Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akizungumza jambo na Katibu wa Makamu wa Rais, Wazir Salum mapema leo jijini Arusha walipokuwa wakielekea kwenye tukio la kuaga miili ya Wanafunzi 32,waalimu wawili na dereva mmoja ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini humo,ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alishiriki kuongoza tukio hilo,kushoto ni katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Pole Pole
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalamiana na Katibu wa Makamu wa Rais, Wazir Salum mapema leo jijini Arusha walipokuwa wakielekea kwenye tukio la kuaga miili ya Wanafunzi 32,waalimu wawili na dereva mmoja ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini humo,ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alishiriki kuongoza tukio hilo,kushoto ni katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Pole Pole
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akifurahia jambo na Katibu wa Makamu wa Rais, Wazir Salum mapema leo jijini Arusha walipokuwa wakielekea kwenye tukio la kuaga miili ya Wanafunzi 32,waalimu wawili na dereva mmoja ndani ya uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini humo,ambapo Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan alishiriki kuongoza tukio hilo,kushoto ni katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Pole Pole