Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110091 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMISHENI YA KUKABILIANA NA MAAFA ZANZIBAR YAVUTIWA NA URATIBU WA AFYA MOJA...

Kamisheni ya Kukabiliana na maafa Zanzibar imevutiwa na shughuli za kuratibu maafa nchini zinazofanywa na serikali ya awam ya Tano kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu,Idara ya Kuratibu maafa ikiwa ni pamoja...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

HOSPITALI YA MKOA KASKAZINI KIVUNGE YASHEREHEKEA WIKI YA WATOTO NJITI ZANZIBAR

 Bi Rahma Asheri Mama aliejifungua Watoto Njiti  mapacha Nassir na Yassir akionesha tabasamu katika Sherehe za Wiki ya Watoto njiti Duniani iliofanyika katika Hospitali ya Mkoa wa Kaskazini Kivunge...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAMTUMBO KUANZISHA TAMASHA LA MUZIKI KUCHANGIA UJENZI WA KITUO CHA REDIO YA...

Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo Mkoani Ruvuma katika harakati yake ya kuhakikisha wanajenga kituo cha Redio ya jamii katika Halmashauri hiyo imepanga kuanzisha Tamasha la muziki kwa lengo la kupata...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KLABU YA ROTARY YA OYSTER BAY DAR KUTOA MATIBABU YA BURE KWA WAKAZI WA KEREGE...

Klabu ya Rotary ya Oysterbay Dar es Salaam inatarajia kutoa huduma ya matibabu ya bure kwa wakazi wa Kerege wilayani Bagamoyo mkoani Pwani siku ya jumapili ya tarehe 19.2017.Kambi hiyo ya siku moja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

INTERNET GAME CHANGERS, TRUE REVOLUTION IN TANZANIA

Sometimes it can be painstaking when searching for the right Internet Service Provider (ISP) and your choice can make an enormous difference in your online experience – choose the right one and you are...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATU 10 WAFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU KUJIBU MASHTAKA 13 LIKIWEMO LA...

Na Karama Kenyuko-Globu ya Jamii.Watu 10 (pichani). wanaosadikiwa kuwa wachezaji wa Judo nchini, wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka 13, likiwamo la kusafirisha binadamu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TADB YAOMBWA ‘KUSAPOTI’ WADAU WA UFUGAJI WA SAMAKI

Na mwandishi wetu, Mwanza.Wadau wa tasnia ya ufugaji wa samaki kwa kutumia vizimba (fish caging) mkoani Mwanza wameiomba Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) kuwasaidia katika kuendeleza tasnia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZANZIBAR KUADHIMISHA SIKU YA MTOTO NJITI NOVEMBA 17 /2017

Na Ramadhani Ali – Maelezo Jamii ya wazanzibari  imeshauriwa kufikiria mikakati na huduma bora zitakazosaidia kupunguza idadi ya kuzaliwa na kufariki watoto njiti ili ambao wanakuwa mzigo kwao na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC LUHUMBI ASISITIZA WANANCHI KUTUMIA RASILIMALI WALIZONAZO KUCHOCHEA MAENDELEO

NA JOEL MADUKA, GEITAMkuu wa mkoa wa Geita Mhandisi Robert Luhumbi amewataka wakazi wa kijiji cha Kazibizyo na Bulama kutumia rasilimali walizonazo ili kuchochea maendeleo ya vijiji vyao.Mhandisi...

View Article


HATUJAVIFUNGA MDOMO VYAMA VYA SIASA KAMPENI ZA UCHAGUZI MDOGO WA MADIWANI

View Article

HALMASHAURI YA MANISPAA YA KINONDONI YAPONGEZWA KUWA KINARA MATOKEO YA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AKUTANA AKUANA NA BALOZI WA CHINA HAPA NCHINI TANZANIA

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekutana na Balozi wa China Nchini Tanzani Bibi Wang Ke nakufanya naye mazungumzo ya kikazi ofisini kwake Mjini Dodoma leo  Novemba 15, 2017. .Waziri Mkuu Kassim Majaliwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI 2016/17

Serikali inatarajia kuzindua Ripoti ya Utafiti wa Kitaifa wa Matokeo ya UKIMWI wa mwaka 2016/2017 katika Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani Desemba Mosi mwaka huu Jijini Dar es Salaam.Hayo yamesemwa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA NDUGAI APOKEA TAARIFA YA MKUTANO WA BUNGE LA AFRIKA ULIOFANYIKA KUANZIA...

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akimsikiliza Mjumbe wa Bunge la Afrika anaewakilisha Bunge la Tanzania, Mheshimiwa Stephen Masele (katikati) katika kikao kilichofanyika leo ofisini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA KUPAMBANA NA WAFANYABIASHARA ZA MAGENDO

Na Editha karlo wa blog ya jamii,KageraMAMLAKA ya mapato(TRA)itaendelea kudhibiti na kupambana na wafanyabiashara wasio waaminifu wanaofanya biashara za magendo katika vituo mbalimbali na maeneo ya...

View Article


WAKILI MANYAMA AMMWAGIA SIFA RAIS MAGUFULI

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JIUNGE NA ANKO KITIME APP

KARIBU USHUSHE ANKO KITIME APP KUTOKA GOOGLE PLAYSTORE, ILI UPATE STORI VICHEKESHO NA HABARI MBALIMBALI ZA JAMII KUTOKA KWA ANKO KITIME. INGIA KWA KUBOFYA HAPA CHINIANKO KITIME

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SERIKALI YALIPA FIDIA YA BIMA YA AMANA KWA WATEJA WA BENKI YA FBME SH....

SERIKALI imetumia kiasi cha Sh. Mil 728 kuwalipa amana zao wateja zaidi ya 695 wa Benki ya FBME ambayo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeifutia leseni ya kufanya shughuli za kibenki hapa nchini.Hayo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Benki ya CRDB na Bodi ya Mikopo waanza awamu ya kwanza ya utekelezaji wa...

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu nchini, Abdul-Razaq Badru (wa pili kushoto) wakipata maelezo juu ya Mfumo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAHARIRI NA WAANDISHI WA MAGAZETI MATATU WAHOJIWA MBELE YA KAMATI YA BUNGE YA...

Kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, imewahoji wahariri pamoja Waandishi wa Habari wa Magazeti ya Mtanzania, Mwananchi na Nipashe kwa kosa la kutoa taarifa zinazohusu ushahidi na mwenendo wa...

View Article
Browsing all 110091 articles
Browse latest View live




Latest Images