Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110108 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC RUVUMA ATOA WITO KWA WAFANYABIASHARA NCHINI.

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA CHRISTINA MNDEME amewataka wafanya biashara wote nchini kuja mkoani ruvuma kununua mahindi,tamko la kutaka wafanya biashara kuja mkoani Ruvuma linakuja baada ya serikali ya awamu...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA KIGAMBONI GEZAULOLE WAIOMBA SERIKALI KUWALIPA FIDIA YAO KUPISHA...

 Na David John BAADHI ya wananchi wa Kigamboni Gezaulole Kata ya Somangila mtaa wa Mwela jijini Dar es Salaam, wameiomba serikali kulipa fidia kwa wananchi hao ambao walitakiwa kupisha ujenzi shiriki...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU SPIKA DKT. TULIA ACKSON AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAJUMBE WA KAMATI YA...

Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson (kushoto) akizungumza na ugeni kutoka kamati ya Mambo ya Nje ya Bunge la China ulioongozwa na Naibu Mkurugenzi wa kamati hiyo, Mheshimiwa CAO Weizhou (wa pili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Uamuzi kesi ya Madabida kutolewa Kesho

Na Karama Kenyunko, Globu ya JamiiUamuzi kama Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu inayo mamlaka ya kusikiliza kesi ya uhujumu uchumi Ama la, dhidi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam,...

View Article

Rais Dkt Magufuli Kuzindua Kampeni ya Utamaduni na Utaifa

View Article


VIDEO:NAIBU WAZIRI WA MAJI AWESO ASITISHA MALIPO YA MKANDARASI SONGEA

Naibu waziri wa maji na umwagiliaji JUMAA AWESO ameitaka mamlaka ya maji safi na taka wilaya ya songea kusitisha malipo ya mkandarasi anayejenge maradi wa maji wa LIULA MATIMIRA kusitisha malipo yake...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UNGANA NA MCHUNGAJI DKT. HURUMA NKONE NA MWINJILISTI JOHANNES KATIKA SEMINA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CTI WAZINDUA TUZO ZA VIWANDA KWA MWAKA 2017 LEO JIJINI DAR ES SALAAM

Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) Loedigar Tenga akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa tuzo za The President's Manufacturer of the Year Awards 2017 kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MATUKIO KATIKA PICHA MASHINDANO YA MABUNGE YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI...

Wachezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa mechi yao na Timu ya Uganda Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam Jioni ya leo. Mchezaji wa Timu ya Bunge la Tanzania, Prof....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHNA SURURU, AKAMILISHA ZIARA YAKE MKOA WA KASKAZINI UNGUJA KWA MAFANIKIO

Kamishna wa Uhamiaji Zanzibar, Johari Masoud Sururu (kulia), kipokea Salamu ya Heshima kutoka kwa Afisa Uhamiaji Mkoa wa Kaskazini Unguja, Mrakibu Mwandamizi wa Uhamiaji Muhsin A. Muhsin akimkaribisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMANJARO WACHEZEA KICHAPO TOKA KWA NDUGU ZAO ZANZIBAR HEROES

Mshambuliaji wa Kilimanjaro Stars Eliuas Maguli (jezi nyeupe) akiwania mpira na mchezaji wa Zanzibar Heroes katika mchezo wa pili wa michuano ya CECAFA Senior Challenge leo Jijini Nairobi na kumalizika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA, WAZUNGUMZIA UJENZI WA...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimlaki Jaji Mkuu wa Tanzania Profesa Ibrahim Hamisi Juma alipokutana na kufanya naye mazungumzo Ikulu ya Chamwino kuhusu ujenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AZINDUA KAMPENI YA TAIFA YA USAFI WA MAZINGIRA AWAMU YA PILI...

​Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan ameagiza utekelezaji wa Kampeni ya Taifa ya Usafi wa Mazingira uwe ni ajenda ya kudumu ya kila ngazi ya Uongozi. Makamu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTT AMIS YATOA ELIMU YA MIFUKO YA UWEKEZAJI WA PAMOJA KWA WASHIRIKI WA SEMINA...

Maafisa wa UTT AMIS wakitoa elimu ya jinsi mifuko ya Uwekezaji wa pamoja inayosimamiwa na kampuni hiyo na kwamba ni suluhisho kubwa la maisha baada ya kustafu katika semina iliyoandaliwa na National...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT. MAGUFULI KUZINDUA KAMPENI YA UTAMADUNI NA UTAIFA

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe akiongea na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa kampeni ya Utamaduni na Utaifa yenye kaulimbiu ya "NCHI YANGU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAFO ATANGAZA WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KIDATO CHA KWANZA 2018

Angela Msimbira – OR-TAMISEMIWaziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Seleman Jafo amesema kati ya wanafunzi 662,035 waliofaulu mtihani wa kumaliza elimu ya msingi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Prof. Mbarawa Awapa Hadi Feb 1, 2018 Wadaiwa JNIA

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Mhe. Prof. Makame Mbarawa amewataka wadau wanaofanya shughuli mbalimbali zinazohusisha na kodi ya pango kwenye Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa Julius Nyerere...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Balozi Maiga katika Maadhimisho Siku ya Mshikamano na Wapalestina Dar

Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, Mheshimiwa Balozi Maiga akizungumza kwenye sherehe ya Siku ya Mshikamano na Watu wa Palestine, kwenye ukumbi wa Golden...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHULE YA MSINGI TABATA YANUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA MISS UBUNGO 2014 DIANA...

Mkurugenzi msaidizi Sera na Mipango kutoka wizara ya maji na Umwagiliaji  Paul Suley aliyekuwa anamwakilisha Katibu mkuu wa Wizara ya maji na Umwagiliaji amesema kuwa amezipokea changamoto ya shule...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA IJUMAA LEO DECEMBER 8,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article
Browsing all 110108 articles
Browse latest View live




Latest Images