Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110105 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REPOA YAZINDUA MATOKEO YA NA FAIDA ZA UTUMAJI WA FEDHA KWA MTANDAO KATIKA...

Mkurugenzi Mkuu wa Baraza la uwezeshaji wa kiuchumi nchini(NEEC),Bengi Issa akizungumza wakati alipokuwa akifungua Warsha ya Faida za kumuwezesha Mwanamke kiuchumi kupitia mpango wa matumizi ya fedha...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampuni ya Chai Bora yainunua kampuni ya Dabaga

Katika kutekeleza sera ya uwekezaji nchini ili kuendana na kasi ya serikali ya kuwa na Tanzania ya Viwanda ifikapo mwaka 2025, kampuni ya Chai Bora imeinunua kampuni ya Dabaga iliyokuwa ikitamba na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI MKOANI SINGIDA LEO

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akisalimiana na Mwenuyekiti wa CCM wa Mkoa wa Singida, Martha Mlata baada ya kuwasili Ikulu Ndogo ya Singida Novemba 29, 2017. Kesho Mheshimiwa Majaliwa anatarajiwa kuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Ndugulile kushiriki mbio za Kigamboni Marathoni, Disemba 2 Mwaka huu.

Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto na Mbunge wa Kigamboni, Dkt. Faustine Ndugulile akizungumza wakati akiwahamasisha wakazi wa Dar es Salaam kufika katika mbio za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mwanza mko tayari? Her initiative inakuletea PANDA msimu wa nne

Mwanza mko tayari? Her initiative inakuletea PANDA msimu wa nne "Innovation in everything", (tamasha la ujasiriamali , uvumbuzi na ajira kwa wanafunzi wa kike vyuo  vya Sauti, Cbe, Btc, Feta, Bugando)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Democratised and Rebranded Slavery!

www.bunimedia.com/www.buni.tv/www.xyzshow.co.ke

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maonesho ya Utalii wa Tanzania Saudi Arabia yalivyofana

Maonyesho ya Utalii wa Tanzania yalivyofanyika mjini Riyadh nchini Saudi Arabia kwa watu mbalimbali kutembelea kwenye maonyesho hayo yaliyoandaliwa na Ubalozi wa Tanzania nchini Saudi Arabia. Aidha...

View Article

Wananchi Jijini Mwanza wapatiwa Tiba ya Viungo na Ushauri Bure

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MHE MWANJELWA AWATAKA WAJUMBE WA JUMUIYA ZA CCM KUCHAGUA VIONGOZI WAADILIFU...

Wajumbe wa Jumuiya mbalimbali za Chama Cha Mapinduzi (CCM) wametakiwa kuchagua viongozi waadilifu, weledi na wenye maono ya kuziongoza Jumuiya hizo ila kuendana na kasi ya Mwenyekiti wa CCM Taifa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE WA ILEJE JANET MBENE AZINDUA NAMBENE CUP

 Mbunge wa Wilaya ya Ileje, Janet Mbeneakizungumza wakati wa Uzinduzi wa Nambene Cup inayoshirikisha timu za Wilaya nzima kutoka kila Kata ambapo Mbunge huyo ametoa ufadhili wa Jezi na Zawadi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KILIMANJARO STARS YAONGEZA WATATU, KULIFUATA KOMBE LA CHALENJI KESHO

LIFUATA KOMBE LA CHALENJI KESHOKocha Mkuu wa timu ya mpira wa miguu ya Tanzania Bara, ‘Kilimanjaro Stars’, Ammy Conrad Ninje, ameongeza nyota watatu katika kikosi chake mara baada ya Baraza la Soka la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DAWA ZA SARATANI ZAPATIKANA KWA ASILIMIA 80 % KUTOKA ASILIMIA 4%

Na Dotto MwaibaleTAASISI ya Saratani ya Ocean Road wameipongeza Bohari ya Dawa (MSD), kwa usambazaji wa dawa katika taasisi hiyo na maeneo mengine nchini.Pongezi hizo zimetolewa na Mkurugenzi Mtendaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MHAGAMA AZINDUA HUDUMA MPYA YA WCF YA WAAJIRI KUJISAJILI KWENYE...

 NA K-VIS BLOG/KHALFAN SAID. ARUSHAWAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, (Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama, amezindua huduma mpya itakayowawezesha waajiri...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU

                                   The  Late Col. Godfrey K. Makaya   Leo tarehe 30/11/2017, baba yetu mpendwa umetimiza miaka 10 tangu ututoke, unakumbukwa sana na familia yako, ndugu, jamaa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA ALHAMIS LEO NOVEMBA 30,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO: HITILAFU KWENYE GRIDI YA TAIFA ASUBUHI HII

MAJIRA ya saa 7:20 leo hii Alhamisi Novemba 30, imetokea hitilafu kwenye Gridi ya Taifa na hivyo kusababisha umeme kukatika takriban kwenye mikoa yote iliyounganishwa kwenye Gridi hiyo.Kwa mujibu wa...

View Article

DIRA YA DUNIA YA BBC SWAHILI NOVEMBA 29, 2017

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANJELWA AMUAGIZA MKURUGENZI KUMSIMAMISHA KAZI MSIMAMIZI WA ZAO LA PARETO...

Na Mathias Canal, MbeyaNaibu Waziri Wa Wizara ya Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa Jana Novemba 29, 2017 amemuagiza Mkurugenzi Wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kumsimamisha kazi Afisa Kilimo Wilaya ya Mbeya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Machinjio ya kisasa ya Ruvu lazima yakamilike ifikapo 2018 - Mpina

Waziri  wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga  J. Mpina ameagiza machinjio ya kisasa ya Ruvu yaliyotelekezwa kwa muda mrefu kujengwa na  kukamillika  ifikapo Desemba, 2018.Maagizo hayo ameyatoa jana katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Machinjio Ya kisasa Ya Ruvu Lazima Yakamilike Ifikapo 2018 – Mpina

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mh. Luhaga J. Mpina ameagiza machinjio ya kisasa ya Ruvu yaliyotelekezwa kwa muda mrefu kujengwa na kukamillika ifikapo Desemba, 2018.Maagizo hayo ameyatoa jana katika ranchi...

View Article
Browsing all 110105 articles
Browse latest View live




Latest Images

<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596347.js" async> </script>
<script src="https://jsc.adskeeper.com/r/s/rssing.com.1596344.js" async> </script>