Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109981 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UHAMIAJI YAFUNGA ‘MITAMBO’ YA UTAMBUZI KATIKA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA...

Idara ya Uhamiaji katika Kituo cha Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere (JNIA) imefunga Vifaa vyenye mfumo mpya wa utambuzi na ulinganisho wa sura (Facial Recognition and Matching...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAJILI VITAMBULISHO VYA TAIFA WAENDELEA MBEYA

Mamlaka ya Vitambuisho vya Taifa (NIDA) inaendelea na zoezi la Usajili na Utambuzi wa watu mkoani Mbeya ambapo wananchi wengi wamejitokeza ambapo kwa sasa usajili unaoendelea niwa mkupuo (mass...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UJENZI MAGOMENI KOTA KUKAMILIKA MACHI MWAKANI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano (Sekta ya Ujenzi), Mheshimiwa Elias Kwandikwa (Mb), ameutaka Wakala wa Majengo Tanzania (TBA), kufanya kazi kwa bidii katika miradi yote inayopewa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMANNE LEO NOVEMBA 21,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mama Salma Kikwete ashiriki ufunguzi wa mkutano "First Silk Road NGO...

  Mmoja wa wadau akizungumza kwenye mkutano huo wa "First Silk Road NGO Corporation Network Forum" ulioanza kufanyika leo Beijing nchini China,ambapo Mke wa Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne na Mwenyekiti...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC HANDENI ATOA SIKU 14 WATAALAMU WA ARDHI KUAINISHA MPAKA UNAOTENGANISHA...

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh.Godwin Gondwe amewapa siku 14 wataalamu wa ardhi wa Wilaya kuainisha mipaka baina ya Kata ya Misima iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Handeni na Halmashauri ya Mji ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA PAMBA TANZANIA YATAKIWA KUONGEZA MBEGU MKOANI TABORA

NA TIGANYA VINCENT.UONGOZI wa Bodi ya Pamba Tanzania umeombwa kuongeza tani 148 ya mbegu za zao hilo baada ya wakazi wengi wa Mkoa wa Tabora kujitokeza kwa ajili ya kulima zao hilo katika msimu wa mwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI, MHE. JAPHET HASUNGA AKABIDHI MSAADA WA MABATI KWA...

Na Hamza Temba - WMUKatika jiihada za Serikali za kuendeleza ushirikiano na jamii zinazozunguka maeneo ya hifadhi nchini, Wizara ya Maliasili na Utalii imetoa msaada wa mabati sitini kwa ajili ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MBUNGE MGAYA AWASAIDIA WANAWAKE VYEREHANI 370 NJOMBE

Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe, Neema Mgaya ametoa msaada wa vyerehani 370 vyenye thamani zaidi ya Milioni 90 kwa wanawake mkoani humo ili wajikwamue kiuchumi huku akiunga mkono juhudi za...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI JENSEN WA DENMARK AWAHASA WAPIGA PICHA NCHINI

Balozi wa Denmark nchini Mh Einar H. Jensen akikata utepe kuashiria ufunguzi rasmi wa onesho la KARIBU TANZANIA , kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Prof Audax Mabula na kushoto ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Naibu Waziri Ulega akutana na wananchi wa kijiji cha Sunguvuni

 Naibu wa Waziri na Uvuvi, Abdallah Ulega akipokea taarifa ya ujenzi wa Zahanati ya Sunguvuni mkoani Pwani.Na Chalila Kibuda,Globu ya jamii.Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega  amesema...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NEWZ ALERT: JENGO LA CLOUDS MEDIA GROUP LAWAKA MOTO MAPEMA LEO.

 Magari ya ya Jeshi la zimamoto yakiwa yamefika eneo la tukio,katika jengo la Ofisi za Clouds Media Group lililopo Mikocheni jijini Dar, kukabiliana na moto uliozuka mapema leo kwenye moja chumba cha...

View Article


Introducing "Hauna" Official Video by Aslay Isiaka

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Airtel Money kugawa gawio la bilioni 2 kwa wateja

Wakati msimu wa sikukuu ya krismasi umewadia kampuni ya simu za mkononi ya Airtel imeupokea msimu huo kwa kuendelea kuwanufaisha wateja pamoja na mawakala wa huduma ya Airtel Money nchi nzima kwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI,KAMISHNA JENERALI WA UHAMIAJI WAZUNGUMZA NA WANANCHI

Na Abubakari Akida-WMNN.NAIBU Waziri Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, amewataka wananchi na wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao karibu na Kituo cha Mpaka wa Sirari unaotenganisha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANACHAMA WA VYAMA VYA UPINZANI SITA WAREJEA CCM KATIKA MKUTANO WA...

 Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana wakati akiwasili kuongoza Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUU WA WILAYA YA MBOGWE AZINDUA UJENZI WA ZAHANATI YA KIJIJI CHA SHENDA

Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe Mh Martha Mkupasi amezindua Ujenzi wa Zahanati ya Shenda ambayo inatarajiwa kujengwa kwa nguvu za wananchi kwa kushirikiana na serikali katika uzinduzi huo mkuu Wilaya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKTI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA MKUTANO WA HALMASHAURI KUU YA...

Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akifungua  Mkutano wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya Chama hicho jijini Dar es salaam leo November 21, 2017Katibu Mkuu Wizara ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA UCHOCHEZI DHIDI YA YERICKO NYERERE KUANZA KUSIKILIZWA MWEZI UJAO

Na Karama Kenyunko, Blogu ya jamii.Upande wa mashtaka katika kesi ya uchochezi kupitia mtandao inayomkabili mfanyabiashara Yericko Nyerere umeeleza kuwa katika ushahidi wa kesi hiyo, wanatarajia...

View Article
Browsing all 109981 articles
Browse latest View live




Latest Images