YANGA YAIPIGA PRISONS 2-0
Wachezaji wa Yanga wakishangilia ushindi wa bao la pili dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam leo. (PICHA NA KHAMISI MUSSA) Mchezaji wa...
View ArticleSHINDANO LA SHIKA NDINGA LAFIKIA TAMATI - EFM REDIO NI KWIKWI!
EFM redio kwa mara nyingine imehitimisha shindano la shika ndinga leo siku ya Jumamosi ya tarehe 6/5/2017 katika viwanja vya Tanganyika Packers - Kawe Jijini Dar es salaam ambapo washindi wawili...
View ArticleBURIANI MWANAHABARI REVOCATUS BULIZYA
Na Dotto MwaibaleVILIO na majonzi vilitawala wakati wa ibada ya kuuaga mwili wa mwanahabari Revocatus Bulizya wa Kituo cha Televisheni cha Star TV wakati wa ibada ya kumuaga iliyofanyika Kanisa...
View ArticleRais wa Zanzibar Dk Shein aelekea Ziarani Nchini Djibout
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein, akiagana na Viongozi wa Serikali na Wazee wa CCM uwanja wa Ndege wa Kimataifa Zanzibar akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya...
View ArticleNEC YATOA UFAFANUZI UTARATIBU WA KUMPATA MBUNGE NA DIWANI VITI MAALUM
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imeeleza kuwa nafasi za Wabunge wa Viti Maalum wanaoteuliwa zipo kwa mujibu wa Sheria na zimeainishwa katika Ibara ya 78 (1) na (4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa...
View ArticleMKUTANO WA WATANZANIA UJERUMANI,JUMAMOSI 13.05.2017 MJINI ESSEN
Umoja wa Watanzania Ujerumani UTU e.V unapenda kuwaalika watanzania wote wanaoishi Ujerumani (TANZANIA DIASPORA) kwenye mkutano mkuu wa umoja wetu 2017. Mkutano wetu mkuu utafanyika Siku ya Jumamosi,...
View ArticleZIARA YA BULEMBO KUKAGUA MCHAKATO WA UCHAGUZI CCM MKOA WA DAR ES SALAAM
Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi Alhaj Abdallah Bulembo akizungumza na viongozi wa CCM na Jumuia ya Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, katika Ofisi ya CCM mkoa huo, mwanzoni mwa ziara yake, kukagua uhai wa...
View ArticleAFISI YA AFYA WILAYA YA MJINI UNGUJA IKISHIRIKIANA NA MADAKTARI BINGWA KUTOKA...
Daktari bingwa wa pua na masikio kutoka China Dk. Fei Jie, akimfanyia uchunguzi wa pua Bi. Amina Himid katika siku ya Afya ya kijiji iliyofanyika Skuli ya Kwamtipura. Wananchi waliojitikeza kupatiwa...
View ArticleRais wa Znzibar Dkt. Shein akielekea Nchini Djibout kwa ziara ya Kiserikali...
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk .Ali Mohamed Shein, akisalimiana wafanyakazi wa Ofisi ya Ubalozi wa Ethiopia mara alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Nchini...
View ArticleMKURUGENZI SINGIDA AAGIZWA KUHAMIA KATIKA HALMASHAURI YAKE
Mkurugenzi wa halmashauri ya Wilaya ya Singida Rashid Mandoa ameagizwa kuhakikisha ofisi za halmashauri hiyo zinahamia ndani ya eneo la halmashauri hiyo na kutoka walipo sasa katika manispaa ya...
View Article