Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiongoza kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Mhe.Catherine Nyakao Ruge akila kiapo cha uaminifu mbele ya Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa katika kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Mariam Kisangi(CCM) akiuliza swali katika kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Selemani Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
Mbunge wa Viti Maalum Mhe.Angelina Malembeka (CCM) akiuliza swali katika kikao cha kumi na Tisa cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 8, 2017.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA