Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt. Mwakyembe aipongeza TAMWA kwa kuwa na wanachama wanaokidhi vigezo vya...

Na  Shamimu Nyaki –WHUSM.Waziri wa Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa pongezi kwa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kwa kuwa na wanachama ambao wanakidhi...

View Article



DKT. SHIKA: NIKISHINDWA KUNUNUA NYUMBA KWA LUGUMI, NITANUNUA NYUMBA NYINGINE

Tazama video ya Dk. Luis Shika alipofika katika ofisi za Posta.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAADHIMISHO YA WIKI YA NENDA KWA USALAMA BARABARANI YAZINDULIWA LEO MKOA WA...

Kamanda wa polisi mkoa wa Shinyanga ACP Simon Haule amefunga wiki ya wiki ya nenda kwa usalama barabarani mkoa wa Shinyanga yaliyoanza siku ya Jumatatu Novemba 13,2017 katika viwanja vya jeshi la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NZUNDA: MARUFUKU KUINGIA MAKUBALIANO NA NGO's BILA KUPITA TAMISEMI.

NA TIGANYA VINCENT, RS-TABORASERIKALI imepiga marufuku Halmashauri zote nchini kuingia makubaliano na Mashirika yasiyokuwa ya kiserikali(NGO’S) bila kupitia na kiuhidhinishwa na Ofisi ya Rais ,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AONGOZA MAOMBOLEZO YA KIFO CHA KATIBU MKUU WA CWT

 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Katibu Mkuu. Wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT) Marehemu, Alhaji Yahya Msulwa .leo Novemba,18. 2017....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAIMU MKURUGENZI MKUU NIDA AWASILI MARA TAYARI KWA UZINDUZI WA ZOEZI LA...

Kaimu Mkurugenzi Mkuu (NIDA), Ndg Andrew W. Massawe amewasili mkoani Mara akiwa ameambatana na Kamishna Generali wa Idara ya Uhamiaji nchini Dkt. Anna Peter Makakala tayari kwa uzinduzi rasmi wa kuanza...

View Article

TAASISI ZA SERIKALI ZATAKIWA KUTUMIA SHIRIKA LA POSTA KUTUMA NA KUPOKEA MIZIGO

View Article

UPDATES ZA DKT LOUIS SHIKA NA UNUNUZI WA NYUMBA ZA LUGUMI

View Article


Azam TV - FULL HIGHLIGHTS: TZ PRISONS 0-1 SIMBA SC

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DKT. KAYANDABILA: SERIKALI KUENDELEA KUKIJENGEA UWEZO CHUO CHA KODI

SERIKALI kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imesema itaendelea kukijengea uwezo Chuo cha Usimamizi wa Kodi Nchini (ITA) ili kuhakikisha kuwa Chuo hicho kinazalisha Wataalamu  bora wenye kukithi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

CLOUDS TV yapewa tuzo ya Kituo Bora cha Televisheni 2017

Umoja wa Mataifa kupitia Umoja wa Vijana (YUNA) umetoa tuzo kwa Taasisi na watu binafsi wenye mchango mkubwa katika maisha ya watu barani Afrika.Kupitia tuzo hizo zinazotambulika kama PAHA, kituo cha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BODI YA CHAKUA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA TANI 11.6 YA MAZIWA NA...

Na Ramadhani Ali – MaelezoWafanyabiashara wanaoingiza bidhaa nchini kutoka nje wameshauriwa kutoogopa gharama wakati wa kusafirisha bidhaa zao na wahakikishe wanatumia njia bora za usafirisha ili...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA POSTA LAFADHILI SHINDANO LA 'NATIONAL SPELLING BEE' TANZANIA

SHIRIKA lisilo la Kiserikali la Coconut Foundtion lenye Makao yake Makuu Kijitonyama Manispaa ya Kinondoni jijini Dar-es-Salaam, leo hii limewatangaza washindi kumi baada ya kumalizika kwa shindano la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIKU YA TAKWIMU AFRIKA KUADHIMISHWA KESHO

Na: Veronica Kazimoto,Dar es Salaam,Maadhimisho ya Siku ya Takwimu Afrika yatafanyika kesho tarehe 20 Novemba, 2017 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Dkt Mahiga, (MB) akamilisha Ziara ya Marekani

Mhe. Dkt. Augustine Mahiga, MB, Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki akamilisha ziara ya Marekani alipokuwa kwa Mwaliko wa Mhe. Rex Wayne Tellerson, Waziri wa Mambo ya Nje wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UTAFITI MAPATO NA MATUMIZI KAYA BINAFSI WAANZA TANZANIA BARA

Benny MwaipajaWAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amezindua zoezi la ukusanyaji wa Takwimu za utafiti wa mapato na matumizi ya kaya binafsi Tanzania Bara mwaka 2017/2018, utakaogharimu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMAPILI LEO NOVEMBA 19,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


RC MAKONDA KUWAKARIBISHA WANAFUNZI WA MWAKA WA KWANZA KIZALENDO.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mheshimiwa PAUL MAKONDA ameandaa tamasha la kuwakaribisha Wanafunzi wa Mwaka wa kwanza kwa Vyuo Vikuu vya Mkoa wa Dar es Salaam kwa lengo la kujadili masuala mbalimbali ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kampeni ya Uzalendo na Utaifa kuzinduliwa Disemba nane Mjini Dodoma

Na Shamimu Nyaki –WHUSM.Wizara ya Habari,Utamaduni Sanaa na Michezo imeandaa Kampeni ya “Uzalendo na Utaifa” inayotarajiwa kuzinduliwa Disemba nane mwaka huu Mjini Dodoma na Rais wa Jamhuri ya Muungano...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATUMISHI WA AFYA BADO WANAHITAJIKA NCHINI.

WATUMISHI wa kada mbalimbali katika sekta ya afya bado wanahitajika nchini ili kuboresha huduma ya afya kwa ajili ya kuokoa maisha ya watanzania ili kuifikisha nchi katika uchumi wa viwanda mpaka...

View Article
Browsing all 109996 articles
Browse latest View live


Latest Images