Quantcast
Channel: MICHUZI BLOG
Browsing all 117137 articles
Browse latest View live

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SIMANZI YATAWALA JIJI LA ARUSHA KATIKA KUAGA MIILI YA WANAFUNZI 32, WALIMU...

 Umati wa wakazi wa Jiji la Arusha na maeneo ya jirani ukiwa umefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Kumbukumbu wa Sheikh Amri Abeid wakati wa zoezi la kuaga miili ya Wanafunzi 32 wa Shule ya Sekondari ya...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

UMISSETA COPA COCA-COLA 2017 YAZINDULIWA JIJINI MWANZA

Mkuu wa Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza, Dk Leonard Masale akikagua timu ya ya mpira wa miguu ya Nyamagana baada ya kuzindua michuano ya Copa Cocacola kwenye uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

INVITATION TO ATTEND TANZANIA – SOUTH AFRICA BUSINESS FORUM

Tanzania Investment Centre (TIC) in collaboration with the Ministry of Foreign Affairs and East Africa Corporation and The South African High Commission in Tanzania, are pleased to invite local...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Bunge Sports Club yaibuka mshindi katika mechi za kirafiki dhidi ya NMB

Spika wa Bunge Job Ndugai akimkabidhi kikombe Naodha wa timu ya Bunge Sports Club ambaye ni Mbunge wa Mbiga, Sixtus Mapunda baada ya timu hiyo kuifunga NMB Magori 2-0 wakati wa mchezo wa kirafi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MFUMUKO WA BEI WA TAIFA KWA MWEZI APRILI HAUJAONGEZEKA UMEBAKI ASILIMIA 6.4

Mkurugenzi wa Sensa na Takwimu za Jamii ,Epraim Kwesigabo kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) akizungumza na Waandishi wa Habari leo jijini Dar es Salaam wakati akitoa taarifa ya kuongezeka kwa...

View Article


SERIKALI YATOLEA UFAFANUZI UJENZI WA KITUO CHA MABASI MBEZI LUIS

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BENK YA WANAWAKE TAWI LA MKWEPU WAUNGANA NA TAIFA KUOMBOLEZA VIFO VYA...

Kwa niaba Benki ya Wanawake wametuma salamu za pole kwa wazazi, walezi, familia na jamii yote ya Arusha na Tanzania kwa ujumla, kwa kupoteza watoto wetu ambao walikuwa waliokuwa wanandaliwa kuwa nguvu...

View Article

SERIKALI KUFUTA USHURU NA TOZO MBALIMBALI KWA WAKULIMA

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini kufanya ziara ya siku tatu nchini Tanzania

Taarifa kuhusu ziara ya Rais wa Afrika Kusini nchini1. UTANGULIZI(i) Rais wa Jamhuri ya Afrika Kusini, Mheshimiwa Jacob Gedleyihlekisa Zuma anatarajiwa kufanya Ziara ya Kitaifa ya siku tatu hapa...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Tanzania na Afrika Kusini za dhamiria kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi

Wataalamu wa Tanzania na Afrika Kusini wapo katika mkutano wa siku nne wa kuandaa mpango bora wa kushirikiana kwenye maeneo mbalimbali kwa madhumuni ya kukuza uchumi wa nchi hizo.Mkutano huo...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

KUMBUKUMBU YA MAREHEMU AKANASHE MAKERE

ILIKUWA NI SEKUNDE, DAKIKA, SAA, WIKI, MWEZI  MWAKA NA SASA NI MIAKA MITANO UMETIMIZA TANGU BIBI YETU KIPENZI AKANASHE SHEDRACK MAKERE UTUTOKE GHAFLA TAREHE 08/05/2012 SAA 10 JIONI BILA YA KUTUAGA...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

BALOZI ASHA-ROSE MIGIRO AWATEMBELEA WANADIASPORA READING

Balozi wa Tanzania nchini Uingereza, Mhe. Asha-Rose Migiro alifanya ziara ya kuwatembelea watanzania waishio Reading na Bekshire tarehe 6/5/2017. Wakati wa ziara hiyo Mhe. Balozi Migiro alipata fursa...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

SPIKA WA BUNGE ATEMBELEWA NA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA NCHINI PAMOJA NA...

 Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (kushoto)akisalimiana na Msajili wa Vyama vya siasa nchini Tanzania, Jaji Francis Mtungi (kulia) aliemtembelea leo Ofisini kwake katika Ukumbi wa Bunge Mjini...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

KATIBU MKUU WIZARA YA UCHUKUZI, DKT LEONARD CHAMURIHO AKEMEA UDOKOZI NA WIZI...

Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Dkt. Leonard Chamuriho amewakumbusha wadau wa usafiri wa anga kusughulikia na kumaliza tatizo la wizi na udokozi katika usafiri wa anga, hali...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

Makamu wa Rais aongoza Watanzania kuaga miili ya wanafunzi waliopata ajali...

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan leo tarehe 8-May-2017 ameongoza mamia ya wananchi wa mkoa wa Arusha na Mikoa ya Jirani katika kuaga miili ya wanafunzi...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Kinana ateta jambo na Wazir pamoja na Pole pole...

 Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Katibu wa Makamu wa Rais, Wazir Salum mapema leo jijini Arusha walipokuwa wakielekea kwenye tukio la kuaga miili ya Wanafunzi...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

TANZANIA YASHIKA NAFASI YA TATU AFRIKA KWA SHERIA BORA YA USIMAMIZI NA...

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.Tanzania imeshika nafasi ya tatu barani Afrika ikiongozwa na nchi ya Afrika Kusini na Nigeria kwa kuwa na Sheria bora ya Usimamizi na Udhibiti wa Kemikali.Kauli hiyo...

View Article


Image may be NSFW.
Clik here to view.

YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA KUMI NA TISA MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI...

Spika  wa  Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai  akiongoza  kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA)...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

WAZIRI WA FEDHA ZANZIBAR AZUNGUMZA NA WAANDISHI LEO.

Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd akifafanua jambo kwa  Waandishi wa Habari kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika...

View Article

Image may be NSFW.
Clik here to view.

MAKAMU WA RAIS AWATEMBELEA MAJERUHI WA AJALI YA KARATU HOSPITALI

  Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimjulia hali  Godfrey Tarimo mwenye umri wa miaka 11 ambaye ni mmoja wa majeruhi waliolazwa kwenye hospitali mkoa wa  wa...

View Article
Browsing all 117137 articles
Browse latest View live