Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI WA BOLISA KUPATA SHULE MPYA YA SEKONDARI

Wananchi wa kata ya Bolisa wanatarajia kujengewa shule mpya ya sekondari ya kata ili kuondokana na  tatizo la umbali kwa wanafunzi  wa kata hiyo, amebainisha na Mkurugenzi wa Mji Kondoa Bw. Khalifa...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

Courtesy visit by Bank of Africa in Zanzibar

The Minister of Trade, Industry and Marketing of the Revolutionary Government of  Zanzibar, Hon. Amb. Amina Salum Ali with the Managing Director and CEO of Bank Of Africa Tanzania Mr. Ammishaddai...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Alpha Abdul ashinda kinyang'anyiro cha Tigo Fiesta Supa Nyota 2017 Mtwara

Mshindi wa Tigo Fiesta Supa Nyota toka mkoa Mtwara, Alpha Abdul akionesha umahiri wake wa kufokafoka kwenye kinyang'anyiro cha kumsaka mshindi wa shindano hilo la kusaka vipaji kama sehemu ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WABUNGE WANAOTOKA MIKOA INAYOLIMA PAMBA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameitaka Wizara ya Kilimo ifanye utafiti wa kina ili kupata aina bora ya mbegu za pamba zitakazowanufaisha wakulima. Amesema ni lazima utafiti huo ufanyike kwa kuzingatia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MUME WA IRENE UWOYA AFARIKI DUNIA

Taarifa iliyoifikia Globu ya Jamii kutoka nchini Rwanda, inaeleza kuwa mume wa zamani wa Muigizaji wa filamu nchini, Irene Uwoya, Ndikumana Hamad Katauti amefariki dunia ghafla usiku wa kuamkia leo,...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MASHINDANO YA KUMUENZI MTAKATIFU GASPARI ITIGI

MASHINDANO ya michezo ya maadhimisho ya siku kuu ya kumbukumbu ya kumuenzi Mtakatifu Gaspari Del Buffalo yaliyokuwa yakifanyika katika viwanja vya michezo vya kanisa, hatimaye yamefikia tamati,ambapo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUFUATIA KESI YA MTANDANO,MAHAKAMA YA KISUTU YAMUHUKUMU BOB CHACHA WANGWE...

Na Karama Kenyunko, blogu ya jamii.Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imemuhukumu mtoto wa marehemu Chacha Wangwe, Bob Chacha Wangwe kwenda jela mwaka mmoja na nusu au kulipa faini ya shilingi milioni...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

REDESO YATOA MAFUNZO K WA WAZAILISHAJI NA WASINDIKAJI WA ZAO LA MKONGE MKOANI...

Na Robert Hokororo, Kishapu DC.Shirika la Msaada na Mandeleo ya Jamii (REDESO) katika Halmashauri ya wilaya ya Kishapu limewapa mafunzo wazalishaji na wasindikaji wa zao la mkonge kutoka Kishapu na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATANO LEO NOVEMBA 15,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yatoa zawadi kwa wafanyakazi bora wa...

 Daktari Bingwa wa Magojwa ya Moyo kwa watoto kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Naiz Majani akimkabidhi zawadi ya mfanyakazi bora wa mwezi wa tisa  Adilla  Musa ambaye ni mtunza kumbukumbu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

JUMUIYA YA WATANZANIA NCHINI CANADA WAFANYA IBADA MAALUM YA KUIMBEA TANZANIA...

 Askofu Mkuu wa Kanisa la Christ Chapel la nchini Canada, Jacob Afolabi akiongoza ibada maalum ya kiswahili ya kuombea Amani kwa Tanzania pamoja na Rais Dkt. John Pombe Magufuli, Uchumi na Uwekezaji...

View Article

Rais Dkt Magufuli awasili jijini Dar akitokea kijijini kwake Chato,mkoani Geita

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amewasili jijni Dar es salaam muda huu akitokea kijjini kwake Chato, mkoa wa Geita, na kupokelewa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Maafisa AAKIA wafurahishwa ulinzi JNIA

MAAFISA kutoka Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Abeid Amani Karume cha Zanzibar (AAKIA), wamefurahishwa na namna ulinzi na usalama wa abiria na mali zao unavyofanywa kwenye Kiwanja cha Ndege cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAVUNDE AFUNGUA KONGAMANO LA VIONGOZI VIJANA BARANI AFRIKA, JIJINI DAR ES SALAAM

 Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera , Bunge , Kazi, Vijana , ajira na Walemavu, Anthony Mavunde  akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa Viongozi Vijana Barani Afrika uliofanyika jijini Dar...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SHIRIKA LA PELUM TANZANIA NA HALMASHAURI YA MUFINDI KUTOA HATI MILIKI ZA...

SHIRIKA la PELUM Tanzania kwa kushirikiana na Halmashauri ya Wilaya ya Mufindi Mkoani Iringa kupitia linatarajia kutoa hati miliki za kimila 795 kwa wananchi wa Vijiji vya  Ugesa, Isaula, Magunguli na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Serikali yalifungia shirika lisilo la kiserikali la TSSF

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Dkt Magufuli aagiza jengo la Makao makuu ya tanesco na Wizara ya Maji...

 Rais Dkt John Pombe Magufuli akizungumza jambo na Makamu wa Rais Mama Samia Suluhu Hassan walipokuwa wakitembelea na kukagua ujenzi wa barabara ya Flyover ya TAZARA mapema leo,kulia ni Mkuu wa mkoa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UPDATES KESI YA MTANDANO MAHAKAMA YA KISUTU;BOB WANGWE ALIPA FAINI YA MILIONI...

Mtoto wa marehemu Chacha Wangwe, Bob Wangwe, Wa kwanza kulia  na Wakili wake Benedict Ishabakaki, mwenye suti ya bluu, wakitoka katika viunga vya mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu baada ya kufanikiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ZAINA FOUNDATION HELP WOMEN TO ICREASE KNOWLEDGE IN CYBER SECURITY

Recently Zaina Foundation hosted two days training about Digital Security for Women’s in Arusha Tanzania with great support from Internews,Defend Defenders from Kampala Uganda and trainers Mr. Paschal...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TMF YAIPATIA REDIO HABARI NJEMA YA MBULU, FEDHA ZA RUZUKU YA SHILINGI MILIONI...

Tanzania Media Foundation (TMF) imeipatia ruzuku ya shilingi milioni 112 Radio Habari Njema ya Mbulu Mkoani Manyara, kwa lengo la kuwajengea uwezo zaidi ili waibue kero, changamoto, mafanikio na...

View Article
Browsing all 110170 articles
Browse latest View live




Latest Images