Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109592 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wananchi kuhudumiwa BURE Bugando Jijini Mwanza

Na George Binagi.Wananchi jijini Mwanza wamehimizwa kujitokeza kwa wingi kwenye “Kongamano la Watoa Tiba kwa Vitendo”, litakalofanyika kwenye viwanja vya Hospitali ya Kanda Bugando jijini Mwanza...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI ATEMBELEA MELI YA HOSPITALI YA CHINA, AAGANA NA KUSHUKURU...

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akikagua gwaride la wanamaji wa Meli ya Hospitali ya China alipotembelea leo Jumapili Novemba 26, 2017 kuwashukuru na kuwaaga baada ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATOTO 20 WENYE MATATIZO YA MOYO WAFANYIWA UPASUAJI WA BILA KUFUNGUA KIFUA

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child Heart – SACH) ya nchini Israel wamefanya upasuaji wa bila kufungua kifua (Catheterization) kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA WASOMI WATAKIWA KUMSAIDIA RAIS MAGUFULI KULILETEA TAIFA MAENDELEO

Na Dotto MwaibaleASKOFU Mkuu wa Kanisa la Abundant Bressing Centre (ABC), Flaston Ndabila amewataka Vijana wasomi na wanataalumu nchini kumsaidia Rais Dk.John Magufuli kuliletea Taifa maendeleo.Ndabila...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AVAMIA BANDARINI LEO NA KUKUTA MADUDU

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipata maelezo toka viongozi wa Mamlaka ya Bandari, Jeshi la Polisi na TRA kuhusiana na magari ya wagonjwa 53 yaliyofichwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PICHA ZA MATUKIO KATIKA KAMBI YA MATIBABU NA UPASUAJI WA MOYO KWA WATOTO...

Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart – SACH) ya nchini Israel Katharina Schmitt akiangali jinsi moyo wa mtoto unavyofanya kazi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA JAPAN YAAHIDI KUENDELEA KUSHIRIKIANA NA TANZANIA KUIMARISHA...

Na Ismail Ngayonga- MAELEZOSERIKALI ya Japan kupitia Shirika la Maendeleo la Kimataifa la nchi hiyo (JICA) imesema itaendelea kuisadia miradi mikubwa ya maendeleo nchini ikiwemo barabara ili...

View Article

MHANDISI MFUGALE APEWA TUZO YA RAIS WA JICA KWA KUTHAMINI MCHANGO WAKE

View Article


MILIONI 500 KUOKOLEWA KATIKA MATIBABU YA WATOTO WENYE UGONJWA WA MOYO

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI-MWEKA KUANZA KUTOA MAFUNZO MAALUM KWA WATOA...

 Na Hamza Temba-WMUKatika kutimiza azma ya Serikali kuboresha huduma za ukarimu kwenye sekta ya utalii nchini, Wizara ya Maliasili na Utalii imekichagua Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Hotuba ya Naibu Waziri Mhe Anthony Mavunde wakati wa mbio za AIDS TRUST FUND...

View Article

RAIS DKT MAGUFULI ATAKA VIONGOZI SERIKALINI KUIGA MFANO WA RC MAKONDA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KUTOKA Idara ya Habari (MAELEZO) Zanzibar

SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBARWIZARA YA HABARI UTALII UTAMADUNI NA MICHEZOTel: 0255 24 2237325/0255 24 2237313                        Idara ya Habari MaelezoFax: 0255 24 2237314P.O. Box...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA USIMAMIZI WA WANYAMAPORI-MWEKA KUANZA KUTOA MAFUNZO MAALUM KWA WATOA...

Na Hamza Temba-WMUKatika kutimiza azma ya Serikali kuboresha huduma za ukarimu kwenye sekta ya utalii nchini, Wizara ya Maliasili na Utalii imekichagua Chuo cha Usimamizi wa Wanyamapori Mweka kilichopo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BancABC yashirikiana na Kitengo cha Dharura Cha Muhimbili kutoa bima ya afya...

BancABC, ambayo ni sehemu ya Atlas Mara, imeshirikiana na Hospitali ya Taifa ya Muhimbili ili kutoa huduma ya bima ya afya itakayofaidisha watoto 100 ambao ni yatima na wanaoishi katika mazingira...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kilele cha Tigo Fiesta 2017 chahitimishwa kwa burudani ya kukata na shoka...

Msanii Madee kushoto akiwa na Janjaroo na TundaMan kwa pamoja kwenye jukwaa la Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam usiku wa kuamkia jana.Ommy Dimpozi akiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KASI YA UTEKELEZAJI YA MIRADI YA MAJI HALMASHAURI YA ITIGI INARIDHISHA

Utekelezaji wa miradi ya maji katika Halmashauri ya Itigi umeonekana kuwa wenye kasi inayoridhisha licha ya halmashauri hiyo kuanzishwa kipindi cha miaka mitatu iliyopita. Kaimu Kaibu Tawala Mkoa wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mahojiano Maalum na Mpiga Muziki Stadi- Saidi Kanda- Sehemu ya 1

Mwaka 1989 shirika maarufu la muziki Uingereza , WOMAD, lilimtunuku Mtanzania Saidi Kanda tuzo la Mpiga Ngoma wa Kimataifa wa Mwaka duniani. Kuanzia hapo mzawa huyu wa Bagamoyo aliyezaliwa 1962,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kilele cha Tigo Fiesta 2017 chahitimishwa kwa burudani ya kukata na shoka...

Alikiba akiwa na kundi lake wakitumbuiza katika jukwaa la Tigo fiesta liliofanya hitimisho lake usiku wa kuamkia jana katika viwanja vya leaders Jijini Dar es salaam.Msanii Madee kushoto akiwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATATU LEO NOVEMBA 27,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article
Browsing all 109592 articles
Browse latest View live




Latest Images