Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110091 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tusiime yang’ara siku ya elimu Dar

SHULE ya Msingi Tusiime imeng'ara kwenye maadhimisho ya siku ya elimu  Dar es Salaam baada ya wanafunzi wake kumi kutunukiwa zawadi ya kuingia kumi bora kwenye matokeo ya darasa la saba mwaka jana.Tuzo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt Hassan Abbasi Atoa Ufafanuzi wa Ripoti ya IMF

  Msemaji Mkuu wa Serikali,Dkt Hassan Abbasi akifafanua jambo kwa msisitizo alipokuwa akizungumza na Waandishi wa habari mapema leo kwenye ofisi za Idara ya Habari MAELEZO mjini Dodoma,mambo mbalimbali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI SEIF AONGOZA MAMIA YA WAOMBOLEZAJI KUAGA MIILI YA WANAJESHI WA...

Huzuni, Majonzi pamoja na simanzi ilitanda ndani ya Nyuso za Wananchi wa Visiwa vya Zanzibar wakati ndege iliyochukuwa Miili ya Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ ) waliouawa Nchini Jamuhuri...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI KUWAFIKIA WALENGWA WA TASAF WALIOBAKI NDANI YA MUDA MFUPI –CAPTAIN...

NA TIGANYA VINCENTSERIKALI inatafuta fedha kwa ajili ya ukamilishaji wa asilimia 30 ya kuziwezesha Kaya Masikini ambazo hazikuweza kuingizwa katika Mpango wa kunusuru kaya maskini unaoratibiwa na Mfuko...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AONGOZA MAPOKEZI YA MAKAMU WA RAIS KUHAMIA MKOANI...

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongaza viongozi na wananchi wa Mkoa wa Dodoma katika mapokezi rasmi ya Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan baada ya kuhamia Mkoani Dodoma leo Desemba 15, 2017. kushoto...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAFALI YA 15 YA CHUO CHA TAIFA CHA UTALII YAFANA LEO JIJINI DAR.

NAIBU Waziri wa Maliasili na Utalii, Japhet Hasunga amewataka wananchi kushirikiana na serikali katika kuvitangaza vivutio vya utalii ili kuongeza pato la taifa.Amezungumza hayo leo wakati wa mahafali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YATAMBUA MCHANGO WA TIA KUANDAA WATAALAM WA UHASIBU

Said Mwishehe, Blogu ya Jamii.NAIBU Waziri wa Fedha na Mipango, Dk.Ashatu Kijaji amesema Serikali inatambua na kuthamini mchango unaotolewa na taasisi katika kuandaa wataalam wa tasnia ya uhasibu ,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uchumi wa Nchi Uko Imara - Dkt. Hassan Abbas

Na: Lilian Lundo - MAELEZO, Dodoma.Serikali kupitia Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt. Hassan imesema kuwa kwa mujibu wa taarifa ya Shirika la Fedha Duniani  (IMF) uchumi wa nchi uko imara ukilinganisha na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAZARETI YAFUTA MAADHIMISHO YA KRISMASI

Na Kituo cha Habari cha Palestina (Tanzania) Meya wa jiji la Nazareti  Ali Salam ametangaza kufuta maadhimisho  yaliyopangwa  kufanyika katika jiji hilo yenye mnasaba wa  Mwaka Mpya,isipokuwa sherehe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATEJA WA TANESCO KANDA YA DAR ES SALAAM NA PWANI SASA WANAWEZA KULIPA BILI...

Meneja Masoko wa Tanesco, Mussa ChowoNA K-VIS BLOGWATEJA wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO ambao hawatumii mita za LUKU, sasa wanaweza kulipia bili zao za kila mwenzi kupitia benki ya NMB, na huduma...

View Article

MICHUZI TV: IGP SIMON SIRRO AIPONGEZA KAMATI YA ULINZI NA USALAMA MKOA WA KATAVI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt KALEMANI aendelea na ziara ya Kukagua Maendeleo ya Miradi ya Umeme

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameendelea na ziara ya kukagua hatua iliyofikiwa katika ukamilishaji wa ujenzi wa vituo vya kupoza na kusambaza umeme pamoja na njia ya kusafirisha umeme kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC MCHEMBE AZINDUA KAMPENI YA KUPANDA MITI WILAYA YA GAIRO KATA KWA KATA

 Mkuu wa Wilaya ya Gairo, Siriel Shaidi Mchembe amezindua kampeni ya kupanda miti Kata kwa Kata. Akizungumza jana wakati akizindua kampeni hiyo iliyofanyika katika tarafa la Nongwe kata ya Chanjale,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI DK SHEIN AJUMUIKA...

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akizungumza na Waumini wa Dini ya Kiislam Mkoani Dodoma baada ya kumaliza Ibada ya Sala ya Ijumaa iliofanyika katika Masjid...

View Article

DKT. MWAKYEMBE : MICHEZO YA VYUO VIKUU INATOA FURSA YAKUBAINI VIPAJI VIPYA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka wapima uzito leo,kuzichapa kesho...

Mabondia Francis Cheka na Shabani Kaoneka, wamepima uzito leo tayari kwa pambano lao linalotarajiwa kufanyika kesho Jumamosi katika uwanja wa Umoja  Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara, ambapo Francis...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA YA KUFUNGA MWISHO WA MWAKA KWA WANA TASNIA YA HABARI

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI LUKUVI AMALIZA MGOGORO WA ARDHI ULIODUMU MIAKA 10 CHAMWINO MKOANI DODOMA

WAZIRI wa ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mheshimiwa William Lukuvi amefuta uamuzi wa viongozi wa Vijiji vya Membe na Mlimwa vilivyopo Kata ya Membe Wilaya ya Chamwino Mkoani Dodoma wa kumpatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Washindi wa Promosheni ya Tumia Tigo Pesa na Ushinde wakabidhiwa mkwanja wao

Meneja wa Wateja wa Tigo Pesa Mary Rutta (aliyekaa kushoto) pamoja na Meneja wa Mawasiliano wa Tigo, Woinde Shisael (aliyekaa kulia) wakiwa pamoja na baadhi ya washindi wa zawadi za shilingi milioni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANASHERIA MKUU AWATAKA MAWAKILI WAPYA KUJIARI

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Mhe. George Masaju akiwa katika picha ya pamoja na Baadhi ya Mawakili wapya muda mfupi baada ya kukubaliwa na kusajiliwa. Pichani pia yupo Jaji Mkuu Mhe. Profesa Ibrahim...

View Article
Browsing all 110091 articles
Browse latest View live




Latest Images