Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110139 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akikagua mabomba yatakayotumika kusambazia maji kwa mradi wa Maweso akiwa na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama katika Wilaya ya Madaba, mkoani...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZARA TOURS YA MOSHI YARATIBU SAFARI YA MABALOZI KUPANDA MLIMA KILIMANJARO

Kampuni ya zara tours ya mkoani Kilimanjaro imeratibu mabalozi 13 wa Tanzania wanaowakilisha nchi tofauti tofauti kupanda mlima kilimanjaro kupitia Marangu . Idadi yao wakiwa. Wageni hawa wamepokelewa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFUGAJI NA WAKULIMA BADO CHANGAMOTO, NAIBU WAZIRI ULEGA AAGIZA WAFUGAJI...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.Ili kupunguza migogoro ya wakulima na wafugaji, Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi (mb) Abdalah Ulega amewataka wafugaji wote waliongia vijijini kinyume cha sheria kufuata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJERUMANI YATOA MSAADA MUHIMU KWA WAKIMBIZI NCHINI TANZANIA NA RWANDA

DAR ES SALAAM – Serikali ya Jamhuri ya Kifederali ya Ujerumani imetoa mchango wa Euro milioni 2 kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani  (WFP) ili taasisi hiyo imudu kuendelea...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja wa Tigo Kushinda Mamilioni ya Fedha Katika Promosheni ya Msimu wa Sikukuu

Afisa Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Kampuni ya Tigo, Hussein Sayed (katikati) akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa promosheni ya 'Fanya Muamala na Ushinde na Tigo Pesa' jijini Dar es...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MADABA YAWA MFANO BORA KATIKA KUTATUA KERO YA MAJI KATIKA WILAYA YAO

Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Jumaa Aweso akikagua mabomba yatakayotumika kusambazia maji kwa mradi wa Maweso akiwa na Mbunge wa Jimbo la Madaba, Joseph Mhagama katika Wilaya ya Madaba, mkoani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel yaimarisha mawasiliano kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji

Kamishna Generali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Thobias Andengenye akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana mara baada ya kupokea msaada wa simu za mkononi kutoka kampuni ya Airtel...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA NA CHINA KUSHIRIKIANA KUUKABILI UHALIFU WA KIMATAIFA

Tanzania na China wamekubaliana kuimarisha ushirikiano katika maeneo mbalimbali kama njia mojawapo ya kupambana na uhalifu wa kimataifa ambao umekuwa ukiisumbua dunia. Makubaliano hayo yamefikiwa baada...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkazi wa Iringa ashinda milioni 161 ya M-bet

Mkazi wa Iringa, Alex Kalinga (26) amejishindia kitita cha sh milioni 161 kwa kubashiri kwa usahihi mchezo maarufu kwa ‘Perfect 12’ unaondeshwa na kampuni ya mchezo wa kubahatisha ya M-Bet.Kalinga...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM TV KUONYESHA MASHINDANO YA CECAFA

Mkurugenzi mtendaji wa Kampuni ya Azam Media akizungumza na waandishi akiwaeleza waandishi wa Habari , namna watanzania watakavyopata nafasi ya kuangalia mashindano ya Cecafa moja moja, baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAWAZIRI WA UGANDA WATEMBELEA MIGODI YA WACHIMBAJI WADOGO GEITA

Naibu Waziri wa Madini, Stanslaus Nyongo (wa pili kushoto) na Waziri wa Nchi anayeshughulikia Madini wa Uganda, Lokeris Peter (kushoto) wakitembelea mgodi wa Dhahabu wa Blue Reef uliopo Rwamgasa. Wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

waliokutwa na madini ya milioni 500, wahukumiwa kulipa faini ya milioni 3 au...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imewahukumu watanzania  watatu wanaofanya biashara ya madini kulipa faini ya sh. Milioni tatu ama kwenda jela miaka miwili baada ya...

View Article

VIDEO: KATIBU MKUU SIHABA NKINGA AFUNGUA BARAZA LA WAFANYAKAZI IDARA KUU...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAFANYABIASHARA UFARANSA WATUA TANZANIA KUTAFUTA FURSA ZA BIASHARA

Chemba ya viwanda, biashara na kilimo nchini (TCCIA ) imepokea ugeni wa wafanyabiashara kutoka nchini Ufaransa wenye lengo la kujadili na kupanua mianya ya biashara kati ya Tanzania na Ufaransa Ugeni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WCF YAPATA HATI SAFI KATIKA UKAGUZI WA TAARIFA YA FEDHA ULIOFANYWA NA CAG

NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID, ARUSHAMFUKO wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF) umepata hati safi katika taarifa ya hesabu zake za fedha katika kipinmdi cha mwaka 2015-2016 ikiwa ni mwaka mmoja tu tangu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT SHIKA KUTAMBULISHWA RASMI USIKU WA 900 ITAPENDEZA DAR LIVE MBAGALA

Dokta Louis Shika akiwa na meneja wake Catherine Kahabi wakizungumza na waandishi wa habari kuhusu namna tamasha hilo la usiku wa 900 itapendeza zaidi litakavyokuwa siku hiyo na kuwataka watu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA MENEJA WA COCA COLA AFRIKA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Meneja Mkuu wa Kampuni ya Coca Cola Afrika Mashariki Bw. Ahmed Rady (kushoto) ofisini kwa Makamu wa Rais,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

FINLAND YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA BILIONI 75 KUENDELEZA MISITU, MAFUNZO YA...

Na Benny Mwaipaja, Dar es SalaamSerikali ya Tanzania na Finland zimetiliana saini mikataba mitatu yenye thamani ya Euro milioni 28.8 sawa na Shilingi bilioni 75 kwa ajili ya kuendeleza misitu, ubunifu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGEREZA SACCOS YAFANYA MKUTANO MKUU WA TANO, 2017 MKOANI DODOMA

Kamishna Jenerali wa Magereza, Dkt. Juma Malewa ambaye pia ni Mlezi wa Magereza SACCOS Nchini akisalimiana na Mwenyekiti wa Bodi ya Magereza SACCOS, Naibu Kamishna wa Magereza, Gideon Nkana(wa pili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WCF YAPATA HATI SAFI KATIKA UKAGUZI WA TAARIFA YA FEDHA ULIOFANYWA NA CAG

 Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi, (WCF), Bw. Masha Mshomba, akifafanua baadhi ya mambo wakati viongozi wa Mfuko walipokuwa wakiwasilisha taarifa za utendaji wake kwa wajumbe wa...

View Article
Browsing all 110139 articles
Browse latest View live




Latest Images