Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110150 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA SOS CHILDREN’S VILLAGE AAHIDI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA TANZANIA...

Rais wa SOS Children’s Village, Siddhartha Kaul amesema taasisi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na serikali ya Tanzania ikiwa ni pamoja na kuendelea kusaidia miradi mbalimbali inayohusu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUCHIKA ATEMBELEA WALENGWA WA TASAF KATIKA JIJI LA TANGA.

NA. Estom Sanga- Tanga Waziri wa nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora,Mhe. George Huruma Mkuchika amewaagiza viongozi wa halmashauri za wilaya nchini kote kusimamia kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEC yawajibu UKAWA

Na Mwandishi MaalumMKURUGENZI wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Kailima Ramadhani alisema chama cha siasa kutangaza kugomea kushiriki uchaguzi hakuwezi kuifanya tume ihahirishe uchaguzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MBEYA AMOS MAKALA AFUNGUA MAFUNZO YA MADAKTARI WA KANDA YA NYANDA ZA JUU...

NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, MbeyaTAKRIBAN madaktari na watoa huduma za afya 100 kutoka mikoa saba ya Kanada ya Nyanda za Juu Kusini, wameanza kupatiwa mafunzo jijini Mbeya yanayoratibiwa na Mfuko wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AHUDHURIA MKUTANO MKUU WA TISA WA UMOJA WA WAZAZI...

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akisalimiana na Katibu Mkuu wa CCM, Phillip Mangula wakati alipohudhuria katika Mkutano Mkuu wa Tisa wa Umoja wa Wazazi Tanzania kwenye ukumbi wa Jakaya Kikwete mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA JESHI LA POLISI IGP SIRRO AAGANA NA MAAFISA NA ASKARI MKOANI TABORA...

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiaga vingozi wa Jeshi la Polisi mkoani Tabora baada ya kumaliza ziara yake ya kikazi ya siku mbili mkoani humo.  Picha na Jeshi la Polisi. Mkuu wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZIA

Marehemu Mama Badriya KiondoFamilia za Bw. Kiondo wa Kwaminchi Tanga na Bw. Ramadhan Haji wa Betras, Zanzibar wanasikitika kutangaza kifo cha Mtoto wao mpendwa, Bi. Badriya Ramadhan Kiondo aliyekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KIKAO CHA KUJADILI HALI YA USALAMA BARABARANI NCHINI CHAFANA MJINI DODOMA

Na WAMJW - Dodoma .Madereva nchini wamepongezwa kwa kuanza kubadilika na kutii sheria bila shuruti katika kukabiliana na ajali za barabarani na hivyo kupungua kwa ajali pamoja na vifo vitokanavyo na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mohammed Enterprises yashinda tuzo nne za ATE 2017

Kampuni ya Mohammed Enterprises (MeTL Group) imeshinda tuzo nne za Mwajiri Bora wa Mwaka 2017 (EYA) zinazotolewa na Chama Cha Waajiri Tanzania (ATE), katika hafla ya iliyofanyika kwenye ukumbi wa...

View Article


ATE YATOA TUZO KWA MWAJIRI BORA WA MWAKA 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAISINYAI YANYAKUA UBINGWA WA TAKUKURU SIMANJIRO

Na Woinde Shizza,Simanjiro.Timu ya jamii ya wafugaji wa Naisinyai S. C ya Wilayani Simanjiro Mkoani Manyara, imeshinda ngao ya maadili iliyoandaliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFUGULI AFUNGUA MKUTANO WA JUMUIYA YA WAZAZI...

 Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akifungua rasmi Mkutano Mkuu wa Tisa wa Jumuiya ya Wazazi katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete mjini Dodoma leo Desemba 12, 2017.  Mwenyekiti wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ONE STOP CENTRE YAWATAKA WADAU KUPAMBANA NA UKATILI WA KIJINSIA DHIDI YA WATOTO

Mkurugenzi wa Chama Cha Waandishi wa Habari Wanawake Edina Sanga (wa pili kushoto) akiwa na Afisa Polisi Kutoka dawati la Jinsia Christina Onyango na wadau mbalimbali wa masuala ya ukatili wa kijinsia....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA WEMA SEPETU KUENDELEA KUSIKILIZWA MWAKANI

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Kesi ya matumizi ya dawa za kulevya inayomkabili Mlimbwende wa Tanzania mwaka 2006 na msanii maarufu wa Filamu nchini,  Wema Sepetu  itaendelea kusikilizwa ushahidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DK MGALULA ASHAURI WATANZANIA KUWA NA UZALENDO KWA NCHI YAO

Meneja Mkuu wa Kiwanda cha kutengeneza vifaa Tiba cha Msagara, Dk.Ibrahim Mgalula akizungumza na Michuzi TV kuhusu jitihaza wanazofanya kutafuta ufumbuzi wa changamoto za uhaba wa vifaa tiba nchini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO kuimarisha Sekta ya Umeme Nchini

Shirika la Umeme Nchini TANESCO, limesema kuwa linaendelea kuimarisha Mifumo na Miundombinu ya Uzalishaji, Usafirishaji na Usambazaji umeme, lengo kuu kwa sasa likiwa ni Kuhakikisha upatikanaji wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mchakato wa kura ya Maoni Jimbo la Singida Kaskazini wafutwa

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AONGEA NA WANANCHI ALIPOKUWA NJIANI AKITOKEA MKOANI TABORA KWENDA...

 Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP, Simon Sirro akiwagawia mahindi wananchi baada ya kumaliza kusalimiana nao wakati akitokea mkoani Tabora kwenda mkoa wa Kigoma katika ziara ya kikazi.  Picha na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA CHUO CHA IJA ASHINDA KUKU LUSHOTO KATIKA BONANZA

Nazael Mkumbo Mshindi wa kukuMakamu Mkuu wa Chuo cha uongozi wa mahakama IJA, Fahamu Mutlya mwishoni mwa wiki alionesha uhodari wa kukimbia baada ya kufanukiwa kumkamata kuku katika bonanza kuadhimisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel Yaleta ‘SMATIKA Na Yatosha Intaneti’ SMATIKA NA 1GB Siku Tatu Kwa 2000 Tu

‘SMATIKA NA 1GB Yatosha Intaneti inayokupa muda mrefu kwa gharama nafuu zaidi. Airtel Tananzania Mtandao bora kwa Smartphone yako imewapatia wateja wake uhuru zaidi kwa kuwaletea bando mpya za ‘SMATIKA...

View Article
Browsing all 110150 articles
Browse latest View live




Latest Images