TAARIFA KUHUSU UINGIZWAJI WA MIFUGO TANZANIA
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA MAMBO YA NJE NA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKISimu:255-26-2323201-7Barua pepe: nje@nje.go.tzBarua pepe: gcu@nje.go.tzTovuti : www.foreign.go.tzNukushi:...
View ArticleMAKONDA ATOA MILIONI 10 KWA KAMPUNI YA MSAMA AUCTION MART KUSAIDIA KUTOKOMEZA...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda ametoa Shilingi Milioni 10 za Kitanzania kwa Kampuni ya Udalali ya Msama Auction Mart inayosimamia zoezi la kutokomeza kazi feki za sanaa nchini.Kiasi hicho...
View ArticleVIRTUAL ADVOCATE - A SOLUTION SET TO REVOLUTIONIZE OFFICE PRODUCTIVITY
‘Virtual Advocate’is a revolutionary document solution platform that allows users to transform their frequently used documents and forms into intelligent templates, enabling super-fast production of...
View ArticleKABURI LAFUKULIWA MOSHI KUONDOA UTATA WA MWILI WA MTU ALIYEZIKWA BAADA YA...
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini. UTATA umeighubika familia ya Jackson Makundi ambayo kijana wake aliyetambulika kwa jina la Humphrey Makundi, Mwanafunzi wa shule ya Sekondari ya...
View ArticleKUMBUKUMBU YA KIFO CHA BARKHE MWINYI UBAYA
Familia ya Mwinyi Ubaya inakumbuka kifo cha Barkhe M. Ubaya kilichotokea miaka minne iliyopita.Unakumbukwa na Mumeo Ndg. Mwinyi Ubaya, watoto wako Salama na Rahma, Dada yako, Kaka yako, Mama yako, wifi...
View ArticleBarabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili ni...
Kutokana na mvua zilizonyesha usiku wa kuamkia leo katika baadhi ya maeneo ya jiji la Dar es salaam, kumepelekea Barabara ya Mbezi kwa Msuguli kuelekea Bwaloni-Masaki mpaka Malamba Mawili kupitika kwa...
View ArticleWAKAZI WA DAR WAJITOKEZA KWA WINGI KUPATA MATIBABU BURE KWENYE MELI YA CHINA
Wakazi wa kutoka maeneo mbalimbali ya jiji la Dar es salaam wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye eneo la Kituo cha Kati cha Polisi ili kupata utaratibu wa kuelekea kwenye Meli kubwa ya Madaktari bingwa...
View ArticleWaziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani akagua mitambo ya kuzalisha Umeme ya...
Waziri wa Nishati Dkt.Medard Kalemani akagua mitambo ya kuzalisha Umeme ya kituo cha Umeme KIDATU, sambamba na ukaguzi huo Dkt.Kalemani alipokea taarifa ya hali ya mitambo ya uzalishaji umeme pamoja...
View ArticleMWENYEKITI WA CCM RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa kaongozana na Katibu Mkuu wake Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili kuongoza kikao cha Kamati Kuu ya CCM jijini Dar es salaam...
View ArticleU.S. Government Hands Over Medical Equipment and Supplies to the Tanzania...
The United States Agency for International Development (USAID) in collaboration with John Snow Inc. and Project C.U.R.E handed over TZS 2 billion worth of medical goods and equipment to the Tanzania...
View ArticleTAARIFA KUTOKA OFISI YA MAKAMU WA RAIS
Ofisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inakanusha taarifa inayosambaa katika Mitandao ya Kijamii kuhusu Taasisi ya Kiraia ijulikanayo kama Samia Habari Suluhu. Taasisi hiyo...
View ArticleCHAMA CHA MBIO ZA MAGARI TANZANIA (AAT) CHAWAKUMBUKA WAATHIRIKA WA AJALI NA...
Mgeni Rasmi Mwanasheria wa Kikosi cha Usalama Barabarani nchini, Afande Deus Sokoni akifungua mjadala katika Siku ya Kukumbuka waathirika wa Ajali Duniani (The World Day Of Remembrance For Road Traffic...
View ArticleBREAKING NYUZZZZ.....: WAKILI MAARUFU WA KUJITEGEMEA DKT. RINGO TENDA NA...
Wakili marufu wa kujitegemea Dkt. Ringo Tenga (aliye mbele), akifuatiwa na aliyekuwa Mkurugenzi wa Benki ya Rasilimali Tanzania (TIB), Peter Noni na wenzao wakiwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...
View ArticleMAHAFALI YA KWANZA YA CHUO CHA MANJANO BEAUTY ACADEMY YAFANYIKA JIJINI DAR
Chuo cha Manjano Beauty Academy kimetunuku Astashahada (Certificates) na Stashahada (Diploma) kwa wahitimu 120 wa kwanza wa chuo hicho katika nyanja ya urembo na utengenezaji wa nywele.Urembo na...
View ArticleWAZIRI UMMY AWATAKA WAGANGA WAKUU WA MIKOA KUANZISHA ZOEZI LA WAZI UCHUNGUZI...
Waziri Wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kulia akipokea moja ya vifaa vya uchunguzi wa saratani ya kizazi kutoka kwa Mkurugenzi Mkazi wa Jhpiego nchini Tanzania Bw....
View ArticleBalozi wa Tanzania nchini Shelisheli awasilisha Hati za Utambulisho
Balozi wa Tanzania nchini Shelisheli mwenye makazi yake nchini Kenya, Mhe. Dkt. Pindi Chana akiwasilisha Hati za Utambulisho kwa Rais wa Jamhuri ya Shelisheli, Mhe. Danny Faure. Makabidhiano hayo...
View ArticleBENKI YA KILIMO YATEMBELEA MIRADI YA JKT KITEULE CHA BULAMBA, BUNDA
Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetembelea mradi wa ufugaji wa vifaranga vya samaki unaotekelezwa na kikosi cha 822 Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Rwamkoma wilaya ya...
View Article