Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd akifafanua jambo kwa Waandishi wa Habari kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.
Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika mkutano wa waandishi wa habari na Waziri wa Fedha Zanzibar Dk Khalid Salum Mohd kuhusiana na Mipango Mapendekezo ya Bajeti (Mapato na matumizi) ya Serikali kwa Mwaka wa Fedha 2017-2018.Katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha Vuga Mjini Unguja.PICHA NA YUSSUF SIMAI /MAELEZO ZANZIBAR.
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA
HABARI ZAIDI BOFYA HAPA