Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110152 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mkurugenzi Mkazi wa USAID bwana Andy Karas atembelea walengwa wa TASAF mkoani...

Na Estom Sanga – Iringa Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Misaada ya Kimataifa la Marekani –USAID-bwana Andy Karas amepongeza jitihada za serikali ya Tanzania kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii TASAF...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODASTAR YAICHAKAZA NOKIA MAGOLI 8-1 MECHI YA KIRAFIKI

 Mashabiki watimu ya VodaStar, wakifurahia kombe lao  baada ya timu yao kiichakaza timu ya Nokia kwa magoli 8-1 wakati wamchezo wakirafiki uliofanyika katika viwanja vya Gymkhana jijini Dar es Salaam...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI UMMY AWATAKA WAGANGA WAKUU WA MIKOA KUANZISHA ZOEZI LA WAZI LA...

NA WAMJW-DAR ES SALAAM.WAZIRI Wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu amewaelekeza waganga wakuu wa mikoa yote nchini kuanzisha zoezi la wazi la uchunguzi wa saratani ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CCM Z'BAR YATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA MWANAHABARI WA ZBC

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimepokea kwa mshituko na huzuni mkubwa taarifa ya kifo cha Mwandishi wa habari wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Marehemu Maridadi Aman kilichotokea jana...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wabunge wawapongeza NSSF, PPF na magereza mradi wa kiwanda cha sukari cha...

KAMATI ya Bunge ya Katiba na Sheria imepongeza namna mifuko ya hifadhi ya jamii ya NSSF na PPF inavyotekeleza mradi wa pamoja wa ujenzi wa kiwanda cha sukari unaofahamika kama Mkulazi huku ikitoa wito...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAKWIMU WATAKIWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA KATIKA UKUSANYAJI WA TAKWIMU...

 Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) Dkt. Alibina Chuwa akisisitiza jambo wakati wa hafla ya maaadhimisho ya Siku ya Takwimu Barani Afrika leo Jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DR NTUYABALIWE FOUNDATION YAHAMASISHA WANAFUNZI KUJIAMINI NA KUSOMA KWA BIDII

Wanafunzi wamehamasishwa kujiamini na kusoma kwa bidii ili kujijengea msingi imara ya mafanikio katika maisha yao.Hayo yamesemwa leo jijini Dar es salaam na Muasisi wa Dr. Ntuyabaliwe Foundation, Bi....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI KALEMANI AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI, INDIA NCHINI

Leo tarehe 20 Novemba, 2017, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Inmi Patterson na Balozi wa India Nchini, Sandeep Arya kwenye Ofisi za Wizara ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Magufuli hajatengua utengua uteuzi wa Dkt. Laurian Ndumbaro

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Kairuki, Benki ya Dunia Wajadili Rasilimali Madini

Na Rhoda James, DSMWaziri wa Madini Angellah Kairuki mwishoni mwa wiki alikutana na Ujumbe wa Benki ya Dunia jijini Dar es Salaam kwa lengo la kufahamiana na kuangalia hatua mbalimbali zilizofikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA CCM RAIS DKT MAGUFULI AENDESHA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM

Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt John Pombe Magufuli, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Zanzibar) na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein, Makamu Mwenyekiti wa CCM (Bara)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UKATILI DHIDI YA WANAWAKE TATIZO KUBWA HAPA NCHINI - DKT. NDUGULILE

Naibu Waziri wa Afya, Maendelego ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile akitoa hotuba ya ufunguzi wakati wa Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Dawati la Jinsia na Watoto linalosimamiwa na Jeshi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MOI YAOKOA BILIONI 5 KWA KUPUNGUZA RUFAA ZA NJE YA NCHI.

Patrick Mvungi- MOITaasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imeokoa zaidi ya shilingi Bilioni 5 ambazo zingetumika kusafirisha wagonjwa nje ya nchi kufuata...

View Article


WAKAZI WA MKOA WA DAR ES SALAAM WAJITOKEZA KUPATA HUDUMA KATIKA MELI YA CHINA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO AKUTANA NA BALOZI WA CHINA

 Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro (kulia), akizungumza na balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke, alipomtembelea ofisini kwake Makao Makuu ya Jeshi hilo leo jijini Dar es salaam kwa lengo la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASASI ZA KIRAIA ZAIOMBA SERIKALI KUBORESHA SHERIA ZA USALAMA BARABARANI

Mkurugenzi Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA), Bi. Edda Sanga (kushoto) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) katika maadhimisho ya Siku ya Kimataifa Kuwakumbuka Wahanga wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWANJELWA AMNADI MGOMBEA UDIWANI KATA YA IBIGI, APOKEA WANACHAMA WAPYA 21

Na Mathias Canal, MbeyaMjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mhe Mary Mwanjelwa (Mnec) ambaye ni Naibu Waziri wa Kilimo amewasihi wananchi kwa kauli moja kuchagua kiongozi makini...

View Article


KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MEYA WA JIJI LA TANGA APOKEA VIFAA TIBA KUTOKA KUWAIT

Balozi wa Kuwait nchini Mhe. Jasem Al-Najem amezindua visima sita vya maji safi na salama mwisho wa wiki katika Mkoa wa tanga ikiwemo shule ya Old Tanga Secondary School ,vilivyochimbwa na Jumuiya ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CHUO CHA MAFUNZO YA KIJESHI MONDULI CHAZINDUA KOZI MPYA YA SAYANSI YA KIJESHI

Na Pamela Mollel,MonduliKatibu Mkuu wa wizara ya ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Dkt Florens Turuka amesema kuwa jeshi hilo hivi sasa limejipanga katika kukabiliana na changamoto za ulinzi na usalama...

View Article
Browsing all 110152 articles
Browse latest View live




Latest Images