Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi wa Tanzania nchini Rwanda azindua rasmi mauzo ya magazeti ya TSN...

 Balozi wa Tanzania nchini Rwanda, Balozi Ali Idi Siwa (wa tatu kushoto), Mhariri Mtendaji wa Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN), Dk. Jimmy Yonaz (wa pili kushoto) pamoja na vingozi wengine wakiwa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM...

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiendesha kikao cha Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma leo.

View Article

MICHUZI TV: CCM yatangaza majina matatu ya wagomea ubunge majimbo ya Songea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADAKTARI NA WATOA HUDUMA ZA AFYA WATAKIWA KUFANYA TATHMINI YA MFANYAKAZI...

KAIMU Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mkoa wa Mbeya, Dkt. Yahya Msuya, (pichani juu), amewataka madaktari na watoa huduma za afya, waliokuwa wakishiriki mafunzo ya wiki moja ya kufanya tathmini ya ulemavu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO 82 WENYE MATATIZO YA MOYO YA KUZALIWA NAYO WAFANYIWA UPASUAJI WA...

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na mradi wa Little Hearts wa nchini Saudi Arabia ambao ni moja ya mradi wa Afya ulioko ndani ya Taasisi ya Msaada ya Muntada yenye makao Makuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mhe. Samia asema : Ofisi yangu imekuja na agenda ya kuifanya Dodoma kuwa ya...

Na Beatrice Lyimo, MAELEZO-DODOMAMakamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amehamia rasmi Makao Makuu ya Nchi Dodoma leo ikiwa ni utekelezaji wa agizo la Rais Magufuli...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TBL KUWEKEZA KIWANDA KIKUBWA CHA BIA MKOANI DODOMA

Benny Mwaipaja, WFM, DodomaWAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Bia-TBL, Bw. Roberto Jarrin ambaye ameahidi kuwa kampuni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAMOSI LEO DECEMBER 16,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SAMAKI WACHANGA NA WAZAZI ZAKAMATWA SOKO LA SAMAKI LA KIMATAIFA MWALONI...

Naibu Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe.Abdalla Ulega jana amekamata samaki aina ya sangara wachanga na wazazi tani 11 waliokuwa wakitoroshwa kwenda nchi jirani ya DRC kwa kukwepa kulipa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUWAIT YALAANI MAUAJI YA WANAJESHI WA TANZANIA HUKO DRC

Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem (wakwanza kushoto) ameungana na mamia ya viongozi wa Serikali akiwemo Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi na Spika...

View Article

MAKAMU WA RAIS AHAMIA RASMI DODOMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKARABATI WA SHULE KONGWE WAWAKUNA WANAFUNZI

Zoezi la ukarabati wa shule kongwe 89 hapa nchini limeonyesha kupandisha hamasa ya wanafunzi kimasomo kutokana na kubadilika kwa mazingira ya kujifunzia kuwa bora zaidi ikilinganisha hali ya awali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAVUNDE AWATAKA VIJANA WASOMI KUUNGA MKONO JITIHADA ZA RAIS MAGUFULI KATIKA...

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana na Ajira Anthony Mavunde amewataka vijana wasomi wa nchi kuwa mstari wa mbele kuunga mkono kazi nzuri na kubwa anayofanya Rais John Magufuli katika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AHAMIA DODOMA RASMI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa wakati akiwasili kwenye hafla fupi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO WENYE SARATANI WALA KRISMASS NA WAFANYAKAZI WA SOUTHERN SUN HOTEL

Wafanyakazi wa hoteli ya Southern Sun wakishiriki michezo na wazazi wa watoto wenye saratani wanaopata matibabu kwenye hospitali ya Taifa ya Muhimbili, katika Taasisi ya Tumaini la Maisha Tanzania...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SUA kuokoa asilimia 40 ya mazao yanayoharibiwa na panya shambani

Na Judith Mhina - MAELEZOMojawapo ya sababu zinazowakosesha Wakulima kupata mazao mengi shambani ni viumbe hai waharibifu ambao hushambulia mbegu au mazao yenyewe kabla na baada ya kuvunwa. Kutokana na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT MWANJELWA AAGIZA BODI YA KAHAWA KUTOCHELEWESHA MALIPO KWA WAKULIMA

Na Mathias Canal, KilimanjaroKaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya serikali iliyopewa jukumu la Kusimamia sekta ya Kahawa nchini Ndg Primus Kimaryo ameagizwa kusimamia na kuwalipa haraka wakulima malipo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT NDUGULILE AFANYA ZIARA MKOANI ARUSHA,AKAGUA NA KUTOA MAELEKEZO...

Naibu Waziri Wa afya,Maendeleo ya jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile aliyevaa shati la drafti akikagua na kutoa maelekezo juu ya upatikanaji wa dawa katika baadhi ya vituo vya afya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI AZUNGUMZA NA VIONGOZI WAANDAMIZI WASTAAFU

 Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt. Anna Makakala akizungumza wakati wa kikao cha pamoja na watangulizi wake kilichofanyika jijini Dar es salaam. Mkurugenzi Mkuu Mstaafu wa kwanza wa kike wa Idara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NATIONAL STAKEHOLDERS DIALOGUE ON EARLY AND UNINTENDED PREGNANCY AND ESA...

BAGAMOYO 18 – 23 DECEMBER 2017UNESCO, in close collaboration with Tanzania Commission for AIDS (TACAIDS) will hold a national stakeholders dialogue as part of a broader situational analysis aimed at...

View Article
Browsing all 110000 articles
Browse latest View live




Latest Images