Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110028 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Malima afanya ziara ya kushtukiza Kiwanja cha ndege cha Musoma

Mkuu wa Mkoa wa Mara, Adam Kigoma Malima (aliyenyoosha mkono), akielekeza jambo kwa Meneja wa Kiwanja cha Ndege cha Musoma, Betha Bankwa leo alipotembelea kiwanjani hapo. Meneja wa Kiwanja cha Ndege...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

DODOMA, SINGIDA KUTUMIA KILIMO CHA UMWAGILIAJI IFIKAPO 2019

Kiongozi wa msafara wa wawakilishi wa kampuni ya Henan Juren Crane Group kutoka Jimbo la Henan nchini China, Wang Yuheng (wa pili kulia) akisisitiza jambo wakati alipokutana na Mkurugenzi wa Maendeleo...

View Article

VIDEO: SERIKALI KUIMARISHA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NCHINI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YA BURUNDI YANUIA KUWAREJESHA WANANCHI WAKE WALIOKIMBILIA TANZANIA

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi wa Tanzania, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza katika mkutano na wakimbizi wa Burundi wanaoishi kambi ya Nyarugusu, iliyoko wilayani Kasulu, mkoani Kigoma....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JAJI MKUU AWAASA WAHITIMU WA SHERIA KUJIENDELEZA KITAALUMA

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Prof. Ibrahim Khamis Juma amewataka wahitimu wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto kujiendeleza katika fani ya Sheria kwa kuwa na hitaji na hamu ya kujiendeleza zaidi toka...

View Article


BBC DIRA YA DUNIA IJUMAA NOVEMBA 17, 2017

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAKARABATI VYUO 10 KWA SH. BILIONI 12 - WAZIRI MKUU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetumia sh. bilioni 11.9 kufanya ukarabati wa miundombinu ya kufundishia na kujifunzia pamoja na mabweni katika vyuo 10 vya ualimu nchini.Amevitaja vyuo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA LEO JUMAMOSI NOVEMBA 18,2017

              Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

IGP SIRRO APOKEA MSAADA WA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA BILIONI MBILI

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro, akimsikiliza mmoja kati ya madaktali wa hospitali ya Jeshi hilo iliyopo barabara ya Kilwa, wakati wa makabidhiano ya vifaa tiba vilivyotolewa na serikali...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA BLUE COAST INVESTMENT YACHANGIA MADAWATI 200

Madawati mia mbili ambayo yametolewa na kampuni ya Blue coast Investment iliyopo Mkoani Geita kwa lengo la kusaidia mahitaji ya elimu.Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi akimshukuru...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MABORESHO YA MTAMBO WA UZALISHAJI MAJI RUVU JUU

View Article

INTRODUCING "WANANGU" OFFICIAL AUDIO RELEASE BY NCHAMA THE BEST

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Mdau Dr Baraka Noah Kadiva alamba nondozzz ya udaktari nchini malaysia

Kutoka kulia ni Baba Mzazi Mr. Noah Kadiva, mama mzazi Mrs. Florence Kadiva, Muhitimu Dr. Baraka Noah Kadiva, Mheshimiwa Balozi wa Tanzania Nchini Malaysia Dr. Ramadhan Dau, Mrs. Joyce Assenga na Mr....

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TEKNOLOJIA YA MTANDAONI KUKUZA BIASHARA ZA WAJASIRIAMALI.

WAJASIRIAMALI wa nchi za Afrika ya Mashariki wametakiwa kuitumia ipasavyo fursa ya kuenea na kukua kwa matumizi ya teknolojia ya habari na mawasiliano (TEHAMA) ili kuendana na kasi ya mapinduzi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA KILIMO MHE MWANJELWA AMPA MRAJISI SIKU 7 ZA KWANINI MAGUNIA...

Naibu Waziri wa Kilimo Mhe Mary Mwanjelwa akizungumza wakati wa Mkutano wa hadhara uliofanyika katika kijiji na kata ya Chiungutwa, Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara mara baada ya kushiriki mnada wa tano...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA WATOTO NJITI DUNIANI.

 Waziri wa Kazi,Uwezeshaji,Wazee,Vijana,Wanawake na Watoto Mh,Maudline Cyrus Castico akibeba Watoto Njiti katika Maadhimisho ya mtoto  Njiti Duniani yaliyofanyika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la...

View Article

UJENZI WA DARAJA LA JUU (FLYOVER) LA TAZARA JIJINI DAR ES SALAAM WAFIKIA...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

wadau watakiwa kuwekeza katika vifaa vya kisasa vya kurekodia filamu

Na Genofeva Matemu – WHUSMWADAU mbalimbali ndani na nje ya nchi wametakiwa kujitokeza na kuwekeza katika vifaa vya kisasa vya kurekodia filamu ili sekta ya filamu nchini Tanzania iweze kuendelea zaidi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO yafanya Zoezi la Kusafisha na Kuunga Bomba la Gesi-KINYEREZI 1

Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO), linawataarifu Wateja wake kuwa leo Jumamosi Novemba 18 na kesho Jumapili Novemba 19, 2017 kuna usafishaji na kuunga bomba kubwa la Gesi katika Mitambo ya Kinyerezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAGONJWA 33 WAFANYIWA UPASUAJI MOYO WA BILA KUFUNGUA KIFUA (CATHETERIZATION)...

Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kwa kushirikiana na wenzao wa Taasisi ya Kimataifa ya Kiislamu ya  Misaada (IIRO) ya nchini Saudi  Arabia wamefanya...

View Article
Browsing all 110028 articles
Browse latest View live




Latest Images