Kamishna Mkuu TRA atembelea Ubalozi wa Tanzania, London
Mheshimiwa Balozi Asha-Rose Migiro (wanne kulia) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna Mkuu wa TRA, Bwana Charles E. Kichere (watatu-kushoto). Kamishna Mkuu wa TRA na ujumbe wake wapo nchini...
View ArticleWAZIRI MWIGULU NA WATENDAJI WAKE WAKUU WAJADILI BAJETI YAKE IKIWA NI...
Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh. Mwigulu Lameck Nchemba wa pili kushoto akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha cha maandalizi ya mwisho cha kupitia...
View ArticleSALAAM ZA RAMBIRAMBI KUTOKA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE...
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imepokea kwa huzuni na masikitiko makubwa taarifa ya vifo vya watoto 32, walimu 2 na dereva mmoja wa shule ya Lucky Vicent ya Arusha,...
View ArticleEmmanuel Macron ashinda kwa kishindo kiti cha urais Ufaransa
Na Sultani KipingoEmmanuel Macron (pichani) leo ameshinda kwa kishindo kinyang'anyiro cha Urais wa Ufaransa na kumweka kando Marine Le Pen kwenye mbio hizo za kuingia Ikulu ya nchi hiyo.Kwa mujibu wa...
View ArticleSAIGON social club ya jijini Dar es salaam imefanya khitma ya kurehemu...
Jana Jumapili Saigon social club ya jijini Dar es salaam imefanya khitma ya kurehemu wazee na ndugu wa Kariakoo waliotangulia kwa Mwenyenzi Mungu. Mgeni rasmi alikuwa Makamu wa Rais Mstaafu Dkt....
View ArticleMAADHIMISHO YA NNE YA UMOJA WA MATAIFA KWA WIKI YA USALAMA BARABARANI (UN...
Na Mary Richard (Advocate)
View ArticleNAHREEL'S PRODUCTION NEVER STOPS TO AMAZE US,COKE STUDIO AFRICA 2017
Nahreel, the recipient of 2015 KTMA 2015 “Producer of the year” award, The Industry Studios record producer and a Navy Kenzo recording artist have been invited to the Coke Studio season five. Nahreel...
View ArticleWANAHABARI WA ISRAEL WATEMBELEA HIFADHI YA TAIFA YA GOMBE, WAAHIDI KUTANGAZA...
Kundi la waandishi kumi wa habari kutoka nchini Israel wakiwa katika hifadhi ya Taifa ya Gombe hivi karibuni kwa ajili ya kurekodi vivutio mbalimbali vya utalii vinavyopatikana katika hifadhi hiyo kwa...
View ArticleNHIF TANGA KUPELEKA HUDUMA YA TOTO AFYA KADI VIJIJINI
MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya mkoani Tanga (NHIF) unakusudia kuwafikia wananchi kwenye vijiji na kata mbalimbali mkoani hapa ili kutoa elimu juu ya umuhimu wa huduma ya afya kwa watoto (Toto Afya...
View ArticleWANANCHI WAIOMBA SERIKALI KUKAMILISHA DARAJA LA SIBITI
Wananchi wa kata ya Mpambala, wilaya ya Mkalama mkoani Singida wameiomba Serikali kuhakikisha inamaliza ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti haraka iwezekanavyo ili kurahisisha huduma za mawasiliano kati ya...
View ArticleWANAFUNZI WA CHUO KIKUU CHA MKWAWA IRINGA WAYAFURAHIA MAFUNZO YA KUWEKEZA...
Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Jaquiline Materu akizungumza na wanafunzi wa chuo kikuu cha Mkwawa katika semina elekezi ya umuhimu wa uwekezaji na ununuzi wa hisa...
View Article