DK. KIGWANGALLA AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WAWILI (UJERUMANI NA CHINA)...
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk. Hamisi Kigwangalla (kulia) akisalimiana na Balozi wa Ujerumani nchini, Dk. Detlef Wächter ofisini kwake mjini Dodoma leo ambapo wamejadili mambo mbalimbali ya...
View ArticleWafanyakazi HESLB waaswa kuwa wabunifu
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. James Mdoe amewataka wafanyakazi wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) kuongeza ubunifu ili kuondokana na changamoto...
View ArticleTUME YA UCHAGUZI YAKUTANA NA VYAMA VYA SIASA KUELEKEA UCHAGUZI MDOGO
Hussein Makame-NEC.Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji Semistolces Kaijage amevitaka vyama vya siasa kufanya kampeni kwa kuzingatia maadili ya Uchaguzi.Jaji Kaijage ameyasema hayo wakati...
View ArticleJUKWAA LA AFYA LA DICOTA LAFANA, GREENBELT, MARYLAND
Meza kuu kutoka kushoto ni Balozi Liberata Mulamula, Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Canada Mhe. Wilson Masilingi, Naibu Waziri wa afya Zanzibar, Mhe. Harusi Said Suleiman,Mkuu wa kitengo cha...
View ArticleSERIKALI YAREJESHA UMILIKI HALALI WA KIWANJA KILICHOUZWA KWA HATI ZA KUGHUSHI
Frank Mvungi- Maelezo, DodomaSerikali imerejesha hati ya Kiwanja Namba 9331 kilichopo kitalu namba 91 Msalato Dodoma kwa mmiliki wake halisi Bw. Sagaf Omari na Bi Madina Hassan ambao ni wamiliki...
View ArticleMKUCHIKA APONGEZA MCHANGO WA TASAF KATIKA KUPAMBANA NA UMASIKINI NCHINI.
NA ESTOM SANGA- DODOMAWaziri wa nchi ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mheshimiwa George Huruma Mkuchika amesema serikali itaendelea kuunga mkono mchango wa Mfuko wa...
View ArticleWACHIMBAJI WADOGO NYARUGUSU WAJITOLEA KUJENGA MADARASA
NA CONSOLATA EVARIST,GEITA.Wachimbaji wadogo kwenye Kata ya Nyarugusu na Serikali ya kijjiji na kata hiyo wameshirikiana kuchangia ujenzi wa madarasa manne na ofisi 2 za walimu kwenye Shule ya Msingi...
View ArticleDua ya mama Hidayat bint msemo kufanyika Muslim Resource Centre Red lane,...
Kufuatia kifo cha mama yetu mpenzi Hidaya bint Msemo ambae ni mama yake mzazi sheikh Ahmad Muhammad Suleiman (Mashaka) na ni mama yake mkuu Sheikh Ally bin Asili, tunawaomba ndugu zetu tujumuike pamoja...
View ArticleWAZIRI KALEMANI AKUTANA NA WAWEKEZAJI UMEME WA SUMAKU
Na Veronica Simba – DodomaWaziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani, amekutana na wawekezaji wenye nia ya kuzalisha umeme nchini kwa kutumia teknolojia mpya ya sumaku. Alikutana na wawekezaji hao Novemba...
View ArticleNAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NJE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI WA CHINA NCHINI
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Susan Kolimba na Balozi wa China nchini Mhe. WANG Ke wakifuarahia jambo walipokutana kwa mazungumzo Wizarani Mjini Dodoma.Naibu...
View Article2018 SADC SECONDARY SCHOOL ESSAY COMPETITION
N:B All applicants are requested to send their applications to the following address: Permanent Secretary Ministry of Education, Science and Technology Block 10,...
View ArticleBodi ya DAWASCO yaridhishwa na uwekezaji sekta ya Maji
Afisa Mtendaji Mkuu wa Dawasco , Mhadisi Cyprian Luhemeja akifafanua jambo wakati wa ziara ya kikazi ya bodi mpya ya Dawasco katika mitambo mikubwa ya uzalishaji na usamabazaji Maji ya Ruvu Chini na...
View ArticleVIT University strengthens ties with SUZA
The VIT University of Vellore, India and the State University of Zanzibar (SUZA) have taken a major step in furthering their ties through the collective signing of two addenda to the Agreements of...
View ArticleTUME YA KUREKEBISHA SHERIA TANZANIA YATEMBELEA MAKAZI YA WAZEE WASIOJIWEZA NA...
Katibu Msaidizi Tume ya Kurekebisha Sheria Agnes Mgeyekwa akiongea na Wazee pamoja na wafanyakazi wa makazi ya wazee wasiojiweza ya Kolandoto yaliyopo katika manispaa ya Shinyanga wakati Tume...
View ArticleSERIKALI YAAHIDI KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MCHEZO WA GOLF NCHINI
Na Lorietha Laurence- WHUSM, Arusha.Serikali imeahidi kushirikiana kwa ukaribu na wadau wa mchezo wa Golf nchini katika kuhakikisha mchezo huo unafundishwa kuanzia ngazi ya chini ili kuandaa wachezaji...
View ArticleWAKULIMA WA KANDA YA ZIWA KUFIKIWA KUPITIA KONGANE
Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imedhamiria na kujizatiti kuhakikisha inachangia kwa kiasi kikubwa katika kuleta Mapinduzi yenye tija katika Sekta ya Kilimo kwa wakulima wa kanda ya ziwa...
View Article
More Pages to Explore .....