Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110016 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF KITILA MKUMBO ATANGAZA KUJIUNGA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM)

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKUTANA NA MABALOZI WA TANZANIA KATIKA NCHI ZA MISRI NA ZAMBIA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekutana na kufanya mazungumzo na Mabalozi wa Tanzania nchini Misri, Balozi Meja Jenerali Issa Suleiman Nassoro na Balozi Abdulrahman Kaniki wa Zambia, ambapo amewataka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Michoro ya watoto kutoka Tanzania wazawadiwa Finland.

Michoro mitatu iliyochorwa  na watoto kutoka Tanzania hivi karibuni ilitunukiwa tuzo ya heshima ya vyeti vya stashahada ya maonesho na Taasisi ya Sanaa za watoto na vijana ya Hyvinkää, Finland.Bryton...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Kwa mara ya kwanza upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu...

16/11/2017 Jumla ya wagonjwa 20 wamefanyiwa upasuaji wa kuzibua mishipa ya moyo kupitia mshipa wa damu wa mkono (Catheterization) kwa kutumia mtambo wa Cathlab hii ikiwa ni mara ya kwanza kwa upasuaji...

View Article

CHUO KIKUU MZUMBE WAMUENZI BABA WA TAIFA HAYATI MWL. JULIUS KAMBARAGE NYERERE...

View Article


ZIMAMOTO MBEYA WAFAIDI MAFUNZO YA KUJAZA NA KUTUMIA MITUNGI YA HEWA SAFI...

View Article

SERIKALI YAELEZA VIGEZO VITAKAVYOTUMIKA KUCHAGUA MAENEO YATAKAYOTUMIKA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC GEITA - AUAGIZA UONGOZI WA HALMASHAURI YA MJI GEITA KUPELEKA WAKAGUZI WA...

Mkuu wa Mkoa wa Geita Mhandisi Robert Gabriel Luhumbi amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita Modest Apolinary kupeleka Wakaguzi wa ndani wa Hesabu za Serikali Kata ya Mgusu ili wakakague na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TUME YA KUREKEBISHA SHERIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE YA NYABANGE NA KITUO...

Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Bi. Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee katika Makazi ya wazee wasiojiweza ya Nyabange yaliyopo Butiama mkoani Mara wakati wa Tume ilipotembelea makazi hayo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA IJUMAA LEO NOVEMBA 17,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA 

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Huu ndiyo Mrejesho kuhusu Missafricausa 2017.

Hadi wanaingia ukumbini kura zilikuwa:-D.R.Congo: 8683Cape Verde: 3248Tanzania: 2268Baada ya wawakilishi wa nchi 15 za Africa kushindanishwa haya ndio matokeo :-CameroonNigeriaTanzaniaMwakilishi wa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANAODURUFU KAZI ZA SANAA KUFIKISHWA MAHAKAMANI.

 Kampuni ya Udalali ya Msama Auction Mart imethibitisha kuwa Watuhumiwa wote waliokwamatwa kushiriki kufanya biashara ya kazi feki za sanaa watafikishwa Mahakamani kujibu tuhuma...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZOEZI LA KUANDIKISHA WANANCHI KUPATA VITAMBULISHO VYA TAIFA LINAENDELEA...

Mkuu wa Kitengo cha Biashara Mamlaka ya vitambulisho vya Taifa,Thomas William, akizungumza na kipindi cha Hello Tanzania cha Uhuru FM,kuhusu zoezi la uandikishaji wananchi kwaajili ya vitambulisho vya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

JK AWATAKA WASANII WA BONGO MOVIE KUJIONGEZA NA KUACHA KULALAMIKIA SERIKALI

 Rais Mstaaafu wa Awamu ya Nne Dk Jakaya Mrisho Kikwete, akizungumza wakati wa uzinduzi wa Televisheni  inayoshughulika na masuala ya filamu za Kitanzania kwa Wasanii wa Bongo Movie JTV, ambayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAASISI YA DORIS MOLLEL YAZINDUA FILAMU YA MTOTO "NJITI" JIJINI DAR

Mgeni Rasmi katika hafla ya uzinduzi wa filamu fupi ya "Njiti", Waziri wa Madini, Angella Kairuki (katikati) akiwa na Balozi wa Kuwait nchini Tanzania, Jaseem Al Najem (kulia) pamoja na Muanzilishi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC HANDENI AZINDUA RASMI ZOEZI LA USAJILI, UTAMBUZI NA UFUATILIAJI WA MIFUGO...

 Mkuu wa Wilaya ya Handeni akipiga chapa Ngo'mbe Kama ishara ya uzinduzi wa zoezi hilo Baadhi ya wafugaji walioleta mifugo yao kwaajili ya upigaji chapa ya moto Mifugo ikiwa imefungiwa tayari kwa zoezi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUHIMBILI YAADHIMISHA SIKU YA MTOTO NJITI DUNIANI

Serikali imesema imeweka mikakati endeleveu  ya kupunguza vifo vya watoto njiti kwa kushirikiana na wadau wa sekta ya afya nchini.Kauli hiyo imetolewa leo na Mkurugenzi wa Huduma za Kinga katika Wizara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA KATIBA AKUTANA NA WADAU WA KIMATAIFA KATIKA MASUALA YA...

 Mkurugenzi Msaidizi Idara ya Huduma za Kisheria kwa Umma Bw. Griffin Mwakapeje (aliyesimama) akifafanua jambo katika kikao kati ya Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali Yawakaribisha wawekezaji kutoka China kuja kuwekeza kwenye miradi...

Waziri wa Madini, Angellah Kairuki ametoa wito huo Novemba 16, 2017 Jijini Dar es Salaam alipokutana na Balozi wa China nchini Tanzania, Mhe. Wang Ke na ujumbe alioambatana nao Wizarani hapo kutoka...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

USAID funded projects in Iringa voiced how keen their, in transforming people...

The United State Agency for International Development (USAID) funded projects in iringa has demostrated how their bringing impacts to the lives of the people in Iringa. This expression was made by...

View Article
Browsing all 110016 articles
Browse latest View live




Latest Images