Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110144 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WASHINDI WA DROO YA TATU WA PROMOSHENI YA ZALI LA MWANASPOTI WAKABIDHIWA...

Afisa Masoko wa Kampuni ya Mwananchi Communications Limited, Huldermary Munisi(kushoto) akimkabidhi Fadhili Mahiche zawadi ya Pikipiki mara baada ya kuibuka msindi wa droo ya tatu ya Zali la Mwanaspoti...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AFANYA ZIARA BANDARI YA DAR ES SALAAM

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro (katikati), akiwa ameongozana na kamanda wa kikosi cha Usalama barabarani mkoa wa Kipolisi Kinondoni (ASP) Solomoni Mwangamilo (Kulia), alipofanya ziara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS WA ZANZIBAR DK SHEIN AKUTANA NA JAJI MKUU WA TANZANIA ALIPOFIKA...

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk Ali Mohamed Shein akikabidhiwa Kijarida cha Mahakama Kuu Tanzania na Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe Profesa Ibrahim Hamis Juma alipofika Ikulu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA JOB NDUGAI AONGOZA MAWAZIRI, WABUNGE NA VIONGOZI MBALI MBALI KATIKA...

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai akiongoza Mawaziri, Wabunge pamoja na viongozi mbali mbali wa serikali katika kuuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini marehemu Mhe. Leonidas...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mahiga akutana na kufanya mazungumzo na Balozi wa Italia nchini

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga (kulia) akizungumza na Balozi wa Italia nchini, Mhe. Roberto Mengoni alipomtembea katika ofisi za Wizara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA NISHATI AAGIZA MKANDARASI WA REA KUHAKIKISHA UMEME UNAWAKA...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.NAIBU Waziri wa Nishati Subira Mgalu ameagiza mkandarasi anayesimamia Mradi wa  umeme wa vijijini REA mkoa wa Pwani kufikia Ijumaa aweze kuhakikisha nyumba 14 za Kijiji...

View Article

KIPINDI CHA DIRA YA DUNIA JUMATATU

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUZINGATIA MAADILI NA KUPIGA VITA RUSHWA NDIO MSINGI MKUU WA MAENDELEO YA...

Waziri wa Nchi – Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Selemani S. Jafo (Mb) akizungumza wakati wa uzinduzi wa Siku ya Maadili na Haki za Binadamu Kitaifa mkoani Dodoma katika Ukumbi wa Hazina Ndogo.Waziri wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanesco yakanusha Taarifa ya uzushi inayosambaa katika mitandao ya kijamii

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO)  linakanusha Taarifa inayosambaa katika mitandao ya kijamii ikiwataka Wateja kununua Umeme kwa wingi kutokana na zoezi linaloendelea la kubomoa Ofisi za Makao makuu...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WADAU WA NGUVU WATUNUKIWA SHAHADA YA UZAMILI KATIKA UONGOZI WA BIASHARA CHUO...

Afisa Habari katika Sekretariati ya Jumuiya ya Afrika Mashariki(EAC) ,Florian Mutabazi akipokea Cheti chake kutoka kwa Waziri wa Elimu wa Malawi,Bright Msaka baada ya kuhitimu Shahada ya Uzamili katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASAUNI ATEMBELEA MRADI WA UJENZI NYUMBA MPYA ZA ASKARI POLISI MKOANI MARA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (wapili kulia),akiongozana na Mkuu wa Mkoa wa Mara,Adam Malima (watatu kulia) na viongozi wengine, baada ya kukagua mradi wa Ujenzi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Zabuni Mradi wa Umeme wa Stiegler’s yafunguliwa

Zabuni ya Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha Umeme kiasi cha MW 2100 kwa kutumia maporomoko ya maji katika Mto Rufiji (Stiegler's Gorge) imefunguliwa leo tarehe 27/11/2017 ambapo Kampuni 81 zilijitokeza...

View Article

MTAA KWA MTAA NDANI YA CHUNYA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMANNE LEO NOVEMBA 28,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AWASILI NAIROBI KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI KWENYE SHEREHE ZA...

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta Mjini Nairobi nchini Kenya ambako anamwakilisha Rais wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

HALMASHAURI ZAAGIZWA KUHAKIKISHA WANAHAMASISHA WANACHI KUWA NA VYOO BORA...

Na,Jumbe Ismailly SINGIDA Nov,28,2017 Magonjwa NAIBU Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI,Joseph Kakundi amewaagiza Maafisa afya wa ngazi zote katika Halmashauri,Hospitalini,Kata na vijiji kuhakikisha...

View Article

MAKAMU WA RAIS AWASILI NAIROBI KUMWAKILISHA RAIS MAGUFULI JWENYE SHEREHE ZA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Timu ya mpira wa miguu ya Albino United jijini Dar es Salaam yatembelea Mikumi

 Timu ya mpira wa miguu ya Albino United jijini Dar es Salaam majuzi ilipata fursa ya kutembelea hifadhi ya Mikumi na kujionea vivutio kibao vya kitalii katika ziara iliyoandaliwa na Bodi ya Utalii...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKAZI WA DAR ES SALAAM ATUSUA MILIONI 15 ZA VODACOM TANZANIA

 Meneja huduma za Ziada na Tehama wa Vodacom Tanzania PLC,Mathew Kampambe(kushoto) na Msimamizi mwandamizi wa bodi ya michezo ya kubahatisha nchini,Chiku Saleh(katikati)wakionyeshwa na  Meneja Uhusiano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Vijana Dar watunukiwa vyeti baada ya kuhitimi masomo ya ufundi kupitia VSOMO

 Mamlaka ya mafunzo ya ufundi VETA leo imekabidhi vyeti vya kuhitimu masomo ya ufundi stadi kwa vijana 8 wa mkoa wa Dar es saalam baada ya  kuhitimu masomo yao ya ufundi wa umeme wa majumbani pamoja na...

View Article
Browsing all 110144 articles
Browse latest View live




Latest Images