani Ngorongoro

 Mkuu wa Mkoa wa Arusha ,Mh Mrisho Gambo kwa Ushirikiano na Naibu Waziri wa Mifugo (Mhe Ulega) pamoja na Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Mamlaka ya hifadhi ya Ngorongoro,mapema leowa wamezindua...

View Article


Article 0

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TPB YAFUNGUA TAWI JIPYA KWA MROMBO - ARUSHA

Leo Ijumaa, 15 Desemba 2017, Benki ya TPB tumeendelea kusogeza huduma zetu karibu zaidi na wateja kwa kufungua tawi jipya maeneo ya Kwa Mrombo, Mkoani Arusha. Lengo la kufungua tawi hili ni kusogeza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI ULEGA ASHIRIKI UHAMASISHAJI WA UPIGAJI CHAPA MIFUGO NGORONGORO...

Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na uvuvi Mhe.Abdalla Hamisi Ulega amefanya ziara mkoani Arusha katika Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwa lengo la kuhamasisha upigaji chapa mifugo.Akizungumza na...

View Article
Browsing all 110160 articles
Browse latest View live




Latest Images