Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA - KUMBILAMOTO

 Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizungumza na umoja wa Vikundi vya Jogging Vingunguti mara baada ya kumaliza uasafi wa mwezi katika juhudi za kumuunga mkona Rais John Pombe Magufuli...

View Article



MAADHIMISHO YA UFUNGUZI WA KAMPENI YA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

POP UP SWAHILI FASHION WEEK YAWAVUTIA WANA MITINDO NA WADAU WAKE

 Mwanamitindo wa kampuni ya African Doll akimuonesha nguo ndugu John Ulanga katika Swahili Fashion week Pop Up iliyofanyika Nyumbani kwa Balozi wa Italy jijini Dar es Salaam Mwanamitindo,Diane Kapela...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wanawake watakiwa kushiriki katika michezo.

Na Shamimu Nyaki-WHUSMWanawake nchini wametakiwa kushiriki katika Michezo mbalimbali kwani ni fursa nzuri ambayo inasaidia kupata ajira na kuongeza kipato cha mtu mmoja mmoja pamoja na kuitangaza nchi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SHINYANGA AIBUKIA KWENYE SHAMBA DARASA LA PAMBA KUANZA RASMI MSIMU WA...

Shamba darasa hilo litatumika kama darasa la kilimo cha pamba kwa njia za kitaalamu kwa wakulima wa pamba katika wilaya hiyo katika msimu hu wa kilimo cha pamba ili waweze kuvuna mazao mengi na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MJEA YATOA MAFUNZO KWA WAANDISHI WA HABARI WAISLAMU NCHINI

 Mwakilishi wa Mkurugenzi wa Amana Bank, Bw. Bakari Kisuda  akizungumza na Waandishi wa Habari Waislamu jijini Dar es Salaam leo alipokuwa akifungua mafunzo maalum yaliyoandaliwa na Mtandao wa...

View Article

Introducing "NARINGA" official audio by Genevive

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUPAMBANE KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA: WAZIRI KAIRUKI.

Na Kitengo cha Mawasiliano WAMJWWatanzania wametakiwa kutumia nguvu zao katika kupambana na ukatili wa kijinsia katika maeneo yao ili kupunguza vitendo vya ukatili wa kijinsia nchini.Hayo yamesemwa na...

View Article


KAMISHNA MKUU WA TRA AZINDUA MRADI WA TRA NA JICA WA KUWAJENGEA UWEZO...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWS ALERT: Mchezaji Said Hamis Juma (Ndemla) afuzu majaribio kwenye klabu ya...

Mchezaji Said Hamis Juma (Ndemla) amefanikiwa kufuzu kwenye majaribio yake ya kucheza Soka la kulipwa barani Ulaya. Mchezaji huyo, aliyekuwa nchini Sweden kwa majaribio kwenye klabu ya Eskilstuna ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAFUNZI ZAIDI YA 700 WAHITIMU MAFUNZO YAO CHUO KIKUU CHA KUMBUKUMBU YA...

 Mgeni Rasmi katika Mahafali ya 12 ya Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere, Mkurugenzi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali  ZanzibarMashavu Ahmad Fakir akihutubia wakati wa kutunuku vyeti kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WA CCM NDUGU KINANA AFUNGA KWA KISHINDO KAMPENI KATA YA MURIET...

Aliyekua Kada ya Chadema akiwa ameshika kadi  na bendera za chama hicho baada ya wanachama 91 kurejea CCM katika mkutano wa kufunga kampeni kata ya Muriet jijini Arusha leoWafuasi wa CCM wakifurahia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AUNGANA NA WANASONGEA KUOMBOLEZA KIFO CHA MAREHEMU LEONIDAS GAMA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameungana na wanafamilia, wananchi wa Songea katika kuomboleza kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo la Songea, Bw. Leonidas Gama, nyumbani kwa marehemu Likuyu wilayani Songea....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI AFUNGUA HOSPITALI YA TAALUMA NA TIBA YA CHUO KIKUU CHA AFYA...

Kaimu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS) Prof. Appolinary Kamuhabwa akielezea ujenzi wa Hospitali ya Taaluma na Tiba ya Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAPILI LEO NOVEMBA 26,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ibrahim Class awapa Watanzania kile walichotarajia.

Na Shamimu Nyaki-WHUSM.Mwanamasumbwi Ibrahim Class amewapa raha watanzania jana Jijini Dar es Salaam baada ya kumpiga Bondia Koos Sibiya kutoka Afrika Kusini katika mtanange wa kimataifa baina yao...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MDAU BEATRICE SINGANO MALLYA ALA NONDOZZ YAKE YA UTAWALA KWENYE BIASHARA...

 Tabasamu Mubashara toka kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania dada yetu Beatrice Singano Mallya baada ya kuhitimu na kutunukiwa nondoz yake ya Masters in Business Administration (MBA)...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mhagama aitaka Halmashauri ya Bahi kukamilisha ujenzi wa Soko la Kigwe

Na. MWANDISHI WETU – DODOMAWaziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Uratibu, Bunge, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ameitaka Halmashauri ya Wilaya ya Bahi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAONI YA MDAU: UCHUMI WA VIWANDA

Naunga mkono harakati za kuwa na Uchumi wa Viwanda.Wakati wa Ukoloni, mataifa ya Afrika yalikuwa ni wazalishaji wa mali-ghafi wa viwanda vya watawala wao. Baada ya Afrika kujikomboa, Afrika ilianza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI WA KUWAIT ATEMBELEA CHUO KIKUU CHA DODOMA

Balozi wa Kuwait nchini Tanzania Mhe. Jasem Al-Najem akimkabidhi vitabu Mkuu wa Chuo Kikuu Cha Dodoma UDOM, Profesa Frowin Nyoni (kulia) na kukutana na baadhi ya viongozi na wahadhiri wa Chuo hicho....

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images