Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 110017 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WANANCHI SIMIYU WAENDELEA NA USAJILI WA VITAMBULISHO VYA TAIFA

 Mkoa wa Simiyu ni miongoni mwa mikao 12 ya Tanzania inayoendelea na zeozi la kuwasajili wananchi kwa lengo la kuwapatia Vitambulisho vya Taifa.Kwa sasa zoezi hilo limeingia kwenye awamu ya pili ya...

View Article



Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAWAOMBA WATANZANIA MNIPIGIE KURA NIWEZE KUSHINDA TUZO YA MISS AFRICA...

HabariNaitwa Lylian Muttakyawa, ni MtanzaniaNimeleta ujumbe huu kuwaomba Watanzania wote kunipigia kura niweze kushinda tuzo ya Miss Africa USA kwa ajili ya nchi yetu ya TanzaniaKupiga kura ni rahisi,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC KIBONDO AWAAGIZA MADIWANI KUHAMASISHA WANANCHI KUIBUA VITUO VYA AFYA...

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.WILAYA ya Kibondo inakabiliwa na upungufu wa vituo vya Afya, ambapo katika Wilaya nzima kuna vituo vya afya viwili hali inayopelekea Wananchi wa Wilaya ya Kibondo kukosa vituo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC WA HANDENI MH GODWIN GONDWE APOKEA MSAADA WA VIFAA VYA UJENZI WA ZAHANATI...

Mkuu wa Wilaya ya Handeni Mh. Godwin Gondwe amepokea msaada wa vifaa vya ujenzi wa zahanati wenye thamani ya Shilingi Milioni 14.7 za Kitanzania kutoka Darworth Ltd, Mwekezaji wa kiwanda cha usindikaji...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

wataalam wa Michezo nchini watakiwa kuleta matokeo Chanya katika sekta hiyo

Na Lorietha Laurence-WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka wakufunzi 128 ambao ni wataalam wa michezo kuzingatia kwa makini yote waliojifunza na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Masauni aitunishia misuli CDA uvamizi wa viwanja Magereza Dodoma, apiga...

NAIBU Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni amempa maelekezo Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuunda Kamati ya kuchunguza uvamizi wa viwanja vya Gereza Isanga uliofanywa na Mamlaka ya...

View Article

Miaka Miwili ya Rais Magufuli, Mageuzi Makubwa Yafanyika

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAAMUZI YA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI YA RUFAA 15 ZA WAGOMBEA WA UDIWANI

Kwa kuzingatia Kifungu cha 44(5) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Sura ya 292 ikisomwa pamoja na Kanuni ya 28(1)(2) ya Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa (Uchaguzi wa Madiwani) za...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI WA NISHATI, SUBIRA MGALU ATEMBELEA MIRADI YA UMEME CHAMAZI-DOVYA...

Naibu waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu, (kulia), akizungumza jambo mbelke ya viongozi wa Tanesco mkoa wa Temeke na wa serikali ya Mtaa, alipotembelea miradi ya umeme huko Cghamazi, Dovya, Mbagala...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Waziri Mwakyembe awataka wataalam wa Michezo kuleta matokeo Chanya katika...

Na Lorietha Laurence-WHUSMWaziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Dkt. Harrison Mwakyembe amewataka wakufunzi 128 ambao ni wataalam wa michezo kuzingatia kwa makini yote waliojifunza na...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZAZI MBURAHATI SACCOS YAIVA, KUPATA HATI YA USAJILI HIVI KARIBUNI

 Mwenyekiti wa muda wa Wazazi Mburahati Saccos, John Mapunda akifungua mkutano wa wanachama wa Saccos hiyo, uliofanyika kwenye ukumi wa Jengo la Kitegauchumi la CCM, Mburahati, Dar es Salaam,...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

VODACOM TANZANIA PLC YAFANIKISHA NDOTO ZA WANAWAKE KUPITIA M-PESA

 Mfanyakazi wa Vodacom Tanzania PLC, Hawa Hamis (kushoto)akimwelewesha jambo Mwanakomba Shabani,Kuhusiana na huduma ya M-Pesa wakati wa mkutano wa akina mama uliojulikana kama"Atukuzamu  Women of...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

DC URAMBO: WAKULIMA 4,268 WAJIANDIKISHA KULIMA PAMBA MSIMU UJAO.

NA TIGANYA VINCENT-RS –TABORAJUMLA ya wakulima 4,268 wilayani Urambo wamejiandikisha kulima zao la Pamba katika msimu wa kilimo unatarajia kuanza wakati wowote mwezi huu.Kauli hiyo imetolewa jana na...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

NAIBU WAZIRI NISHATI SUBIRA MGALU ASEMA VIJIJI 54 MKOANI PWANI KUNUFAIKA NA...

NA VICTOR MASANGU, PWANIVIJIJI vipatavyo 54 katika mkoa wa Pwani ambavyo wananchi wake walikuwa katika hali ya sintofahamu kutokana na kukaa gizani kwa kipindi cha muda mrefu hatimaye wanatarajia...

View Article

RC RUVUMA AMWAGIZA MKANDARAS KUMALIZA UJENZI WA GHALA LA KOROSHO.

Mkuu wa mkoa wa RUVUMA, CHRISTINE MNDEME amemwagiza Mkandarasi SKYCITY LIMITED, anayejenga ghala la kuhifadhia korosho wilayani TUNDURU kumaliza ujenzi huo mapema ili kupisha ujenzi wa kiwanda cha...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAMENEJA TEMESA WAHITIMU MAFUNZO USIMAMIZI WA MANUNUZI NA MIKATABA

Mkurugenzi wa Ukodishaji Mitambo na Huduma za Vivuko Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) Mhandisi Japhet Maselle (katikati) akitoa msisitizo wakati alipokua akizungumza na Mameneja na wakuu wa vituo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

RC MNYETI AKAGUA UJENZI UKUTA UNAOZUNGUKA MIGODI YA MADINI YA TANZANITE...

Mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexander Mnyeti, ameanza rasmi kazi Mkoani humo kwa kukagua ujenzi wa ukuta unaozunguka migodi ya madini ya Tanzanite Mji mdogo wa Mirerani Wilayani Simanjiro, ikiwa ni...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

SEMINA YA WABUNGE WA KAMATI TATU ZA BUNGE YAFANYIKA MJINI DODOMA

 Ndugu Serafine Tamba akitoa mada kuhusu Mchakato wa Utungaji Sheria katika Semina ya Wabunge wa Kamati ya Kamati ya Katiba na Sheria, Kamati ya Sheria Ndogo na Kamati Mambo Nje, Ulinzi na Usalama....

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI MKUU AHIMIZA LINDI WAJIPANGE MAANDALIZI YA BARAZA LA MAULID KITAIFA

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wana-Lindi na wana-Ruangwa watumie fursa zilizopo ili kufanikisha maandalizi ya sherehe za Maulid na Baraza la Maulid Kitaifa mwaka huu.Ametoa wito huo leo...

View Article

LUSINDE "KIBAJAJI" AKITIFUA KITWIRU KAMPENI ZA UDIWANI MKOANI IRINGA

View Article
Browsing all 110017 articles
Browse latest View live




Latest Images