Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110144 articles
Browse latest View live

KAMISHNA MKUU WA TRA AZINDUA MRADI WA TRA NA JICA WA KUWAJENGEA UWEZO...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wafanyakazi wa Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya...

Mkuu wa Mkoa wa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu akiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Taasisi ya Okoa Moyo wa Mtoto (Save a Child’s Heart-SACH) ya nchini Israel ambao walifika katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Chuo cha Ustawi wa Jamii chafanya kongamano la kitaaluma na kujadili...

Mkuu wa chuo cha Ustawi wa Jamii Dkt. Abu Mvungi(wapili toka kulia) akizindua Jarida la kitaaluma liloandaliwa na idara yataaluma ya chuo cha Ustawi wa jamii,wa tatu kulia ni Makamu Mkuu wa chuo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAMOSI LEO NOVEMBA 25,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAJALIWA: TANESCO KAWAHUDUMIENI WANANCHI VIJIJINI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) liwafuate wananchi walioko katika vijiji vinavyotarajiwa kuunganishiwa umeme kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kutoa leseni kwa hospitali na vituo vya afya vya Umma vitakavyokidhi...

Na.WAMJW,MtwaraSerikali inatarajia kutoa leseni kwa hospitali na vituo vya afya vya Umma vitakavyokidhi vigezo vya ubora wa kutoa huduma za afya ili mwananchi wajue kituo atakachoenda kina ubora gani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO KIKUU MZUMBE CHAZINDUA RIPOTI YA UTAFITI JUU YA KILIMO CHA MKATABA...

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Prof. Joseph Buchweishaija, akikata utepe wakati wa uzinduzi wa Ripoti ya Utafiti Juu ya Fursa na Changamoto za Kilimo cha Mkataba...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI ATAKA UTEKELEZAJI UPANUZI WA VIWANDA VYA SUKARI NCHINI UFANYIKE KWA...

Na John Nditi, KilimberoWAZIRI wa Kilimo, Dk Charles Tizeba amesema kuwa suala ya kupanua viwanda vya sukari nchini halina mbadala ni jambo la lazima ili kukidhi uchakataji mkubwa wa miwa inayolimwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dk. Kigwangalla, Naibu Katibu Mkuu CCM Mpogolo kumnadi Mabonde Udiwani Nata leo

Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM-Bara), Rodrick Mpogolo, Mbunge wa Nzega Vijijini ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla leo Novemba 25,2017, wanatarajia...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBILAMOTO; VIJANA MUUNGENI MKONO RAIS MAGUFULI AMEFANYA MAKUBWA

Naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto akizungumza na umoja wa Vikundi vya Jogging Vingunguti mara baada ya kumaliza uasafi wa mwezi katika juhudi za kumuunga mkona Rais John Pombe Magufuli...

View Article

NEC YASISITIZA AMANI NA UTULIVU UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI KATA 43

View Article

DKT. MWAKYEMBE AIPONGEZA PSPF KWA KUTWAA TUZO YA KIMATAIFA YA ISSA GOOD...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAALIM SEIF ABAMU

View Article


BAMIZA CHART 25TH NOVEMBER 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MWAKYEMBE KUZINDUA LIGI YA WANAWAKE ARUSHA

Ligi ya wanawake inatarajia kuanza Jumapili Novemba 26, 2017 kwenye vituo viwili vya Dar Es Salaam na Arusha ambapo kundi A litakuwa Dar es Salaam likitumia Uwanja wa Karume wakati kundi B litakuwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makatibu wakuu nchini wafanya Mkutano wa Kuvutia Uwekezaji nchini China

Katibu Mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, Prof. Elisante Ole Gabriel pamoja na Katibu mkuu Wizara ya Mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Prof Adolf Mkenda wakutana na wawekezaji kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHITIMU CHUO CHA MIPANGO WATAKIWA KUWA SEHEMU YA SULUHISHO YA CHANGAMOTO ZA...

Naibu Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) amewataka  Wahitimu 3108 wa Chuo Cha Mipango ya Maendeleo Vijijini (IRDP)   waliotunukiwa  tuzo zao  katika  Fani mbalimbali kwa mwaka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

mbio za 'Aids Trust Fund Marathon' zafana

 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, Anthony Mavunde,  akimkabidhi Cheti mwakilishi wa Mkapa Foundation, Deogratius Rimoy, kutambua mchango wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

The State University of Zanzibar (SUZA) and Zhejiang University of Media and...

The State University of Zanzibar (SUZA) and Zhejiang University of Media and Communication (ZUMC) signed a five year extendable Memorandum of Understanding  (MoU) on promotion of cooperation and the...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ajali ya gari aina ya Toyota Noah Kilombero- Mikumi mkoani Morogoro

 Wasamaria wema akiwemo Mwandishi wa habari na mpiga picha wa Kituo cha ITV , Mkoa wa Morogoro, Hussein Nuha wakitoa msaada wa kusaidia mmoja wa majeruhi ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara...

View Article
Browsing all 110144 articles
Browse latest View live




Latest Images