Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI LEO BUNGENI MJINI DODOMA NOVEMBA 14, 2017

 Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mhe. Dk. Tulia Ackson akitoa majibu ya miongozo  mbalimbali  ya wabunge  wakati  wa Mkutano wa tisa wa kikao cha sita  cha  Bunge hilo leo...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

TRA YAONGEZA UFANISI WA UKUSANYAJI KODI YA MAJENGO

Serikali imesema mapato yatokanayo na kodi ya majengo yanayokusanywa na Serikali yameongezeka baada ya jukumu hilo kukabidhiwa kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), ikilinganishwa na ilivyokuwa chini...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA BIASHARA AFRIKA MASHARIKI

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa Ufunguzi wa Mkutano wa Baraza la Biashara la Jumuiya ya Afrika Mashariki uliofanyika kwenye hoteli ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MDAU MUGANYIZI BISHEKO ACHUKUA JIKO

 Mdau Muganyizi Bisheko na mkewe Bi. Brenda Ngowo pamoja na wapambe wao, wakiwa na furaha baada ya kufunga ndoa katika Kanisa la Bungo KKKT, Morogoro tarehe Novemba 4, 2017 Mdau Muganyizi Bisheko na...

View Article

MICHUZI TV: WAFANYAKAZI WA BENKI YA CRDB WACHANGIA MILIONI 15 UJENZI WA OFISI...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAKUKURU yatangaza zawadi nono kwa atakayefanikisha kukamatwa kwa mhasibu wake

 Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi hiyo, Bregedia John Mbung’o akizungumza na waandishi wa habari kuhusu atakayewezesha kupatikana  kwa aliyekuwa mhasibu wa taasisi hiyo, Godffrey Gugai anayedaiwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM YATANGAZA KUFANYA VIZURI NUSU YA KWANZA YA MWAKA

Vodacom Tanzania PLC (“Vodacom”) leo imetangaza matokeo ya uendeshaji ya  hesabu zake kwa nusu ya mwaka ulioishia Septemba 30, 2017. Kampuni hiyo imetangaza kuimarika kwa matokeo ya biashara...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

AZAM FC KUSHUSHA VIFAA VIWILI, KUSAJILI KUZIBA PENGO LA YAHYA MOHAMED

Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.UONGOZI wa klabu ya Azam umepanga kufanya usajili wa mchezaji mmoja wa kigeni kutoka katika nchi za  Ghana na Zambia ambapo wanatarajia kushusha wawili ili kupata...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

TAIFA STARS YAREJEA DAR, KUSUBIRI MAANDALIZI YA CHALLENJI

Timu ya mpira wa miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imereja alfajiri ya leo salama kutoka nchini Benin walipokuwa wameenda kwenye mchezo wa kirafiki dhidi ya Benin.Stars iliyokuwa ugenini iliweza kutoka...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA JOB NDUGAI AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI WA NORWAY NCHINI TANZANIA...

Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Mheshimiwa Hanne – Marie Kaarstad (katikati) pamoja na Msaidizi wake katika kikao kilichofanyika leo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATANZANIA WATAKIWA KUPATA VIPIMO VYA KITAALAM KABLA YA KUTUMIA DAWA.

NA WAMJW-DAR ES SALAAM.WATANZANIA wanatakiwa kwenda vituo vya kutolea huduma za afya kupata vipimo kutoka kwa wataalam kabla ya kutumia dawa kwa mazoea ili kuepuka usugu wa vimelea vya wagonjwa kwenye...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SWEDEN YAIPATIA TANZANIA MSAADA WA KIBAJETI SHILINGI BILIONI 436

Dares Salaam, Novemba 14, 2017: Sweden imeipatia Tanzania Msaada wa jumla ya Fedha ya Sweden SEK. Bilioni 1.64 ambayo ni sawa na takribani Sh. bilioni 435.79 kwa ajili ya Msaada wa kibajeti na kusaidia...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANESCO YATOA MILIONI 10 KUSAIDIA MATIBABU YA MOYO KWA WATOTO WALIOLAZWA...

 Meneja Mwandamizi  wa Shirika la umeme nchini, TANESCO, Kanda ya Dar es Salaam na Pwani, Mhandisi Mahende Mgaya, (wapili kushoto), na wafanyakazi wenzake, kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa shirika...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

PROF KAMBI AFUNGUA KONGAMANO LA NNE LA WADAU WA SEKTA YA AFYA NCHINI

--  Mganga Mkuu wa Serikali wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Prof  Mohamed Kambi  akizungumza wakati wa ufunguzi wa Kongamano la  nne la Wadau wa Sekta ya Afya nchini lililofanyika katika ukumbi wa...

View Article

KIPINDI CHA BBC DIRA YA DUNIA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KAMPUNI YA BIMAA YA UAP YATOA FIDIA KWA WAATHIRIWA NA JANGA LA MOTO SOKO LA...

Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Amos Makala (kushoto) akimkabidhi mteja wa bima ya Kampuni ya UAP Ndugu Godi Sanga kama fidia kutokana kukumbwa na janga la moto la kuungua kwa Soko la Sido Agosti 15 ,2017 Mteja...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji akutana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa

aziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage amekutana na Mkuu wa Mkoa wa Iringa alieambatana na wawekezaji wa Kichina walioonesha nia ya kuwekeza katika mkoa wa Iringa.katika Ziara...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bunge lapitisha Muswaada wa Sheria ya Shirika la Mawasiliano ya Simu Tanzania...

Frank Mvungi- Maelezo, DodomaBunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha muswaada wa Sheria ya Shirika la Mawasiliano ya Simu Tanzania ya Mwaka 2017 (The Tanzania Telecomunications Corporation...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

sababu zilizomfanya lau masha aamue kuvua gwanda

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC GEITA ATOA ONYO KALI KWA VIONGOZI WA VIJIJI, KATA NA TARAFA WANAOTUMIA...

Viongozi wa vijiji, kata na tarafa Wilayani Bukombe wametakiwa kutumia michango inayotolewa na wananchi kwa shughuli zilizokusudiwa ili kuwaletea wananchi maendeleo katika maeneo yao.Akizungumza katika...

View Article
Browsing all 110130 articles
Browse latest View live




Latest Images