Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 109602 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ES SALAAM ISAYA MWITA LEO ALIPOKUWA KWENYE...

 Mstahiki Meya wa jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita akijadiliana jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Profesa Kitila Mkumbo,walipokutana leo katika tamasha la maadhimisho ya miaka 500 ya kanisa la...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAGAZETI YA JUMATATU LEO NOVEMBA 6,2017

Kupata magazeti zaidi BOFYA HAPA

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ASKOFU MALASUSA AONGOZA MAELFU YA WAKAZI WA DAR ES SALAAM KATIKA IBADA YA...

 Askofu Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani, Alex Malasusa  akiongoza  Maelfu ya Waumini wa KKKT wa Dayosisi hiyo katika Ibada ya Miaka 500 ya Matengenezo ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA VIJANA WALIOSOMA NCHINI CHINA (CAAT) WAANZA KUTANGAZA UTALII WA...

Balozi wa China nchini Tanzania, Wang Ke akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza utalii wa ndani kwa njia ya treni ya TAZARA hasa wa mikoa ya kusini mwa Tanzania ambao umekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MKUTANO MKUU WA MWAKA 2017 WA VITUO VYA TAARIFA NA MAARIFA WILAYA YA KISHAPU...

Wanaharakati wa masuala ya kijinsia kutoka katika vituo vya taarifa na maarifa wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga vinavyosimamiwa na TGNP Mtandao wamefanya Mkutano Mkuu mwaka 2017 wa vituo vya taarifa...

View Article


RC.MNDEME AMEWATAKA WAKUU WA IDARA KUWA NA NIDHAMU KATIKA MATUMIZI YA FEDHA

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA, CHRISTINE MNDEME amewataka watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya SONGEA kujituma kufanyakazi kwa kutatua kero za wananchi badala ya kukaa ofisini.

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

LAPF YACHANGIA SHILINGI MILIONI TANO UJENZI WA OFISI ZA WALIMU MKOA WA DAR ES...

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mh. Paul Makonda akipokea Msaada wa Fedha Taslimu Shilingi Milioni tano 5.000.000/= kutoka kwa Bw. James Mlowe Meneja Mawasiliano na Masoko Mfuko wa Pensheni wa LAPF kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

UVCCM: UTENDAJI MIAKA MIWILI YA SERIKALI YA JPM KIELELEZO CHA UZALENDO

Kaimu katibu mkuu Shaka Hamdu Shaka akizumgumza kwenye kongamano lilioandaliwa na uvccm kuhusu tathmini ya uchambuzi wa utendaji wa miaka miwili wa serikali ya Rais dk John Magufuli kwenye ukumbi wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC SHINYANGA ASHIRIKI CHAKULA CHA PAMOJA NA WATOTO WENYE UALBINO...

Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Josephine Matiro ameshiriki katika hafla fupi kula chakula cha pamoja na watoto wenye ualbino wanaolelewa kwenye kituo cha Buhangija mjini Shinyanga kilichoandaliwa na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMOJA WA VIJANA WALIOSOMA NCHINI CHINA (CAAT) WAANZA KUTANGAZA UTALII WA...

Balozi wa China nchini Tanzania, Wang Ke akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza utalii wa ndani kwa njia ya treni ya TAZARA hasa wa mikoa ya kusini mwa Tanzania ambao umekuwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DStv kuwazawadia wateja Channel za SuperSport Bure!

Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya kampuni ya Multichoice Tanzania (DStv) kuanza ofa yake kabambe ya msimu wa sikukuu, imesema inaanza kuwatunuku wateja wake kwa kuwapa chaneli za SuperSport bure kwa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Wateja wa Tigo mjini Morogoro waliojishindia Tiketi za kushuhudia Tamasha la...

Wasanii wa Muziki wa kizazi kipya, Roma Mkatoliki (kulia) na Zaiid wakimkabidhi mteja wa Tigo, Francis Wamonje (katikati) zawadi ya tiketi ya kwenda kishuhudia Tamasha la Tigo Fiesta lililofanyika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tarehe mpya ya uchaguzi wa urais yatangazwa DR Congo

Tume ya uchaguzi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imetangaza kwamba uchaguzi mkuu nchini humo sasa utafanyika Desemba 2018.Hatua hiyo hata hivyo haijaufurahisha upinzani ambao unataka Rais...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

VIGUTA YAWAPIGA TAFU VIJANA PIKIPIKI 15 KIBAHA

Meneja wa Vicoba group union Tanzania (VIGUTA)Mkoani Pwani ambae pia operesheni Meneja Taifa ,Iddi Kanyallu akimkabidhi mwenyekiti wa CHAMAWAPIKI -Mailmoja Kibaha,Ayubu Kijazi pikipiki 15 kwa baadhi ya...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

ALIYEIPAISHA TUSIIME KITAIFA ATAKA KUWA DAKTARI WA MOYO

MWANAFUNZI Ibrahim Shaban wa shule ya Tusiime aliyeibuka mshindi wa kwanza kitaifa kwenye matokeo ya mtihani wa taifa kumaliza elimu ya msingi amesema ndoto yake ni kuwa daktari bingwa wa upasuaji wa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Ankal akiwa na Wadau wa Habari mjini Bukoba mkoani Kagera

Ankal akiwa na Wadau mbalimbali wa habari mjini Bukoba mkoani Kagera,wakati Rais Dkt John Pombe Magufuli akiwa katika ziara ya siku nne mkoani humo,ambapo leo Rais  atazindua Uwanja wa Ndege wa Kagera

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AWASALIMIA WANANCHI WA MULEBA NA KEMONDO WAKATI...

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Muleba wakati akiwa njiani kuelekea Bukoba mjini.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AWAPOKEA WANACHAMA 37 WA UPINZANI

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amepokea wanachama wapya 37 kutoka vyama vya CUF na CHADEMA ambao wameamua kurejea Chama cha Mapinduzi (CCM).Kwa mujibu wa Katibu wa CCM wa wilaya hiyo, Bw. Barnabas Essau...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WATAKAOKWAMISHA MALIPO YA KOROSHO KUKIONA-MAJALIWA TAARIFA KWA VYOMBO VYA...

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali itawashughulikia watu wote watakaokwamisha malipo ya wakulima wa zao la korosho.“Hatutamuacha mtu yeyote atakayesababisha wakulima kuchelewa kulipwa fedha...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

‘RUANGWA INAHITAJI SEKONDARI YA WASICHANA’-WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema wilaya ya Ruangwa inahitaji kuwa na shule ya sekondari ya wasichana ambayo ni ya bweni ili kupunguza tatizo la wasichana kukosa elimu.Ametoa wito huo jana (Jumapili,...

View Article
Browsing all 109602 articles
Browse latest View live