Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akipokea taarifa kuhusu ziwa Chala lililoko wilayani Rombo kutoka kwa afisa wa Bonde la maji la Pangani Mtoi Kanyawana.
Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge akichukua taswira ya ziwa Chala lililoko wilayani Rombo wakati wa ziara kutembelea miradi mbalimbali ya maji katika wilaya hiyo.
Naibu waziri wa maji Dk Binilith Mahenge katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa mamlaka ya maji wa mkoa wa Kilimanjaro wakati wa ziara yake kutembelea ziwa Chala.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii, Moshi.