Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110025 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YADHAMIRIA KUIMARISHA KAMPUNI YA TTCL

SERIKALI ya Tanzania chini ya Rais Dk. John Pombe Magufuli, imedhamiria kuiimarisha Kampuni ya Simu nchini (TTCL) iIi iweze kuingia kwenye ushindani wa kibiashara dhidi ya makampuni mengine ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

KESI YA JALADA LA VIGOGO WA SIMBA LAREJESHWA TAKUKURU.

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Novemba 17, imeambiwa jalada la kesi inayowakabili vigogo wa Klabu ya Simba Evans Aveva na Godfrey Nyange maarufu "Kaburu" limeisharudi kutoka kwa (DPP) na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YAAGIZA USHIRIKIANO KATI YA TSC, IDARA YA ELIMU NA WAKAGUZI WA SHULE...

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. George Joseph Kakunda anayeshughulikia Elimu, Maji, Kilimo, Mifugo na Maliasili, amefungua Mkutano wa kwanza wa kazi kwa Kaimu Makatibu Wasaidizi wa Tume ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JICA yasaini makubaliano na Serikali kusaidia sekta ya umeme nchini

Na Veronica Simba – DodomaShirika la Maendeleo la Japan (JICA) na Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Nishati, wametia saini makubaliano ya msaada kutoka Shirika hilo utakaowezesha Mpango wa Mafunzo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MWENYEKITI WA ALAT NA MEYA WA MANISPAA YA SHINYANGA ATOA MSAADA WA PAMPU YA...

Mwenyekiti wa Jumuiya ya serikali za mitaa nchini Tanzania (ALAT) na Mstahiki Meya wa Manispaa ya Shinyanga Gulam Hafeez Mukadam ametoa msaada wa pampu ya maji na mifuko 10 ya saruji vyenye thamani ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WABUNGE WAWAKILISHI WA JUKWAA LA KIBUNGE LA SADC WAKUTANA NA KUZUNGUMZA NA...

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Wabunge wawakilishi wa Jukwaa la kibunge la SADC (SADC Parliamentary Forum) wakiongozwa na Mjumbe wa kamati ya utendaji ya SADCPF,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAHAKAMA YA KISUTU YAZITAKA PANDE ZOTE MBILI (UTETEZI NA MASHTAKA)...

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imezitaka pande wa zote mbili, ule utetezi na wa mashtaka kufanya kazi kwa kishirikiana kwa ukaribu ili kufuatilia jalada la kesi inayomkabili rais wa Shirikisho la...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENKI YA KILIMO YAASWA KUWEZESHA MIRADI YA MAENDELEO SIMIYU

Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Bw. Anthony Mtaka  ameiomba Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kuuwezesha mkoa wa Simiyu katika kufanya mapinduzi ya Kilimo kupitia miradi ya kimkakati inayotekelezwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UONGOZI WA TIMU YA MAJIMAJI WAMPA TUZO MAALUM WAZIRI MAKAMBA

Mwenyekiti kamati ya Ufundi Bw. Stephen Mapunda kutoka timu ya Majimaji akimkabidhi tuzo maalumu Waziri Makamba kwa kutambua mchango wake katika kukuza timu yao na kuwasaidia kupata ufadhili. Wengine...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TaESA YAPITIA UTEKELEZAJI WA MAFUNZO KWA VITENDO KWA WANACHUO 100, SITA...

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.WAKALA wa Huduma za Ajira Tanzania (TaESA) imewataka wanachuo waliopata nafasi ya kufanya mafunzo kwa vitendo kutilia mkazo suala hilo utovu wa nidhamu unaweza...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HIFADHI YA WANYAMAPORI YAKABIDHIWA GARI KUDHIBITI UJANGILI

Na Woinde Shizza,Arusha.Hifadhi ya Wanyamapori ya Randlen Community Wildlife Management, iliyoko Arusha wilayani Monduli, imekabidhiwa gari aina ya Suzuki Jimmy kwa ajili ya kudhibiti vitendo vya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YENDELEA KUIMARISHA MKAKATI WA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO

 Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Mpoki Ulisubisya akipokea vifaa kwa ajili ya kutolea huduma za matibabu kwa watoto njiti kutoka kwa Balozi wa Ujerumani...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ECOBANK TANZANIA MANAGEMENT PAYS A COUTESY VISIT TO MEMBERS OF PARLIAMENT IN...

Ecobank Tanzania’s Managing Director, Ms. Mwanahiba Mzee (far right) and the bank’s Head of Commercial Banking, Mr. Respige Kimati (left) in a souvenir photo with the Prime Minister, Honorable Majaliwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAARIFA KWA UMMA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

HATI ZA KUMILIKI ARDHI KUTOLEWA NDANI YA SIKU 30 TANGU KUPOKELEWA KWA MAOMBI

Na. Frank Mvungi - MAELEZO, DodomaSerikali imeanza kutoa Hati za kumiliki ardhi ndani ya Kipindi cha Siku 30 tangu kupokelewa kwa maombi tofauti na awali ambapo mchakato wa kupata hati hizo ulichukua...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU KATIBU MKUU WIZARA YA MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZA LA...

 Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi Balozi Hassan Simba Yahaya, akizungumza na wajumbe wa baraza la wafanyakazi (hawapo pichani) katika mkutano wa kujadili taarifa za Utekelezaji katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS DKT MAGUFULI ATOA MSAADA KWA MSIKITI WA NOOR KIJIJINI MKANGE, MIONO,...

Msaidizi wa Rais Kanali Msafiri Mkeremy akimkabidhi Imamu wa Msikiti wa Noor kijijini Mkange, Miono, Wilaya ya Chalinze mkoa wa Pwani Sheikh Khamis Nassor wakati alipowasilisha msaada wa zulia la...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AAHIRISHA KIKAO CHA BUNGE LEO MJINI DODOMA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha kikao cha Tisa cha Bunge, bungeni Mini Dodoma Novemba 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipongezwa na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU YA MTOTO "NJITI" JIJINI DAR

Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa filamu fupi ya "Njiti", Waziri wa Madini, Angella Kairuki (katikati) akiwa na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (kulia) pamoja na Muanzilishi wa...

View Article

VIDEO: SERIKALI YAJA NA SHERIA YA KUSIMAMIA SUALA ZIMA LA UPANGAJI NA UKOMO...

View Article
Browsing all 110025 articles
Browse latest View live




Latest Images