Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bi. Juliet Kairuki (kushoto) akimsikiliza kwa makini mmoja wa maafisa wa juu toka muungano wa makampuni ya Dangote, Bw. DVG Edwin mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam. Baadhi ya maafisa wa kampuni hiyo kubwa barani Africa walikua nchini kwa ziara ya kikazi. Kampuni hiyo inaendelea na ujenzi wa kiwanda kikubwa cha simenti mkoani Mtwara.
↧