New Opportunities In The East African Crude Oil Pipeline(EACOP)
This is a series of articles focusing on the proposed Uganda-Tanzania crude oil pipeline project. My intention is to provide you all the necessary information so we help the public to effectively...
View ArticleUJIO WA BAADHI YA WAWEKEZAJI KUTOKA CHINA WAVUTIWA NA FURSA ZA UWEKEZAJI PWANI
Mkuu wa mkoa wa Pwani, Mhandisi Evarist Ndikilo,akizungumza jambo kuhusu masuala ya uwekezaji baada ya kutembelewa na baadhi ya wawakilishi wa makampuni ya uwekezaji kutoka nchini China.Na Mwamvua...
View ArticleNBC NA SANLAM WASAINI MKATABA WA USHIRIKIANO
Mkurugenzi wa Wateja Binafsi wa Benki ya NBC, Filbert Mponzi (katikati) akisaini mkataba wa ushirikiano katika ya NBC na Kampuni ya Bima ya Sanlam, jijini Dar es Salaam wiki iliyopita. Kulia kwake ni...
View ArticleRC Wangabo Ameitaka Manispaa Ya Sumbawanga kuboresha Masoko
Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Mh. Joachim Wangabo ameitaka Manispaa ya Sumbawanga kuhakikisha wanaboresha mazingira ya masoko yaliyopo kwenye Manispaa hiyo ili wananchi waweze kupata huduma kwenye maeneo hayo...
View ArticleTAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOANI MBEYA
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau...
View ArticleNAIBU WAZIRI ULEGA ATEMBELEA KITUO CHA UTOTOLESHAJI VIFARANGA VYA SAMAKI...
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdalla Ulega akimsikiliza kwa makini mmiliki wa Jan's Aqua Centre Johnson Noni anayejishughulisha na ufugaji wa samaki aina ya sato katika kijiji cha Kisayanu kata ya...
View ArticleWAANDISHI WA KIGOMA WAFUNDWA JINSI YA KURIPOTI KUHUSU WAKIMBIZI NA UMAKINI...
Waandishi wa habari wa Mkoa wa Kigoma kutoka vyombo mbalimbali wakiwa kwenye mafunzo ya siku mbili kuhusu kuripoti habari za wakimbizi na umakini dhidi ya changamoto ya uwepo wa sheria mpya ya habari...
View ArticleMAKAMU WA RAIS AFUNGUA KIKAO CHA KUJADILI CHANGAMOTO ZA MUUNGANO ZINAZOHUSU...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais anayeshughulikia Muungano na Mazingira Mhe. January Makamba akielezea masuala mbali mbali ambayo yamejadiliwa na Mawaziri wa Tanzania Bara pamoja Visiwani....
View ArticleWANAUME WATAKIWA KUWA CHACHU YA MABADILIKO KATIKA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA...
Mgeni Rasmi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa Kijinsia, Theodosia Mhulo kutoka WLAC Akifungua maadhimisho hayo katika ofisi za REDESO zilizopo Kinondoni jijini Dar es Salaam, ambapo...
View ArticleWAZIRI MKUU AKABIDHI KOMBE KWA TIMU YA AFISI KUU ZANZIBAR
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhi kombe kwa nahodha wa timu ya Afisi Kuu Zanzibar.Bwana Vuai Jecha baada ya timu yake kuibuka mshindi kwakuifunga timu ya Kwahani mabao 3 kwa 1. katika mchezo wa...
View ArticleCHUO KIKUU MZUMBE KUTUNUKU SHAHADA MBALIMBALI KWA WAHITIMU 3461
Makamu Mkuu wa Chuo Taalum, Prof. Ganka Nyamsogoro, akizungumza na waandishi wa habari juu ya mahafali ya 16 ya Chuo Kikuu Mzumbe Kampasi Kuu Morogoro Novemba 30, 2017, Chuo cha Kampasi ya Mbeya...
View ArticleDKT SHEIN AKUTANA NA BALOZI WA CHINA NCHINI, PIA AAGANA NA MABALOZI...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Mhe. Wang Ke, alipofika Ikulu Zanzibar kujitambulisha...
View ArticleZabuni Mradi wa Umeme wa Stiegler’s yafunguliwa
Zabuni ya Ujenzi wa Mradi wa kuzalisha Umeme kiasi cha MW 2100 kwa kutumia maporomoko ya maji katika Mto Rufiji (Stiegler's Gorge) imefunguliwa leo tarehe 27/11/2017 ambapo Kampuni 81 zilijitokeza...
View ArticleTamasha la Vodacom Pinduapindia lafana jijini Mwanza
Msanii wa muziki wa Singeli Manfongo, akitumbuiza kwenye viwanja vya Magomeni-Kirumba jijini Mwanza mwishoni mwa wiki, wakati wa Tamasha la Pinduapindia lililoandaliwa na Vodacom Tanzania PLC,kwajili...
View ArticleJAPAN YAONYESHA NIA KUIJENGA DODOMA KWA MIUNDOMBINU YA KISASA
SHIRIKA la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) limesema liko tayari kushirikiana na Serikali kujenga miundombinu ya kisasa ya usafiri, Nishati ya umeme, maji na usafi wa mazingira katika Makao Makuu...
View ArticleSERIKALI YAZINDUA MKAKATI WA TAIFA WA KONDOMU
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdalla Ulega akikata utepe kushairia uzinduzi wa mkakati wa kandomu kuelekea maadhimisho ya siku ya Ukimwi Duniania Desemba Mosi. Wa pili kushoto ni Mkurugenzi...
View ArticleHALMASHAURI ZATAKIWA KUTENGA PESA KUPAMBANA NA UVUVI HARAMU
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akizungumza na wataalam, wanahabari na viongozi wa Wizara hiyo kutoka katika sekta ya Uvuvi, baada ya kuonyeshwa zana zilizokamatwa katika oparesheni maalum ya...
View ArticleNYUNDOZZZ ZAANZA KUTEMBEZWA MAJENGO YA WIZARA YA MAJI, UBUNGO JIJINI DAR
Baadhi ya Mafundi wa Mabomba ya maji, wakiendelea na zoezi la kuhamisha mabomba katika tenki la maji nje ya Majengo ya Wizara ya Maji, Ubungo jijini Dar es salaam ikiwa ni maandalizi ya kubomoa...
View Article
More Pages to Explore .....